Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110026 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI YA MFUMO WA PAMOJA WA KIELEKTRONIKI WA UONDOSHAJI SHEHENA YAANZA

Na Veronica Kazimoto,Dar es Salaam,Serikali imeanza maadalizi ya kutengeneza Mfumo wa Pamoja wa Kielektroniki wa Uondoshaji Shehena Bandarini, Viwanja vya Ndege vya Kimataifa na Mipakani kwa lengo la...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuzindua ugawaji vyandarua vyenye dawa ya...

Wizara ya afya Zanzibar kupitia Kitengo cha kumaliza Malaria katika juhudi zake za kupambana na ugonjwa wa Malaria kinakusudia kutoa vyandarua laki moja na 95 elfu kwa mama wajawazito na watoto...

View Article

NAIBU WAZIRI SHONZA NA DIAMOND WAFIKIA MUAFAKA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO AL-HAMISI MARCH 29,2018

KUSOMA ZAIDI MAGAZETI YA LEO BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI YA MFUMO WA PAMOJA WA KIELEKTRONIKI WA UONDOSHAJI SHEHENA YAANZA

  Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Charles Kichere akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa Wakuu wa Taasisi za Serikali wanaohusika na udhibiti wa mizigo Bandarini,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AGPAHI YAKABIDHI MASHINE ZA KUCHUNGUZA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI,KOMPYUTA...

Shirika la Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI) limekabidhi mashine tano za kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake ‘cryotherapy machines’ mkoa wa Mwanza. Msaada huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MFUMO MPYA WA MALIPO YA LUKU

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake wote wanao tumia mita za malipo ya kabla yaani (LUKU) kuwa, kuanzia April 2, 2018 TANESCO itahamia rasmi katika mfumo wa malipo wa Serikali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MASENZA AWAPONGEZA RDO KWA KUTATUA TATIZO LA MAJI KWENYE BAADHI YA VIJIJI...

 Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akimtusha ndoo ya maji mmoja ya wananchi walihudhulia uzinduzi wa mradi maji ulifadhiliwa na shirika lisilo la kiserikali la Rural Development Organization (RDO)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WENGI WANA IMANI KUBWA NA TAARIFA ZINAZOTOLEWA NA RAIS, WAZIRI...

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiWANANCHI wengi wamesema wana imani kubwa na taarifa zinazotolewa na Rais kwa asilimia 70  na Waziri Mkuu kwa asilimia 64 huku idadi ndogo zaidi wanamwamini mwenyekiti wao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakulima wapata wigo mkubwa wa mazao ya kupanda baada ya kunganishwa vijiji...

Jakulima sasa wapata  wigo mkubwa zaidi wa aina ya mazao ya kupanda baada ya kunganishwa kwa vijiji na mtandao wa intaneti wa simu. Tazama video na ujifundishe pia.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUO KIKUU CHA WAISLAMU CHA MOROGORO KUANZISHA KAMPASI KIGAMBONI JIJINI DAR...

Na John Nditi, MorogoroUONGOZI wa Chuo  Kikuu  cha Waislamu cha Morogoro (MUM) kinatarajia kujenga kampasi  tawi la Kigamboni, Jijini Dar es Salaam  itakayo kutoa shahada mbalimbali za masomo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAM KAMANGA WA 'ATI' AWATAKA WADAU WA BIMA WAWEKEZE KWENYE TEKNOLOJIA

Mwenyekiti wa Umoja wa Makampuni ya Bima Tanzania (ATI) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima Taifa (NIC) Sam Kamanga akiwa na watendaji wake jana katika banda la NIC Mlimani City wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbulu yapatiwa fedha za kuhamia Haydom

Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, imepokea kutoka serikali kuu kiasi cha sh1 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa makao makuu mapya yatakayojengwa Mji mdogo wa Haydom. Pia, kwenye bajeti ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZUKA WA SOKA NA COKA YAWAFIKIA KANDA YA KASKAZINI

Mkuu wa Mauzo na Masoko wa kampuni ya Bonite Bottlers, Chris Loiruk akiongea na wafanyakazi wakati wa uzinduzi wa promosheni. Wafanyakazi wa Bonite wakisherekea kuzinduliwa kwa promosheni. Baadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADEREVA WAONYWA KUFANYA MBWEMBWE BARABARANI KIPINDI CHA SIKUKUU

Na Mwamvua Mwinyi,PwaniJESHI la Polisi mkoani Pwani limewaasa madereva hususani wa mabasi yanayofanya safari za mikoani ,kuacha kufanya mbwembwe wakati wakiwa barabarani na kutumia vileo katika kipindi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARIBU JUMAPILI YA PASAKA DMV

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WARAMI WAISHUKIA KAMATI KUU CHADEMA, KUINGILIA UHURU WA MAHAKAMA

Na Mwandishi WetuWATETEZI wa Rasilimali Wasio na Mipaka(Warami)limesema limesikitishwa na kitendo cha Kamati kuu ya Chadema kuingilia uhuru wa Mahakama baada ya jana kuitisha mkutano kuzungumzia mambo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUIMARISHA USIMAMIZI WA TAALUMA YA MAENDELEO YA JAMII NCHINI

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) imeahidi kuimarisha taaluma ya Maendeleo ya Jamii ili iweze kuongeza tija katika jamii....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VETA yakabidhi vyeti kwa wahitimu 26 wa VSOMO

Mkuu wa Chuo cha Veta Kipawa, Sospeter Mkasanga, akimkabidhi cheti mhitimu wa Mafunzo ya VSOMO kupiti mtandao wa Simu wa Airtel Tanzania, Elias Joseph. Katikati ni  Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel...

View Article

UFAFANUZI KUHUSU RIPOTI ZA MWAKA ZA MDHIBITI NA MKAGUZI MKU WA HESABU ZA...

View Article
Browsing all 110026 articles
Browse latest View live




Latest Images