Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109981 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YASAJILI WAFANYABIASHARA WAPYA 600 MKOANI GEITA

Na Veronica Kazimoto, Geita.Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesajili jumla ya wafanyabiashara wapya 600 katika kampeni maalum ya utoaji huduma na elimu kwa mlipakodi iliyofanyika mkoani Geita ikiwa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Libeneke pekee la ufugaji nchini laja na app mpya

Daktari wa Mifugo na mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Dkt. Augustino Chengula, amekuja na app yake  ya UFUGAJI inayopatikana google play store. App hii ni ya tovuti ya ufugaji wa mifugo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huduma ya ‘Total wash’ yazinduliwa Dar

Total ambayo ni moja ya makampuni ya mafuta yanayoongoza nchini, imezindua huduma mpya na maalumu ya kuosha magari ijulikanayo kama “Total Wash” ambayo kwa sasa inapatikana katika vituo vya Africana,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASAF YAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO KUJADILI UTEKELEZAJI MPANGO KUNUSURU...

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii -TASAF- na wadau wa Maendeleo wameanza mkutano jijini Dar es salaam kupitia pamoja na mambo mengine utekelezaji wa Shughuli za Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini ------PSSN-...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPINA AWATAKA WAWEKEZAJI VIWANDA VYA PUNDA KUONGEZA BEI

Na John Mapepele, Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amewataka wawekezaji wa viwanda vya kuchinja Punda nchini kupandisha bei ya kununua wanyama hao badala ya shilingi laki mbili ya sasa...

View Article


UMOJA WAFANYABIASHARA UJERUMANI WATUA NCHINI KUFUNGUA OFISI YA URATIBU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MVUA YAUA WATU NANE DAR , MAKONDA ATOA TAHADHARI

*Ashauri wanafunzi wasiende shule kwa siku mbili, waliokuwa majumbani nao wakae huko hukoNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiMVUA zinazoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es Salaam imesababisha vifo vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KULINDA THAMANI YA SHILINGI KWA KUONGEZA THAMANI YA BIDHAA ZA NDANI

Na: WFMSerikali imeeleza kuwa inalinda thamani ya Shilingi kwa kudhibiti mfumuko wa bei ya huduma na bidhaa, kuhamasisha usafirishaji na uuzaji wa bidhaa zilizoongezwa thamani nje ya nchi kupitia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU MJINI DODOMA LEO APRIL 16,2018

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Mkwawa Iringa .katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo April 16/2018 kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mbunge wa Viti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU AKUTANA NA WAZIRI WA MAENDELEO YA KIMATAIFA JIJINI LONDON

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amkutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa nchini Uingereza  Mhe. Penny Mordaunt .Makamu wa Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARIBU KWENYE UZINDUZI WA JARIDA LA CHAUKIDU DULLES AIRPORT, VIRGINIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI SEIF AKUTANA NA UJUMBE WA WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI MISRI

Zanzibar inaweza kuimarika zaidi kiuchumi, Maendeleo na Ustawi wa Jamii endapo uwekezaji katika Sekta ya Utalii, ujenzi wa Miji Mipya ya Nyumba za Makaazi ya Wananchi wa kawaida, Uvuvi, pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO...

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (katikati) akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil, Mhe. Balozi Fernando Jose Marroni de Abreu...

View Article


Dkt Mwakyembe aeleza misingi ya kisheria Mawaziri kueleza Utekelezaji

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICHUZI TV: JANGWANI YAFURIKA, BARABARA YAFUNGWA KWA MUDA

 Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika eneo la Jangwani jijini Dar es salaam, baada ya Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mengi hapa nchini, hali iliyofanya Mto Msimbazi kufurika maji na kupelekea sehemu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMLAKA VIWANJA VYA NDEGE WATAKIWA KUTAFUTA MBINU MBADALA KUJIENDESHA

Na Ripota Wetu,Globu ya JamiiWAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amelitaka Baraza la wafanyakazi la Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kuwa na mbinu mbadala ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENGE WA UHURU KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA BIL 12.97/-KIGOMA

Editha Karlo,Blog ya jamii KigomaMKUU wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali mstaafu Emanuel Maganga ameupokea Mwenge wa Uhuru wa mwaka 2018 leo kutoka kwa Mkuu wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Kijuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA MIUNDOMBINU ILALA

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akisaidiwa kuvuka kwenye daraja la muda alipokuwa akikagua leo daraja la Mto Msimbazi linalounganisha Ulongoni B na Gongo la Mboto, Dar es Salaam, ambalo ni moja...

View Article

CAG ametuonesha njia-Dkt Tizeba

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAKONDA AWATAKA WANANCHI KUCHUKUWA TAHADHARI NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amefanya ziara ya kuwatembelea na kuwapa pole wahanga wa mafuriko na kuwataka wananchi waishio maeneo ya mabondeni kuhama ili kuokoa maisha yao. RC...

View Article
Browsing all 109981 articles
Browse latest View live




Latest Images