WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WABUNGE WA AFRIKA YA MASHARIKI...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki wanaoiwakilisha Tanzania, Ofisini kwake mjini Dodoma Aprili 23, 2018. Kutoka kushoto ni Josephine Lemoyan,...
View ArticleRAIS WA BUNGE LA AFRIKA AKUTANA NA SPIKA NDUGAI PAMOJA NA WABUNGE WA BUNGE...
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Rais wa Bunge la Afrika, Mhe. Roger Dang (wa pili kulia) alipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma. Wa pili kushoto ni Naibu Spika wa Bunge,...
View ArticleMZISIMAMIE NGOs ZIFANYE KAZI: MSAJILI NGOs
Na Anthony Ishengoma WAMJWMsajili wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali NGOs Marcel Katemba amewataka Wasajili Wasaidizi wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini kuzisimamia NGOs ili zifanye kazi kwa...
View ArticleRC TABORA AZINDUA CHANJO YA KINGA DHIDI YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI
Baadhi ya wanafunzi wa kike wa Shule za Msingi na Sekondari wakiwa katika maandamano ya kuunga mkono chanjo ya kinga dhidi ya saratani ya mlango wa kikazi iliyozinduliwa jana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora...
View ArticleTUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YAMPONGEZA AGNES MGEYEKWA KUTEULIWA KUWA...
Jaji wa Mahakama Kuu, Agnes Mgeyekwa akipokea ua kutoka kwa afisa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Christina Binali kufuatia kuteuliwa kushika wadhifa huo. Mgeyekwa kabla ya kuteuliwa alikuwa...
View ArticleGLOBAL EDUCATION LINK WATOA USHAURI NASAHA WA KITAALUMA KWA WANAFUNZI ILI...
Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiKAMPUNI ya Global Education Link imeamua kutoa ushauri nasaha wa kitaaluma kwa wanafunzi wa shule za sekondari mbalimbali nchini ili kuhakikisha wanafunzi wanafanikiwa...
View ArticlePelum yafanya mdahalo kwa wakulima, kupunguza migogoro ya ardhi Morogoro...
Mwenyekiti wa Halimashauri ya Wilaya ya Morogoro, Kibena Kimu ambaye ni mgeni rasmi wa kongamano la haki za ardhi wilaya ya Morogoro akizungumza na wadau wa ardhi kuashiria ufunguzi wa kongamano hilo...
View ArticleTigo and TECNO Team up to Provide the Best Digital Experience to Customers
TECNO Tanzania's Public Relations Manager, Eric Mkomoya (right) shows the new TECNO Camon X smartphone at the official launch of the 4G smartphone at the Tigo Tanzania offices in Dar es Salaam today....
View ArticleWaziri wa Afya azindua ugawaji wa vyandarua vyenye dawa ya muda mrefu Kigoma
Vyandarua Bure kwa Wajawazito na Watoto,atakaeuza kukionaWAZIRI Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameagiza Waganga Wakuu Wa Mikoa,Wa Wilaya na Waganga Wafawidhi kuweka...
View ArticleNIMERIDHISHWA NA MAADHALIZI YA SHEREHE ZA MUUNGANO-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maandalizi ya sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yanayoendelea katika Uwanja wa Jamuhuri mjini Dodoma.Ameyasema hayo leo...
View ArticleWadau wa Sekta ya Filamu waomba Kanuni kali za kusimamia vibanda vya...
Na Genofeva Matemu – WHUSMWadau wa sekta ya Filamu nchini wameiomba bodi ya filamu kunao umuhimu wa kuongezea makali ya kikikanuni katika kusimamia vibanda vinavyoonyesha sinema nchini kwa kuzifanya...
View ArticleNuclear isotopes help to sustain agriculture and good farming
The main goal of innovation and the development of new technologies is to make our lives better and safer. Technology can be regarded as a primary source of economic development and the various...
View ArticleKWA HILI LA YANGA, BODI YA LIGI LAZIMA WAPANGUE TENA RATIBA
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Kufuatia Yanga kuingia hatua ya makundi Kombe la Shirikisho barani Afrika ratiba ya ligi kuu iko mbioni kupanguliwa.Hilo linakuja baada ya Shirikisho la Soka Afrika CAF...
View ArticlePUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA MAFUNZO MAALUM YA USALAMA BARABARANI KWA...
Na Ripota Wetu, Globu ya jamiiKAMPUNI ya Puma Energy Tanzania imezindua kampeni maalumu ya mafunzo ya usalama barabarani kwa wanafunzi wa shule za msingi kwa lengo la kueneza elimu hiyo kuanzia ngazi...
View ArticleWHO YAWAJENGEA UWEZO WATENDAJI WA TFDA NA WATALAAM WA DAWA KATIKA VIWANDA
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiKAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Agnes Kijo amesema ipo haja kwa wazalishaji wa dawa kuhakikisha wanazalisha dawa zenye ubora kwa kuzingatia...
View ArticleMAFUNDI MITAMBO REDIO 25 ZA KIJAMII WATEMBELEA SHIRIKA LA UTANGAZAJI TBC...
MAFUNDI mitambo wa redio kutoka mikoa mbalimbali nchini wametembelea Shirika la Utangzaji Tanzania(TBC)kwa lengo la kupata mafunzo zaidi ili kuendelea kuboresha majukum yao kwa ufasaha.Wakiwa TBC...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) KATIKA UKUMBI WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Martin Ngoga mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kuhutubia...
View Article
More Pages to Explore .....