DKT. KIKWETE ASEMA VIFO VYA WATOTO WACHANGA VINAWEZA KUZUILIKA, ASIFU JUHUDI...
Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiRAIS Mstaafu Jakaya Kikwete amesema matatizo ambayo yanatokana na uzazi yapo ambayo yanaweza kuzuilika na kuhimiza wadau kushirikiana na Serikali kwa lengo la kuendelea...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA KUHUSU UFAFANUZI WA TAKWIMU ZA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI NCHINI
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA WAZEE NA WATOTOTAARIFA KWA UMMA KUHUSU UFAFANUZI WA TAKWIMU ZA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI NCHINIWizara ya Afya, Maendeleo ya...
View ArticleRAIA RWANDA WAADHIMISHA MIAKA 24 YA MAUAJI WA KIMBARI JIJINI DAR LEO
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (wa pili kulia), Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura (wa pili kushoto) pamoja na Mratibu Mkazi wa Umoja wa...
View ArticleNAIBU WAZIRI KWANDIKA AFUNGA BARAZA LA WAFANYAKAZI SEKTA YA UJENZI, MOROGORO
Naibu Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa, akihutubia viongozi na wajumbe wa baraza la wafanyakazi wakati akifunga kikao cha pili cha baraza hilo kilichofanyika mkoani Morogoro.Mwenyekiti wa baraza la...
View ArticleDC KIGAMBONI ATOA AMRI KWA WASIMAMIZI WA MRADI WA LAKE OIL KUFANYIWA...
Mkuu wa wilaya ya kigamboni kwa kushirikiana na kamati ya ulinzi na usalama leo wametembelea kata ya Pemba mnazi eneo la Yaleyale panu kukagua utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa Alhamisi ya wiki...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI ATANGAZA AJIRA MPYA 1500 POLISI,ATAKA JKT WAPEWE KIPAUMBELE...
Na Ripota Wetu,Globu ya jamiiRAIS Dk.John Magufuli ametangaza nafasi 1500 za ajira mpya kwa Jeshi la Polisi nchini huku akitoa maelekezo, anataka vijana wa JKT ndio wapewe nafasi hizo na si kutafuta...
View ArticleMAJALIWA ASHIRIKI DUA YA KUMWOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR ABEID AMAN KARUME
Makamu wa Rais, Samia Suluhu, Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Balozi Ali Karume...
View ArticleWAMBURA AJIBU MAPIGO TFF BAADA KUTUPILIA MBALI RUFAA YAKE
Na Bakari Madjeshi, Globu ya JamiiALIYEKUWA Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF), Michael Wambura ameamua kufunguka na kujibu hoja ambazo zimetolewa dhidi yake.Wambura ameweka...
View ArticleCHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KAGERA (KCU) CHAFAFANUA KUHUSU MALIPO YA AWALI YA...
Na Mathias Canal, WK-DodomaMwenyekiti wa Bodi ya Chama Kikuu cha ushirika cha Kagera (KCU) Ndg Onesmo Niyegila ametoa ufafanuzi kuhusu malipo ya awali ya kahawa ya wakulima wa Chama Kikuu cha Kagera...
View ArticleKATIBU WA BUNGE AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KAMATI NDOGO TUME YA UTUMISHI WA...
Mwenyekiti wa kamati ndogo ya Tume ya Utumishi wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Susan Nsambu (kushoto) akizungumza na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) pale ugeni kutoka Bunge...
View ArticleKATIBU WA BUNGE AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KAMATI NDOGO YA TUME YA UTUMISHI WA...
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa kamati ndogo ya Tume ya Utumishi wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Susan Nsambu (kushoto) pale ugeni huo...
View ArticleJESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFUNGA MAFUNZO YA UZAMIAJI MAJINI KINA KIREFU
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, (CF) Billy Mwakatage, akipokelewa na Maafisa wa Jeshi hilo pamoja na mwenyeji wake ambaye ni mmiliki wa Yatch Club Bw. Brian Fernandes,...
View ArticleSERIKALI YAPATA MKOPO WA SHILINGI BILIONI 34 KUTOKA MFUKO WA MAENDELEO YA...
Na Benny Mwaipaja, WFM, DodomaSerikali ya Kuwait kupitia Mfuko wa Maendeleo wa Kiuchumi wa Kuwait (Kuwait for Arab Economic Development Fund), na Serikali ya Tanzania zimetiliana saini rasimu ya...
View ArticleLAZIMA WAWEPO MADEREVA WAWILI KWA MABASI YAENDAYO MIKOANI-KAMANDA MWANGAMILO
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiJESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Kinondoni kimesema mabasi yanayofanya safari za mikoani na nchi jirani lazima wawepo madereva wawili na hilo...
View ArticleSERIKALI YAPATA MKOPO WA SHILINGI BILIONI 34 KUTOKA MFUKO WA MAENDELEO YA...
Na Benny Mwaipaja, WFM, DodomaSerikali ya Kuwait kupitia Mfuko wa Maendeleo wa Kiuchumi wa Kuwait (Kuwait for Arab Economic Development Fund), na Serikali ya Tanzania zimetiliana saini rasimu ya...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AZINDUA NYUMBA ZA POLISI JIJINI ARUSHA LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo ya ujenzi wa kituo maalumu ya Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha ambacho kimejengwa na wadau wa...
View Article
More Pages to Explore .....