Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109593 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA WA OPERESHENI WA ZIMAMOTO AZINDUA MAFUNZO YA UZAMIAJI MAJINI KINA...

 Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CF) Billy Mwakatage (kushoto), akiwa ameambatana na mwenyeji wake mmiliki wa Yatch Club Bw. Brian Fernandes (kulia), baada ya kuwasili ofisi za...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAASKOFU,WACHUNGAJI KANDA YA ZIWA WABARIKI TAMASHA LA PASAKA 2018,WAMPONGEZA...

MKurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akifafanua jambo mbele ya Maaskofu na Wachungaji wa mkoa wa jiji la Mwanza mapema leo jijini humo kuhusu upokeo na maandalizi ya tamasha la...

View Article

NJENJE WAIBUKA UPYA SALENDER BRIDGE CLUB JIJINI DAR ES SALAAM KUANZIA LEO

Baada ya kupata baraka zote toka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mabingwa wa muziki wa starehe nchini The Kilimanjaro band Wana Njenje wamerudi upya pale pale Salender Club jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA DC HAPI KUMTEMBELEA MSANII MAN DOJO ALIYEBOMOLEWA NYUMBA YAKE

Leo asubuhi nimefika alipokua akiishi msanii Man Dojo.Taarifa ya awali inaonesha kuwa eneo alilojenga kuna viwanja vitatu ambavyo vina hati na kuna watu walipewa mwaka 2003.Mwaka 2013 viwanja hivyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA: MTANZANIA LEYLA MTUMWA AUWAWA LONDON, UINGEREZA

Ndugu wapendwa watanzania na marafiki wa Tanzania wote, tunasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu Leyla Mtumwa kilichotokea tarehe 30 March 2018 mjini London. Inasadikiwa mauti yalimkuta  baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afungua mkutano mkuu wa BAKWATA mjini Dodoma leo.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaomba viongozi wa dini popote walipo wahakikishe wanaipigania na kuilinda amani kwa kila hali ikiwa ni pamoja na kupambana na viashiria vya uvunjifu wa amani. Waziri...

View Article

INTRODUCING "RC PAUL YOU ARE THE BEST" BY G-Rell Ft. Happy

View Article

KOCHA AMMY NINJE AWASHA MOTO KUJIBU MASWALI YA WAANDISHI WA HABARI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli aungana na Wakristo kuadhimisha misa ya Pasaka Kanisa la Mt....

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakilakiwa kwa furaha na Paroko Msaidizi Venance Tegete walipojumuika na waumini wengine katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TATIZO SUGU LA MIMBA ZA UTOTONI KWA WILAYA YA TUNDURU

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Ruvuma kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Jacqueline Ngonyani Msongozi, amewata wazazi kuwafichua watu wanaowapa mimba wanafunzi pamoja watoto waliochini ya umri wa miaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARUA YA PROF. KITILA MKUMBO KWA BABA ASKOFU DKT. FREDRICK SHOO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DEATH ANNOUNCEMENT IN LONDON,UK

By  Ayoub  MzeeON  behalf  of the  family with  deep sorrow we  regret to announce the  untimely death of our beloved  sister Laila Mtumwa which happened  in London on the 30.3.2018 in the Kirkstall...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AELEKEA GEITA KATIKA SHEREHE ZA KUWASHA MWENGE WA...

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza, Aprili 1, 2018 akiwa njiani kuelekea Geita ambako Aprili 2, 2018...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAMABADILIKO WASAIDIA KUPUNGUZA UKATILI WA KIJINSIA WILAYANI TARIME

"Shemeji zangu walikuwa sita walinipiga sana kwa kweli kwa sababu ya kutaka kumiliki Mali za Mume wangu ambaye ni Marehemu" , ni mmoja ya wanawake wa Tarime akisimlia kwa masikitiko kutokana na ukatili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF yasheherekea Pasaka kwa kuwahudumia Wanageita

Na Grace Michael, GeitaMfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umesherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa kutoa huduma za upimaji wa Afya bure pamoja na kukabidhi kadi za matibabu kwa watoto chini ya umri wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AZINDUA MBIO ZA MWENGE MKOANI GEITA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mwenge wa Uhuru kiongozi wa vijana sita watakaokimbiza Mwenge huo, Charles Kabeho wakati alipozindua mbio za Mwenge wa Uhuru kwenye uwanja wa Magogo mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWIGULU AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUTEMBEA KOTE NCHINI KUIHUBIRI DINI...

Waziri Wa mambo ya ndani Mhe. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba amewasihi viongozi mbalimbali wa dini nchini wakiwemo Maaskofu na Mashekh kutumia muda wao mwingi kwa kutembelea mikoa mbalimbali nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAKOBA FC MABINGWA KAMALA CUP 2018, WAIFUNGA IJUGANYONDO BAO 3-0 KWENYE...

Nahodha wa timu ya Bakoba Fc akiwa amebeba Kombe la Ubingwa leo hii jioni kwenye Uwanja wa Kaitaba mara baada ya kuibuka Kidedea kwa kuifunga Timu ya Ijuganyondo bao 3-0. Katika Mchezo huo Kipindi cha...

View Article

VOA Swahili: Duniani Leo Aprili 2, 2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WINNIE MANDELA AFARIKI DUNIA

Winnie Mandela, mke wa zamani wa Nelson Mandela, ambaye pia alipigana dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi Afrika Kusini amefariki dunia akiwa na miaka 81.Habari za kifo chake zimethibitishwa na...

View Article
Browsing all 109593 articles
Browse latest View live


Latest Images