Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109922 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATAKA SHERIA YA WATIA MIMBA WANAFUNZI IONGEZWE MENO CALVIN GWABARA

Na: Amina Hezron, MorogoroWito umetolewa kwa serikali kuhakikisha wanawadhibiti na kuwachukulia hatua za kisheria wale wote watakaobainika wamebaka au kuwapa mimba wanafunzi wa shule za Msingi na...

View Article



WAANDISHI WA HABARI NI KUNDI MUHIMU KATIKA KUFIKISHA UJUMBE KWA JAMII.DC SONGEA

Vyombo vya habari,mitandao ya kijamii imeonekana kuwa na mchango mkubwa katika jamii kutokana na uwezo wa kufikisha ujumbe kwa haraka ukilinganisha makundi mengine.Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI KIJIJI LUMWAGO MAFINGA MJINI WASHANGILIA KUWAKA UMEME

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani,mkuu wa wilaya ya Mufindi Jamhuri Wiliam,Mbunge wa jimbo la Mafinga Mjini Cosato Chumi pamoja na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilaya ya Mufindi wakiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA EXIM YATOA MSAADA HOSPTALI YA RUFAA YA MOROGORO KUPITIA KAMPENI YA...

 Hospitali na kliniki nyingi nchini zina tatizo la ukosefu wa dawa, vifaa na vitanda hasa katika hospitali za rufaa. Katika kukabiliana na uhaba huu unaosumbua taifa, benki ya Exim Tanzania, yenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA TFF WALLACE KARIA AMWAGA PONGEZI KWA NGORONGORO HEROES NA SERENGETI BOYS

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) Ndugu Wallace Karia ametoa salamu za pongezi kwa timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) na ile ya chini ya miaka 17 (Serengeti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Airtel kuviwezesha vikundi vya kinamama kujiendesha kidigitali

· Zaidi ya vikundi vya wajasiriamali 100 kunufaika na huduma ya Timiza Vikoba na Mafunzo ya TehamaKampuni ya simu za mkononi ya Airtel imeviasa vikundi vya kina mama wajasiriamali kutumia fursa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEHEMU YA KWANZA YA HISTORIA YA VITA VYA MAJI MAJI.

Jina la vita vya Maji Maji lilitokana na imani ya matumizi ya “Dawa” iliyochanganywa na maji ,punje za mahindi na mtama zilizosadikika kuwa zitampa mpiganaji kinga ya kutodhurika kwa shambulio la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya Barclays Tanzania yasaidia kambi ya upasuaji watoto wenye tatizo la...

Mkuu wa Kitengo cha Ukusanyaji Mikopo Isiyolipwa wa Benki ya Barclays Tanzania, Khatibu Mohammedy (wa tatu kushoto,) akikabidhi vifaa vya kusaidia upasuaji wa watoto wenye tatizo la vichwa vikubwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WA MAENDELEO WAIPONGEZA SERIKALI YA TANZANIA KWA MAFANIKIO YA MPANGO WA...

NA. Estom Sanga- Wadau wa Maendeleo wameipongeza Serikali ya Tanzania kwa kusimamia kwa ufanisi Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF- Mpango ambao umeanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUZO YA MO SALAH YALETA GUMZO

Na Zaynab Nyamka, Globu ya Jamii.BAADA ya kuchukua tuzo ya mchezajo bora wa Shirikisho ijulikanayo kama PFA Player of the Year akiwa tayari ameshachukua tuzo ya kila mwezi mara tatu katika msimu mmoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA YA MASHARIKI MJINI...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Mhe. Martin Ngoga (watatu kushoto) baada ya mazungumzo, Bungeni mjini Dodoma, Aprili 23, 2018....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPANDAJI MITI CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MKOKOTONI WAFANA

 Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Idirisa Musilimu Hija akizindua zoezi la upandaji Miti Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja. Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na...

View Article

ALICHOKISEMA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA WATU WA CHINA KUHUSU KUDHIBITI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu Bungeni mjini Dodoma, Aprili 23, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri wa Nishati, Dkt....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI, MJINI DODOMA

 Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Wajumbe wa Kikao cha Baraza hilo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROFESA MTANZANIA CHUO KIKUU INDIANA APATA TUZO YA WALTON

Beatrice anayefundisha lugha ya Kiswali chuo kikuu cha Massachusetts akimwelezea Profesa Alwiya Omar kabala profesa hyuyo hajapewa tuzo hiyo. Picha na Vijimambo Blog na Kwanza Production chini ya...

View Article

VOA SWAHILI: Duniani Leo 23rd April 2018

View Article


HABARI ZA UMOJA WA MATAIFA LEO APRILI 23, 2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA NA ISRAEL KUANGALIA NAMNA YA KUSHIRIKIANA KATIKA MASUALA YA SHERIA

Na  Mwandishi MaalumTanzania na Israel zimekubaliana kwamba ,  mataifa hayo mawili yana mengi ya kujifunza baina  yao hususani katika eneo la utoaji wa haki na usimamiaji wa sheria.Hayo yamejiri leo (...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMATANO 23.04.2018

View Article
Browsing all 109922 articles
Browse latest View live




Latest Images