Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110151 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA LEO APRIL 6, 2018

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge akiongoza kikao cha kumi na moja cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma. Naibu Waziri Ofisi ya Rais...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

In Loving Memory Of Prof Phillip RObert Hiza

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: KAMATI YA RUFAA TFF YARIDHIA WAMBURA KUFUNGIWA MAISHA...

Na Bakari Majeshi, Globu ya jamiiKAMATI ya Rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) imeridhia uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Shirikisho hilo kumfungia maisha, aliyekuwa Makamu wa Rais wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MADAKTARI KUTOKA CHINA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi wa Nanjing Drum Tower Hospital Bw.Han Guangshu wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar  leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YAUTAKA UPELELEZI KESI VIGOGO WA SIX TELECOMS

Na Karama Kenyunko, Globu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa  mashtaka ifikapo Aprili 20 mwaka huu upeleke taarifa nzuri ya upelelezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCRA YATOA HUKUMU KWA RADIO TIMES FM, CLOUDS FM

Na Ropota Wetu,Globu ya jamiiKAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),imetoa hukumu kwa vituo viwili vya radio vya Times FM na Clouds FM kwa makosa ya ukiukwaji wa kanuni za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SZIFF YAMPA DILI WEMA SEPETU

Zainabu Nyamka,Globu ya jamiiMWIGIZAJI bora wa kike katika tasnia ya filamu nchini Tanzania Wema Sepetu amesaini mkataba mnono na Kampuni ya Auguster kwa ajili ya usambazaji wa filamu yake ya Heaven...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO MAYATIMA WAFANYA ZIARA YA KIMASOMO KIWANDA CHA MAZIWA CHA BAKHRESA...

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Muzdalifa Maalim Abdalla Hadhar akitoa Elimu kwa Wanafunzi na Watoto mayatima baada ya kuwasili  katika Kiwanda cha Maziwa Cha Bakhresa Fumba kwa ziara maalum ya kimasomo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya CRDB yakabidhi msaada wa Madarasa na Madawati kwa ajili ya wanafunzi...

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamin Sitta pamoja na Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la madarasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais aendelea na ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ujenzi wa Tawi la CCM Mtende Mndo, Makunduchi mkoa wa Kusini Unguja. (Picha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZUMA KORTINI KWA TUHUMA ZA RUSHWA

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiALIYEKUWA Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma (75)amefikishwa katika Mahakama ya Durban  nchini South Afrika kujibu tuhuma za rushwa zinazomkabili ikiwemo mpango wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOSPITALI WILAYANI MKURANGA YAKOSA MASHINE YA X-RAY

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiHOSPITALI ya Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani imekosa mashine ya X-RAY ,hali inayosababisha matumizi makubwa ya fedha kwa kufuata huduma hiyo katika hospitali ya Taifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU NISHATI, AFANYA ZIARA KATIKA KAMPUNI YA TIPPER

Na Rhoda James, Dar es Salaam Tarehe 5 Aprili, 2018 Katibu Mkuu wa Nishati Dkt.  Hamisi Mwinyimvua alifanya ziara katika kampuni ya kuhifadhi mafuta  ya TIPPER iliyopo Kigamboni Jijini Dar e Salaam....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali kuwashughulikia wanaovamia vyanzo vya maji

Na Robert Hokororo, Ofisi ya MkurugenziSerikali mkoani Shinyanga imesema itawashughulikia wanaovamia kufanya shughuli za kilimo na kunywesha mifugo kwenye vyanzo vya maji na kusababisha ongezeko la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABALOZI WAJITAMBULISHA NA KUMUAGA RAIS DK.SHEIN

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANANGE WA JAHAZI NA ZANZIBAR STARS JONZ PUB MAGOMENI MWEMBE CHAI DAR

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UKUTA UNAOZUNGUKA ENEO LA MGODI WA TANZANITE...

  Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi hati ya shukrani Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo baada ya jeshi hilo kukamilishi mbele ya wakati ujenzi wa ukuta wenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AHUDHURIA IBADA YA IJUMAA KATIKA MSIKITI WA GADAFFI MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na waumin wa Kiislam wakisikiliza mawaidha kutoka kwa Sheikh Sharif Badawi Ahmed, kutoka Mombasa nchini Kenya wakati alipohudhuria ibada ya Ijumaa, katika msikiti wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WILBROAD SLAA AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO KWA MFALME WA SWEDEN

 Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Wilbroad Slaa leo amewasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mfalme Carl XVI Gustaf wa Sweden.

View Article
Browsing all 110151 articles
Browse latest View live




Latest Images