Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUWAKUMBUKE NAKUWASHUKURU MASHUJAA WETU WANGALI HAI - GRACA MACHEL

Na Leah Mushi( Afrika Kusini)“Embu jiulize ni namna gani shujaa wa taifa angejisikia pale ambapo amekaa mbele ya watu wa rika tofauti jinsia tofauti wenye mirengo tofauti ya kisiasa wote wakimsifia na...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ian Ferrao concludes term as Vodacom Tanzania Managing Director

 Vodacom Tanzania PLC (Vodacom) has today announced that Ian Ferrao, the Company’s Managing Director will be stepping down in June 2018. Ferrao has reached the end of his 3-year tenure at Vodacom and...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKOPO WA DOLA MILIONI 65 WA KAGERA SUGAR WAWEKEZWA NCHINI

Na Benny Mwaipaja Serikali imeeleza kuwa kiasi chote cha dola za Marekani milioni 65 zilizokopwa na Kiwanda cha Sukari cha Kagera kutoka Benki ya CRDB kwa udhamini wa Serikali mwaka 2004 kimewekezwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Washindi Zaidi wa Nyaka Nyaka Bonus Wazawadiwa

Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi zawadi ya simu janja aina ya Tecno R6 kwa Yusra Ali Ramadhani (kulia) aliyeibuka kama mojawapo ya washindi 83 wa wiki hii katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

A Letter to Comrade Martin Thembisile (Chris) Hani

Comrade Chris,To an ordinary mortal it would seem odd that I should communicate with you, us being worlds apart. To a Christian, such as I am, and to you, born a Catholic, being a committed member of...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAPONGEZA UTENDAJI WA TANESCO

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa matumizi ya umeme wa Gridi ya Taifa wilayani Ngara, Aprili 8 mwaka huu.Na Veronica Simba - NgaraSerikali imelipongeza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa Kimataifa wa Nane wa Wiki ya Kijani

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (Mb.) akihutubia kwenye Mkutano wa Nane wa Wiki ya Kijani, unaowakutanisha wadau mbalimbali wanao simamia na kutengeneza vifaa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muhimbili Yapokea Msaada wa Vifaa Tiba

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imepokea msaada wa vifaa tiba kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) wenye thamani ya shilingi milioni kumi. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Bi. Nuru...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAISLAMU DHEHEBU LA SHIA ITHNA ASHERI IMAMIA MWANZA WASHIRIKI IBADA KANISANI

Mwenyekiti wa The Desk & Chair Foundation Sibtain Meghjee ambaye pia ni Mwenyekiti wa The Bilal Muslim Mission of Tanzania Kanda ya Ziwa akisisitiza jambo katika ibada iliyofanyika katika Kanisa la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AZINDUA CHANJO YA KUKINGA SARATANI YA KIZAZI JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu (katikati), Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu pamoja na wadau wengine wa Afya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZEE MWINYI, KIKWETE WAONGOZA MAMIA YA WAKAZI DAR KUAGA MWILI WA MTOPA

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiVIONGOZI wa ngazi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali wakiongozwa na Rais mstaafu Mzee Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Rais mstaafu Dk. Jakaya Kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGORONGORO HEROES TUNACHOHITAJI NI USHINDI TU - NINJE

Na Zainab Nyamka,Globu ya jamiiKOCHA Mkuu wa Ngorongoro Heroes Ammy Conrad Ninje amesema wao hawataangalia ni waamuzi gani watakaochezesha mchezo huo ingawa Shirikisho la soka barani Afrika limetoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YAKUSANYA TRILIONI 11.78/- NDANI YA MIEZI TISA

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii MAMLAKA ya Mapato Tanzania(TRA) imesema katika kipindi cha miezi 9 ya mwaka wa fedha 2017/2018 kuanzia Julai 2017 hadi Machi mwaka huu wamekusanya Sh.Trilioni 11.78....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akiongoza kikao cha bunge mjini Dodoma Aprili 10, 2018.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPINA AFUFUA KIWANDA CHA NYAMA SHINGANYA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ametoa siku saba kwa wawekezaji wa kiwanda cha nyama Shinyanga cha Kampuni ya Triple S Beef Limited na Agri Vision kuwasilisha hati zote za umiliki hati ya eneo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC ATOA ONYO KWA WATUMISHI WA SERIKALI WATAKAOSHINDWA KUSHIRIKI MICHANGO YA...

Na Shushu Joel, Busega.MKUU wa wilaya ya Busega mkoani Simiyu, Tano Mwera ametoa onyo kali kwa watumishi wa serikali watakaoshindwa kutoa michango ya maendeleo kwenye sehemu wanazoishi kwa kisingizio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"BQ CONTRACTOR" YANYAKUA TUZO YA UBORA YA KIMATAIFA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ukandarasi ya BQ, Injinia John Bura (wa pili kutoka Kulia) akiwa amenyanyua Tuzo ya Ubora ya Kimataifa (ISO 9001:2015) Baada ya Kampuni yake kukidhi viwango vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KWA UMMA-KUFUATIA TUKIO LA MOTO...

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linapenda kutoa taarifa kwa umma kufuatia tukio la moto kwenye ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililotokea mnamo tarehe 09 Aprili, 2018 majira ya saa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA POLAND KUZURU NCHINI

ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA POLAND NCHINI 11-13 APRILI 2018Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Poland, Mhe. Prof. Jacek Craputowicz atafanya ziara ya kikazi nchini Tanzania kuanzia tarehe 11...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI TPA WATUMIA MAADHIMISHO YAO KWA KUCHANGIA DAMU KUSAIDIA WENYE...

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiWAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA), wameshiriki kuchangia damu kwa lengo la kusaidia wenye uhitaji wa damu nchini ili kunusuru maisha yao.Tukio...

View Article
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live




Latest Images