Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109607 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE SAMIA SULUHU AHUDHURIA MKUTANO WA SADC TROIKA EXTRA JIJINI LUANDA, ANGOLA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amemuwakilisha Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mwenyekiti wa Asasi ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

TPDC KUWANUFAISHA WANANCHI KWA GESI ASILIA MAJUMBANI

Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG. Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limekabidhi mradi wa uunganishaji wa gesi asilia kutoka katika bomba kubwa la gesi asilia linalomilikiwa na TPDC...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TLS NI CHAMA CHA UMMA KIFANYE KAZI KWA MUJIBU WA SHERIA - JAJI MKUU

Na Lydia Churi, Magreth Kinabo-MahakamaJaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amesema Chama cha Wanasheria cha Tanganyika (TLS) ni taasisi ya Umma na siyo binafsi hivyo amekitaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII DIAMOND KUTOA BURUDANI KOMBE LA DUNIA 2018 NCHINI URUSI

Msanii nyota wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Diamond Platnumz, kwa kushirikiana na kampuni ya Coca-Cola ametangaza kuwa ameshiriki kuimba wimbo utakaosherehesha Kombe la Dunia 2018 uitwao Colours....

View Article

WHO YAWAJENGEA UWEZO WATENDAJI TFDA NA WATAALAMU WA DAWA KATIKA VIWANDA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI ATEMBELEWA NA WAKURUGENZI WATENDAJI WA CLOUDS MEDIA GROUP,...

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na wageni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Ndg. Joseph Kusaga (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice Tanzania Ndg. Maharage...

View Article

JESHI LA MAGEREZA KUNOGESHA SHEREHE MAADHIMISHO YA MUUNGANO DODOMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CBA YAKUTANA NA WATEJA WAKE JIJINI ARUSHA

Na Pamela Mollel,ArushaUKATA wa fedha katika uwekezaji na kukuza biashara ya utalii mkoani hapa umepata tiba baada ya Commerial Bank of Africa, kusema itashirikiana na wafanyabiashara kuwapa mikopo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

How nuclear technologies helped Zanzibar to improve rice quality

Though economic development in Zanzibar has been associated with tourism, agriculture contributes greatly to the Islands' economy and food security. In Zanzibar agriculture is the main source of income...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT.MAGUFULI ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO UHURU WA HABARI...

Na Agness Francis, Blogu ya JamiiRAIS wa Serikali ya Awamu ya Tano Dk. John Mgufuli  kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya uhuru wa habari  Nchini ambayo kitaifa yatafanyika Mkoani Dodoma  Mei 2 hadi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA KOMPYUTA 10, MEZA PAMOJA NA VITI SHULE YA...

Meneja Masoko Mwandamizi wa Benki ya Access Bw. Simon Sijaona akikabidhi moja ya kompyuta 10 kwa Bw. Izungo Angalo Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Turiani Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam...

View Article

TIC YAKUTANA NA WAWEKEZAJI WA NYANDA ZA JUU KUSINI

View Article

NGOs ZATAKIWA KUJIHAKIKI KUTAMBULIKA NA SERIKALI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 MEZA PAMOJA NA VITI KWA SHULE YA...

Meneja Masoko Mwandamizi wa Benki ya Access Bw. Simon Sijaona akikabidhi moja ya kompyuta 10 kwa Bw. Izungo Angalo Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Turiani Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU

DR. FRANCIS MW. MSELLEMU 1941- 1996  Baba, Ni Miaka 22 sasa tangu uondoke hata bila ya kutuambia neno la KWAHERI! Maisha yetu hayajawahi kuwa rahisi bila uwepo wako, Baba. Japo watu wanatuona tukicheka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika kufanya ziara nchini

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Ayodeji Adesina atafanya ziara ya siku nne (4) nchini kuanzia tarehe 25 hadi 28 Aprili, 2018 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITENGO CHA MAGONJWA YA DHARURA MUHAS WAZINDUA KITABU KWA AJILI YA KUFUNDISHIA

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Andrea Barnabas Pembe akizindua kitabu kwa ajili ya kuwafundishia wanafunzi wanaosoma mwaka wa nne katika fani ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI HALMASHAURI YA MOROGRO ATAJA MBINU KUTUA MIGOGORO YA ARDHI

Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii IMEELEZWA watu pekee wanaoweza kumaliza migogoro ya ardhi nchini ni pande mbili ambazo zipo kwenye mgogoro na si vinginevyo na hata watalaam wanapokwenda basi ni kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABINTI WATAKIWA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA AJILI YA MANUFAA YA BAADAE

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu , Dkt Ave Maria Semakafu akizungumza wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya siku ya Tehama kwa watoto wa kike Duniani ambapo alitumia muda huo kuwaasa mabinti kutumia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANTIKA AANZA MAZOEZI MEPESI, YAKUBU MOHAMED KWENDA AFRIKA KUSINI KWA...

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii.BEKI wa timu ya Azam Fc David Mwantika, ameanza rasmi mazoezi ya wenzake wiki hii ikiwa baada ya kuugua ghafla uwanjani wiki tatu zilizopita.Mwantika alipata hitilafu...

View Article
Browsing all 109607 articles
Browse latest View live




Latest Images