TADB, PASS, FSDT SEEK TZS 100 BILION TO SUPPORT IRRIGATION INFRASTRUCTURE
By Our Reporter – MorogoroTanzania Agricultural Development Bank (TADB), The Private Agricultural Sector Support Trust (PASS) and Financial Sector Deepening Trust (FSDT) are in the process to find...
View ArticleWAZIRI MKUU AIASA JAMII KUMUENZI MZEE MTOPA KWA KUDUMISHA AMANI NA MSHIKAMANO
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiasa jamii nchini kujiepusha na migogoro kwa vile haina tija na badala yake idumishe amani, upendo na uadilifu ili kumuezi mwanasiasa mkongwe nchini, marehemu Alhaj...
View ArticleMANISPAA YAZIDI KUING’ARISHA MAKAO MAKUU
Na Ramadhani Juma ,Ofisi ya Mkurugenzi HALMASHAURI ya Manispaa ya Dodoma kupitia Idara ya Mazingira na Udhibiti wa Taka Ngumu imeendelea kuimarisha miundombinu ya usafi kwa kuongeza vifaa vya kutunza...
View ArticleMEGHJEE ATUNUKIWA CHETI NA KANISA LA AICT BWIRU
Na Baltazar Mashaka, MwanzaKanisa la African Inland Church Tanzania (AICT) Bwiru la jijini Mwanza limemtunuku cheti Mwenyekiti wa The Desk & Chair Foundation (TD & CF) Alhaji Sibtain Meghjee...
View ArticleHALMASHAURI 182 ZAKAIDI ZADAIWA KUKAIDI AGIZO LA JPM
Na Mwamvua Mwinyi,KibahaHALMASHAURI 182 nchini ikiwemo saba za mkoani Pwani ,zinadaiwa kutumia vibaya mabilioni ya fedha yaliyotumika kuondoa zaidi ya lita 100,000 za dawa ya viuadudu vya mazalia ya...
View ArticleNewzz alert:Rais Magufuli awapandisha vyeo maafisa wa JWTZ
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Venance Mabeyo akitangaza majina ya Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopandishwa vyeo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleSekta Binafsi Yachangia Maandalizi Wiki ya Tanzania Nchini Kenya
Serikali itadumisha ushirikiano na sekta binafsi katika kutafuta fursa za kibiashara katika soko la pamoja la Afrika Mashariki na maeneo mengine duniani ili kujenga uchumi.Hayo yamesemwa leo jijini Dar...
View ArticleRC MAKONDA KUKUTANA NA KAMPUNI 30 KUTOKA UFARANSA , AWASHAURI WAFANYABISHARA...
Na Bakari Madjeshi, Globu ya jamiiMKUU wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda amekutana na Balozi wa Ufaransa nchini Federic Clavier ambapo kwa sehemu kubwa mazungumzo yao yamejikita kujadili kuhusu...
View ArticleMILIONI 250/- KUTUMIKA KUWAKATIA BIMA YA AFYA WATOTO WALIOTELEKEZWA DAR
Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameendelea na jukumu la kuwasaidia wanawake ambao wamezalishwa watoto na kisha kutelekezwa na waume zao huku akitumia nafasi...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA HAPA NCHINI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Balozi wa Uingereza nchini Bi. Sarah Cooke, Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es...
View ArticleWAZIRI KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA SITA BARAZA LA WAFANYAKAZI WAKALA WA...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa pili kulia) akishiriki kuimba wimbo wa mshikamano wa wafanyakazi wakati wa mkutano wa sita wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za...
View ArticleSHULE YA FOURTAIN GATE KINARA MATOKEO DARASA LA SABA 2017 MANISPAA YA ILALA
Na Ripota Wetu, Globu ya jamiiSHULE ya Fourtain Gate iliyopo Tabata Segerea jijini Dar es Salaam imeshika nafasi ya kwanza katika shule 10 bora zilizofanya vizuri katika matokeo ya mtihani wa darasa...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MZEE SYLVESTER LUBALA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini katika kitabu cha maombolezo alipojiunga na waombolezaji wengine kuaga mwili wa marehemu Mzee Sylivester Lubala Shimba, baba...
View ArticleSERIKALI ITAENDELEA KUMUENZI SOKOINE - WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya tano itaendelea kusimamia maadili ya utumishi wa umma ili kuenzi fikra za hayati Edward Moringe Sokoine. “Tutaendelea kusimamia maadili ya...
View ArticleWADAU WA UKANDA WA KATI WATEMBELEA BANDARI DAR ES SALAAM
Wadau wa Ukanda wa Kati (Central Corridor) wametembelea bandari ya Dar es Salaam ili kuona namna inavyoendesha shughuli zake pamoja na kupatiwa taarifa ya mipango iliyopo ya kuboresha zaidi huduma...
View Article
More Pages to Explore .....