Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yabariki Shindano la Miss Tanzania, sasa rasmi kubeba sura ya nchi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (kulia) akipokea mpango mkakati wa Mashindano ya urembo nchini (Miss Tanzania) kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya The Look,...

View Article



WASANII WAASWA KUJIEPUSHA NA MIGOGORO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jeshi la Wokovu kufadhili vijana 300 kupata mafunzo ya Ufundi Stadi

Kaimu Mkurugenzi wa VETA Kanda ya Dar es Salaam Florence Kapinga akizungumza katika hafla ya makubaliano ya VETA kusomesha vijana 300 wenye mahitaji maalum katika mafunzo ya ufundi stadi katika eneo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maadhimisho Upandaji Miti Kitaifa kufanyika wilayani Kishapu

Na Robert Hokororo, Ofisi ya Mkurugenzi Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga inatarajia kuwa mwenyeji wa Maadhimisho ya Upandaji Miti Kitaifa yatakayoanza Aprili 3,2018 hadi  Aprili 5,2018. Katika kilele...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWZ ALERT: BOMBARDIER Q400 ILIYOKUWA IMEZUILIWA NCHINI CANADA,KUTUA MUDA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI KANDA MAALUM DAR YAIMARISHA ULINZI KUELEKEA PASAKA

*Kamanda Mambosasa agusia upelelezi kifo cha Akwilina Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiKAMANDA wa Kanda Maalumu ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa amesema  hali ya usalama wa Jiji kuelekea Sikukuu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mwakyembe amtaka Msanii Roma Mkatolilki kujisajili BASATA ili aweze...

Na Genofeva Matemu – WHUSMWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amemtaka Msanii wa muziki wa bongo fleva Roma Mkatoliki kujisajili BASATA ili aweze kuondolewa kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SNURA MUSHI KUVUNJA UKIMYA APRILI 2 MWAKA HUU, MENEJA WAKE AWEKA HADHARANI...

Na Ripota Wetu,Globu ya jamiiSWALI ambalo mashabiki wa msanii na mwigizaji wa filamu nchini Snura Mushi kama atatoa wimbo mpya au filamu ,jibu swali kupatikana Aprili mwaka huu.Kwa muda mrefu mashabiki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAWASCO YATOA ONYO, WEZI WA MAJI MAGOMENI

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiMENEJA wa Shirika la Maji safi na maji taka  (DAWASCO) Magomeni Mponjoli Damson ametoa rai kwa wateja wanaounganisha maji kiholela kupitia mita za DAWASCO kuacha mara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA WA MTOTO MWENYE NGUVU ZA AJABU DAR AAMUA KUMUOMBA MSAADA MAKONDA

Na Emmanuel Masaka, Globu ya jamiiMAMA mwenye mtoto mwenye nguvu za ajabu anayeishi Mtaa wa Kwa Mbela uliopo Mburahati Mianzini Salama Omar amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJIO TAMASHA LA PASAKA MWANZA WAMFURAHISHA MBUNGE MABULA WA NYAMAGANA

*Awaomba wakazi Jiji la Mwanza kujitokeza kwa wingi,asema ni fursa kwa wanamuziki wa InjiliNa Ripota Wetu,Globu ya jamiiiMBUNGE wa Jimbo la Nyamagana ,Mwanza Stanslaus Mabula ameeleza kufurahishwa ha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

matukio ya ijumaa kuu katika picha leo jijini Dar

 Askofu Dkt Alex Malasusa wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, (DMP) akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani Mh.Edward Lowassa leo katika ibada ya Ijumaa Kuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIWANDA CHA NGUZO ZA ZEGE CHAFUNGWA KWA KUKOSA SOKO

Na Mwamvua Mwinyi,KibahaKIWANDA cha kutengeneza nguzo za zege cha Hunnan Power ,mjini Kibaha Mkoani Pwani ,kimefungwa kutokana na kukosa tenda na soko , tangu uzalishaji uanze mwezi september mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATALII WENGI WAZIDI KUTEMBELEA TANZANIA - WAZIRI KIGWANGALLA

Tanzania imefanikiwa kuongeza idadi ya watalii kutoka 1,284,279 mwaka 2016 hadi kufikia 1,327,143 mwaka 2017 hali iliyopelekea kuongezeka kwa mapato ya Serikali.Akizungumza wakati wa Mkutano wa 25 wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC SHIGELLA MGENI RASMI TANGA CITY MARATHON JUMAMOSI WIKI HII

MKUU wa mkoa wa Tanga, Martine Shigella ametarajiwa kushuhudia mashindano ya riadha ya Tanga City Marathon msimu wa piliyanayotazamiwa kufanyika Jumamosi wiki hii mjini hapa.Akizungumza na waandishi wa...

View Article


BBC DIRA YA DUNIA IJUMAA MACHI 30, 2018

View Article

Katibu wa Mbunge Godbless Lema Gabriel Kivuyo ajivua uanachama na kujiunga na...

Courtesy of Global TV

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA D AND G EXPORT LTD YATOA MSAADA WA BAISKELI NA TANI 3 ZA SARUJI...

Mama wa Mtoto Shaibu Alifa akiwa anampeleka mwanae Shule, ambaye anasoma shule ya msingi Mchangani iliyopo wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma. Kampuni ya D and G Export Ltd inayofanya kazi ya kununua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU ATAKA VIONGOZI WA DINI KUTOHUBIRI CHUKI

Na Ripota Wetu,Globu ya KjamiiWAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewasihi viongozi wa dini nchini wasitumie mahubiri yao kuharibu amani au kuleta mgongano katika jamii.Pia amesema Serikali inatambua wako...

View Article

Introducing New Song from AMINI - "SIJUI"

View Article
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live




Latest Images