Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110164 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA APRILI 13,2018

KUSOMA MAGAZETI YA LEO BOFYA HAPA

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYABIASHARA WATAKIWA KUTUMIA BANDARI YA TANGA

MENEJA wa Bandari ya Tanga Privical Salama amewataka wafanyabiashara nchini kuendelea kutumia bandari ya Tanga kwa sababu ina uwezo mkubwa wa kuhudumia shehena kwa haraka kutokana na maboresha makubwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI BAVICHA MANISPAA YA IRINGA AIPONGEZA FAMILIA YA ASAS KUBORESHA...

Wahenga wanasema hujafa hujaumbika. Na ule msemo usemao kwamba maendeleo hayana vyama ni hakika na bayana. Mwezi January mwaka huu nilikamatwa na jeshi la polisi na kuwekwa mahabusu kwa siku 8 kesi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga ahimiza wadhamini kujitokeza Wiki ya Tanzania nchini Kenya

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora ambaye pia ni Katibu wa Kamati ya Maandalizi ya Maonesho ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YA POLAND YAFUNGUA RASMI OFISI ZA UBALOZI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Augustine Mahiga kwa pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Poland, Mhe. Jacek Czaputowicz wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Ofisi...

View Article


MWANDISHI, WAHARIRI WAITWA BUNGENI KWA MADAI YA KUDHALILISHA BUNGE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWAKYEMBE ATEUA MWENYEKITI WA BODI CHUO CHA MICHEZO MALYA NA WAJUMBE WAPYA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TEWW KUENDELEA KUWA KITOVU CHA KUTOA ELIMU BORA

Taasisi ya Elimu ya Watu wazima yaendelea Kujizatiti katika kutoa elimu bora kwa wale waliokosa elimu katika mfumo rasmi ili waweze kuchangia katika kujenga uchumi wa Viwanda.Kaimu Mkurugenzi wa TEWW...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MHAGAMA AUPONGEZA UONGOZI WA KANISA LA BAPTIST KWA KUENDELEA KUIOMBEA...

Waziri wa Nchi Ofisi anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ameupongeza uongozi wa Kanisa la Baptist nchini kwa kuendela kuliombea Taifa ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tigo Pesa Yapata Uthibitisho wa Huduma za Kifedha Kutoka Shirika la Kimataifa...

Tigo Pesa, huduma ya kifedha kwa simu za mkononi inayoongoza nchini, imepokea uthibitisho wa kimataifa ujulikanao kama ‘GSMA Mobile Money Certification’. Uthibitisho huu unatambua uwezo mkubwa wa Tigo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sekta binafsi Zanzibar yajadili mikakati madhubuti ya kufanikisha wiki ya...

Waziri Wa Viwanda, Biashara na Masoko wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Balozi Amina Salum akizungumza katika ufunguzi wa mkutano na Wafanyabishara wa Zanzibar uliofanyika katika Ofisi za Wizara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI HUDUMA ZA UFUNDI SEKTA YA UJENZI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA

 Mtendaji mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA, Dkt. Mussa Mgwatu akisoma taarifa kwa mgeni rasmi, wajumbe na watendaji hawapo pichani wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa wakala huo...

View Article

HAWA NDIO MAAFISA WAKUU WA JWTZ WALIOPANDISHWA VYEO NA RAIS DKT MAGUFULI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA PROGRAM YA MAFUNZO YA KUJIAJIRI NA KUONDOA UMASKINI WAFANYIKA

 Mkurugenzi wa Ajira Ali Suleiman Ameir akitoa maelezo kuhusiana na Ajira katika Uzinduzi wa  Programu ya Mafunzo ya Kujiajiri na kuondoa Umaskini(Skill development and trade market)  katika Ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shirikisho la Sanaa za Ufundi Tanzania (TAFCA) lamlilia Joyce Hagu

Na Sixmund J. BegasheRais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi Tanzania (TAFCA) Bw Adrian Nyangamale ameungana na wasanii wote, wapenda sanaa, Serikali ya Tanzani, na watanzania wote katika kuomboleza kifo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ADC AMA "MPAMBE" WA RAIS NI NANI?

Kufuatia kupandishwa cheo kwa aliyekuwa Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ya Tanzania (JWTZ) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMIA FIX MY HOUSE

It's time to turn your House to a HOME!!A house can be any basic unit of dwelling, whether its an apartment, a super modern glass box or anything else in between. The form of the house never matters as...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NUSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA HAPATOSHI

Na Bakari Madjeshi, Globu ya JamiiHATIMAYE yametimia, Droo ya Nusu Fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya imemalizika kupangwa mchana huu, kwa miamba ya soka barani humo kukutana uso kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI MANISPAA KIGAMBONI YAPONGEZWA KWA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA ILANI...

Mwenyekiti wa CCM Mkoa Bi. Kate Kamba ameipongeza Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni kwa utekelezaji wa Ilani wa chama cha Mapinduzi na kusema kuwa ameiona thamani ya fedha katika miradi yote...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TPA YAWAKUTANISHA WA WADAU KWA LENGO LA KUFANYA TATHIMINI JUU YA KAZI ZAO

Naibu Waziri, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano), Atashasta Nditiye akizungumza kuhusu Serikali  ilivyojipanga kuhakikisha inachukua masoko ya kibandari katika...

View Article
Browsing all 110164 articles
Browse latest View live




Latest Images