Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110006 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MALARIA YAPUNGUA MPAKA ASILIMIA 7. 3 NCHINI.

Na Ripota wetu Kasulu, Kigoma MAAMBUKIZI ya viashiria vya ugonjwa wa Malaria Nchini Tanzania yame pungua kwa Watoto chini ya miaka mitano kutoka asilimia 14.4 mwaka 2015 na kufikia asilimia 7.3 kwa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK.SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge  mara alipowasili katika Uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Waziri , Ofisi ya Rais TAMISEMI, Josephat Kandege, bungeni mjini Dodoma, Aprili 25, 2018.  aziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ELIMU MATUMIZI YA ARDHI INAYOTOLEWA NA PELUM TANZANIA IMESAIDIA PUNGUZA...

Na Karama Kenyunko, Globu ya jamiiOFISA Mradi wa mradi wa Ushirika wa wananchi katika kusimamia sekta ya kilimo, Anna Marwa amesema, kupitia elimu ya matumizi ya ardhi inayotolewa na Pelum Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REX ENERGY YAWAANDAA VIJANA 100 KUTOKA DIT KABLA YA KUWAPA AJIRA

Na Ripota Wetu, Globu ya jamiiMKURUGENZI Mkuu wa Rex Energy inayojuhusisha na utoaji wa huduma ya umeme wa jua Francis Kibhisa ameamua kutoa mafunzo ya vitendo kwa wahandisi 100 ambao wamehitimu Dar es...

View Article


VOA Swahili: Duniani Leo 25th April 2018

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMATANO 24.04.2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ufunguzi rasmi wa maonesho ya kipekee ya bidhaa za viwanda vya Tanzania...

Waziri wa Kilimo na Umwagiliaji wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Mwangi Kiunjuri akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa wiki ya Tanzania nchini Kenya ambayo imeambatana na maonesho ya huduma, vivutio vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kikoa cha Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)...

Na Brighton James - JKCI,Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wametakiwa kuepuka vitendo vya rushwa  ili waweze kutoa huduma bora ya bila upendeleo ya matibabu kwa wagonjwa. Rai hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA MTUMISHI WA OFISI YA WAZIRI MKUU, AMTEMBELEA RC...

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwaleo (Jumatano, Aprili, 25, 2018) ameshiriki maziko ya aliyekuwa mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu marehemu Bw. Atufigwege Mwakasege yaliyofanyika katika makaburi ya Kikuyu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAJITOLEA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA PANGANI MJINI KIBAHA

 Wakazi mbalimbali kutoka mitaa ya kata ya Pangani, Kibaha Mjini wakionekana pichani kujitolea katika nguvu kazi kujenga shule ya sekondari ya Pangani Msaidizi wa mbunge wa jimbo la Mjini Kibaha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA AKUNWA NA KASI YA RAIS MAGUFULI

Na Benny Mwaipaja, WFM, Dar es SalaamRais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB,  DKT. AKINUMWI  ADESINA, ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu hapa nchini kwa mwaliko wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI DKT. ABDALLAH SALEH POSSI AKUTANA NA WAFANYABISHARA WA POLAND WENYE...

Mnamo April  24, 2018  Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, ambaye pia anaiwakilisha Tanzania nchini Poland, Dr. Abdallah Saleh Possi, alikutana na wadau mbalimbali wa uwekezaji katika mkutano wa...

View Article


TANZANIA FREIGHT FORWARDERS ASSOCIATION EXTRA-ORDINARY MEETING APRIL 28, 2018...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNESCO yafunga mafuzo ya Mafundi Mitambo wa Radio za jamii 25

Kaimu Mkuu wa Ofisi za Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Faith Shayo akizungumza kuhusu UNESCO inavyoshiriki moja kwa moja kwenye jamii hasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

QATAR AIRWAYS YATEMBEZA WAANDISHI MJINI DOHA.

Qatar Airways yapeleka waandishi kutoka vituo mbalimbali vya habari na utangazaji  vya Africa kwa ajili ya matembezi mjini Doha. Katika matembezi hayo wanahabari walipata fursa ya kutembelea maeneo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA AKUNWA NA KASI YA RAIS MAGUFULI

Na Benny Mwaipaja, WFM, Dar es SalaamRais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB, DKT. AKINUMWI ADESINA, ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu hapa nchini kwa mwaliko wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKALA WA VIPIMO YAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WAKULIMA WA PAMBA

Wakala wa Vipimo (WMA) Tabora inaendelea na zoezi la kutoa elimu kwa Wakulima wa pamba kuhusu Mizani sahihi zinazotakiwa kutumika wakati wa msimu wa ununuzi wa pamba, elimu hii ya vipimo ni ya muhimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEHEMU YA PILI YA HISTORIA YA VITA YA MAJI MAJI

Waanzilishi wa mwanzo wa Vita ya Maji Maji walikuwa ni Machifu na mganga wa jadi kutoka jamii za Wangindo na wamatumbi na baadaye vuguvugu hilo lilienea kama moto kwenya jamii nyingi ikijumuisha jamii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Basata kutoa tuzo kwa wanafunzi wa Sekondari hapa nchini

Na Agness Francis,Blogu ya JamiiBARAZA  la sanaa Taifa (BASATA) lenye dhamana ya kufufua kukuza na kuendesha sekta ya sanaa   kutoa tuzo kwa wanafunzi wa kidato cha 4 kwa shule 5 za Sekondari...

View Article
Browsing all 110006 articles
Browse latest View live




Latest Images