Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110090 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA VODACOM KUWAWEKA PAMOJA WATEJA WAKE KUPITIA HUDUMA YA IFLIX

Na Agness Francis, Blogu ya JamiiKAMPUNI ya Simu za mkononi ya Vodacom imeamua kuwaweka pamoja wateja wake zaidi ya milioni 12 kupitia huduma ya Iflix.Ambapo Vodacom imeingia mkataba na kampuni ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAKONDA AZINDUA HOSPITALI YA MAMA NA MTOTO CHANIKA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiRAIS wa Shirika la Misaada la Korea Kusini (KOICA), Lee Mi Kyung amezindua Hospital ya Mama na Mtoto Chanika iliyojengwa kwa jitihada  za Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UFUNGUZI SHEREHE ZA MAONESHO WIKI YA UTAFITI WA SAYANSI YA BAHARI WAFANYIKA...

Mgeni Rasmi Mkuu wa Kitengo cha Uratibu wa Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Aida Juma akitoa hotuba ya ufunguzi wa Sherehe za Nne za Maonesho ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YASISITIZA HAKUNA UPOTEVU WA SHILINGI TRILIONI 1.5

Serikali leo imelithibitishia Bunge na umma kwa ujumla kuwa kufuatia maneno ya baadhi ya watu yaliyosheheni upotofu, siasa na yenye nia ya kuchafua taswira ya nchi kwamba kuna Shilingi trilioni 1.5...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YAAMSHA ARI YA WANANCHI KUSHIRIKI SHUGHULI ZA MAENDELEO

Wizara ya Afya, Mandeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imedhamiria kuendelea na kampeni ya kuamsha ari ya Wananchi kushiriki katika Miradi ya Maendeleo na katika kipindi cha Julai 2017 hadi Machi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Ummy Mwalimu kuzindua maadhimisho siku ya Malaria Duniani ,Kasulu...

Tanzania inatarajia kuungana na nchi zingine duniani kwenye kuadhimisha siku ya Malaria Duniani ambayo ufanyika April 25 kila mwaka. Maadhimisho hayo ya kitaifa yatafanyika wilaya ya Kasulu mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wasanii Nchini Waaswa Kuenzi Busara za Wazee

Na Mwandishi WetuWasanii wa filamu nchi washauri kuheshimu na kutahmini mawazo na busara za wazee pindi wanapopata wasaa wa kukutana nao.Rai hiyo imetolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu Mtendaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UONGOZI WA IFM WAKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO MKUU WA MKOA WA DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,  Dkt. Binilith Mahenge (kushoto) akifanya mazungumzo na Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM),  Prof.Tadeo Satta(kulia) ofisini kwake Dodoma katikati ni Dkt. Kadida Masha

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI SEIF AKUTANA NA UONGOZI WA TAASISI YA FAWE

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kushirikiana na Taasisi za Kiraia katika kuona malengo na dhamira zilizojipangia katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFURIKO JANGWANI KUPATIWA UFUMBUZI

Na. WFM- Washington D.CBenki ya Dunia (WB) imekubali kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kukabiliana na athari za mafuriko zinazosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha kila mwaka katika Jiji la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA KILIMO TANZANIA KUFUNGUA OFISI ZA KIKANDA KWA AWAMU

Benny Mwaipaja, WFM, DodomaSerikali imeeleza kuwa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) inatekeleza Mpango wa Miaka Mitano (2017- 2021), wa kusogeza huduma karibu na wateja kwa kuanzisha ofisi...

View Article

SERIKALI YATOLEA UFAFANUZI HOJA YA CAG KUHUSU TRILIONI 1.5

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATUA NANE BORA LIGI KUU WANAWAKE KUENDELEA WIKIENDI HII

Agness francis,Blogu ya jamiiLIGI ya Wanawake ya Serengeti Premium Lite inatarajia kuendelea wikiendi hii katika hatua ya nane bora huku wadhamini wa ligi hiyo wamekabidhi jezi rasmi kwa timi hizo kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADAKTARI BINGWA WABAINI WAGONJWA ZAIDI YA 460 WA MOYO SONGWE

Wagonjwa 467 wenye matatizo ya moyo wamebainishwa na kupatiwa huduma ya ushauri na matibabu kutoka kwa madaktari bingwa waliotoa huduma kwenye kambi maalumu ya siku 4 katika hospitali ya Vwawa-Mbozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AHUDHURIA UFUNGUZI WA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amehudhuria ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) ambapo anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAGENI KUTOKA UMOJA NA AFRIKA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kamishna wa Amani na Usalama wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Balozi Smail Chergui Ikulu jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIWANDA CHA MAFUTA CHA MURZAH CHATEKETEA KWA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM

 Sehemu ya Kiwanda cha  Mafuta cha MURZAH kikiteketea kwa moto huku baadhi ya ya Magari ya Askari wa kikosi cha Zima Moto wakijitahidi kuzima moto huo ambao mpaka sasa chanzo chake hakijajulikana....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIDO YAKABIDHI VYETI VYA KUTAMBUA VIWANDA VIDOGO NA VYA KATI 300 DAR

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiSHIRIKA la kuhudumia Viwanda Vidogo vidogo(SIDO),limetoa vyeti vya kutambua viwanda vidogo vidogo na vya kati kwa wamiliki na wajasiriamali zaidi ya 300 kwa Mkoa wa Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa China nchini Tanzania, Bi. Wang Ke, ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma Aprili 20, 2018.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWZ ALERT AGNESS MASOGANGE AFARIKI DUNIA

Na Ripota Wetu,Globu ya jamiiHATUNAYE TENA!Hiyo ndio kauli unayowez kuielezea baada ya kuwepo kwa taarifa za kufariki dunia kwa video queen hot zaidi nchini na muigizaji wa filamu Agnes Gerald maarufu...

View Article
Browsing all 110090 articles
Browse latest View live




Latest Images