Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109936 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI ZA BIMA ZATAKIWA KUWAHUDUMIA WANANCHI KWA UWAZI

Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG. Kampuni za bima nchini zimeshauriwa kuwahudua wananchi kwa uwazi na kutoa huduma za kiwango cha juu ili kuweza kuleta maendeleo ya kiuchumi. Hayo aliyasema...

View Article



KUTOA HABARI NA TAARIFA SERIKALINI NI TAKWA LA KISHERIA - DKT. HASSAN ABBAS

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF yapeleka huduma kwa wananchi

Wananchi wamejitokeza kupata huduma za upimaji wa afya bure na usajili wa watoto kwenye huduma za NHIF. Huduma ya upimaji wa afya bure na ushauri wa kuepukana na magonjwa yasiyoambukiza. Wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK ABBAS AZUNGUMZIA UMUHIMU MAOFISA HABARI KUTOA TAARIFA

Na Leandra Gabriel, Globu ya JamiiMSEMAJI wa Serikali Dkt. Abbas Hassan amesema utoaji taarifa na habari kwa sasa ni takwa la kisheria na si utashi wa ofisa habari na tayari wameelezwa hilo na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC LYANIVA AAHIDI KUTATUA KERO ZA WAFANYABISHARA TANDIKA

Na Zainab Nyamka, Globu ya jamiiMKUU wa Wilaya ya Temeke Dar es Salaam  Felix Lyaniva amekutana na wafanyabiashara wa Tandika ambapo amewaahidi kuhakikisha anatatua kero ambazo zinawakabili kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO AWATUNUKU STASHAHADA NA ASTASHAHADA ASKARI POLISI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP, Simon Sirro akiwasili katika viwanja vya Mahafali ya kiwatunuku Askari Polisi waliohitimu astashahada na stashahada za Sayansi ya Polisi na Upelelezi kutoka vyuo vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO MKUU WA YANGA SASA RASMI MEI 5

Na Zainab Nyamka,Globu ua JamiiKATIBU Mkuu wa Klabu ya Yanga Charles Boniface Mkwasa ametangaza siku maalumu ambayo klabu itafanya mkutano mkuu wa wanachama wote,kujadili masuala mbalimbali muhimu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: HAKUNA TISHIO LA USALAMA NCHINI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKIKumekuwa na taarifa kwenye mitandao ya kijamii zinazosambazwa na watu wasioitakia mema nchi, zinazotishia usalama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI CHA KUPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma , Machi 29, 2018. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI UTUMISHI WATOA MISAADA KWENYE KITUO CHA KULELEA WAZEE WASIOJIWEZA...

CHUO cha Utumishi wa Umma Tawi la Tanga kimetoa msaada kwenye kituo cha kulelea wazee wasiojiweza cha Mwanzange Jijini Tanga ikiwa ni mpango wao wa kuona namna ya kusaidia jamii inayokabiliwa na...

View Article

EFM YAWEKA MILIONI 300 SHIKA NDINGA KWA MIKOA SITA

View Article

MBOWE NA WENZIE WATANO CHADEMA KULA PASAKA MAHABUSU

View Article

Habari za UN: Ndio sisi ni Albino, hata mikate tukioka hamnunui?

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF YADAI ZAIDI YA BILIONI 58 KWA WAAJIRI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBULU YAPATIWA FEDHA ZA KUHAMIA HAYDOM

Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, imepokea kutoka serikali kuu kiasi cha sh1 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa makao makuu mapya yatakayojengwa Mji mdogo wa Haydom. Pia, kwenye bajeti ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ROMA MKATOLIKI, PRETTY KIND WARUDISHWA KWA MASHABIKI

Na Leandra Gabriel, globu ya jamiiWAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe leo Machi 29 ametoa tamko kuhusu wasanii waliofungiwa kazi zao za sanaa.Akizungumza jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WASANII WA FILAMU MKOANI ARUSHA

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Bi. Joyce Fissoo akitoa maelekezo kwa wasanii wa Filamu wa Mkoa wa Arusha wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wasanii wa filamu wa mkoa huo yaliyofanyika leo...

View Article


KIPINDI CH BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MTWARA AKAGUA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI MANGOPACHANNE

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mtwara Mh. Evod Mmanda metembelea na kukagua ujenzi wa shule ya sekondari ya kata ya Mangopachanne Mtwara vijijini na kujionea ujenzi wa shule hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI MGALU AKAGUA KITUO CHA KUZALISHA,KUSAMBAZA UMEME MKOANI MTWARA

Naibu Waziri wa Nishati Mh. Subira Hamisi Mgalu akikagua kituo cha uzalishaji umeme na kusambaza umeme mkoani Mtwara . wakati alipotembelea kituo hicho jana akiongozana na Mkuu wa wilaya ya Mtwara na...

View Article
Browsing all 109936 articles
Browse latest View live




Latest Images