Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wateja 84 wa Tigo wajinyakulia simu janja za TECNO R6

Huku ukiwa imebakia wiki tatu tu kabla ya kufika kikomo cha promosheni kabambe ya Nyaka Nyaka bonus inayoendeshwa na kampuni inayoongoza kwa mageuzi ya kidigitali nchini ya Tigo Tanzania, kampuni hiyo...

View Article



TUNAAMINI WAAMUZI WATENDA HAKI MECHI YETU DHIDI YA YANGA-HAJJI MANARA

Uongozi wa klabu ya Simba umesema unaamini kabisa waamuzi wa mechi yao dhidi ya Yanga Jumapili, watatenda haki.Klabu hiyo kupitia kwa Afisa habari wao, Haji Manara amesema hawatawalalamikia waamuzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CSI yatoa msaada wa vifaa tiba kwa wakina mama wajawazito hospitali ya Mnazi...

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiTAASISI ya Childbirth Survival International (CSI) imetoa wa vifaa vya akina mama wajawazito ambavyo hutumika wakati wa kujifunga katika Hospitali ya Mnazi mmoja jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM vs MTIBWA, SASA KUPIGWA SAA 10 JIONI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.MCHEZO kati ya Klabu ya Azam FC na Mtibwa Sugar uliotarajiwa kuchezwa saa 8 mchana umefanyiwa mabadiliko ya muda, ambapo sasa utafanyika Uwanja wa Manungu, Turiani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA WA OPERESHENI WA JESHI LA ZIMAMOTO AKABIDHI CHETI CHA SHUKRANI

 Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Billy J. Mwakatage (kulia) akimkabidhi cheti cha shukrani “certificate of appreciation” Meneja Mkuu wa Dar es Salaam Yacht Club (DYC) Bw. Brian...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAIMU BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI AZUNGUMZA NA WABUNGE WA BUNGE LA TANZANIA...

 Kaimu Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Mhe. Martin Tavenyika (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Wabunge wa Bunge la Tanzania wanaowakilisha Bunge la Afrika, Mhe. Asha Juma (kulia) walipokutana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. MWAKYEMBE AKUTANA NA WADAU WA SEKTA ZA WIZARA YA HABARI BUNGENI LEO

 Viongozi wa wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Habari mara baada ya Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe  kuwasilisha bungeni hotuba ya bajeti ya Wizara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAIPELEKA SERA YA TAIFA YA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI KWA WADAU...

Na Mwandishi Wetu- ArushaSerikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imedhamiria kufanya mabadiliko katika Sera zake mbalimbali ili kuweza kuendana na wakati na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDEGE KUBWA YA ABIRIA YA EMIRATE KUTUA NCHINI YAIPANDISHA TANZANIA KATIKA...

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiMamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) imesema kuwa kutua kwa Ndege kubwa ya ‘gorofa’ A380 ya Fly Emirates imedhihirisha kuwa uwanja  wa Kimataifa wa ndege wa Mwalimu Julius...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. KOLIMBA AKUTANA NA MSHINDI WA MISS UNIVERSITY AFRICA 2017

  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (kulia) akifafanua jambo kwa Miss World University Africa 2017, Queen Elizabeth Makune wakati alipomtembelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI BARABARA YA DODOMA-BABATI ILIYOKAMILIKA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na  Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina, Balozi wa Japan hapa nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA MOROGORO WASHIKA KASI

Afisa Msajili Mkoa wa Morogoro Ndg. Sererya Wambura (kulia\0 akiwa pamoja na Afisa Mchambuzi Mifumo ya Kompyuta wa NIDA Ndg. Rajabu Kabeya wakipitia ripoti za Usajili na Utambuzi wa watu za mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI YAWASHIKILIA WATU WAWILI KWA KUKUTWA NA SILAHA

JOSEPH MPANGALA -  MTWARAPolisi Mkoa wa Mtwara Linawashikilia watu wawili Kwa kukutwa na Silaya aina ya Gobore na Shortgun pamoja na maganda ya Risasi 66 Bila ya Kibali cha Umiliki ambazo zilikuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWZ ALERT:MTOTO WA MIEZI TISA AFA AJALINI BAADA YA BASI LA POLISI, NOAH...

*Dereva wa Noah naye afariki, askari JWTZ, Polisi wajeruhiwaNa Ripota Wetu,Morogoro KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro Ulrich Matei amethibitha kufariki dunia kwa watu wawili akiwamo mtoto wa miezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM vs MTIBWA, SASA KUPIGWA SAA 10 JIONI.

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.MCHEZO kati ya Klabu ya Azam FC na Mtibwa Sugar uliotarajiwa kuchezwa saa 8 mchana umefanyiwa mabadiliko ya muda, ambapo sasa utafanyika Uwanja wa Manungu, Turiani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uvutaji Wa Sigara Na Unywaji Wa Pombe Uliokithiri Husababisha Magonjwa Ya...

Brighton James – JKCI.Watanzania wameshauriwa kufanya mazoezi, kula vyakula bora, kuepuka uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe uliokithiri kwa kufanya hivyo watajiepusha na magonjwa ya mishipa ya damu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WATAKIWA KUWA MAKINI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwaamewataka viongozi wa vyama vya siasa wajitahidi kuwa makini na namna wanavyoendesha vyama vyao kwa sababu wananchi wanaowaongoza ni wa vyama vyote.Pia amewaasa viongozi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOFANYA UBADHIRIFU WA BILION 1.5 WASAKWE NA KUFIKISHWA KWENYE VYOMBO VYA...

Na Mahmoud Ahmad Dodoma RAIS John Mguguli ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha vinawachukulia hatua kali watu wote waliohusika katika kufanya ubadhilifu wa zaidi y ash bilioni 1.5 ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAIMU BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI, TAVENYIKA AZUNGUMZA NA WABUNGE WA BUNGE LA...

Kaimu Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Mhe. Matin Tavenyika (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Wabunge wa Bunge la Tanzania wanaowakilisha Bunge la Afrika, Mhe. Asha Juma (kulia) walipokutana...

View Article

Habari za Umoja wa Mataifa leo Aprili 27, 2018

View Article
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live




Latest Images