Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109589 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA ZANZIBAR,UBALOZI WA SWEDEN WASAINI MAKUBALIANO YA...

 Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Khamis Mussa Omar (kushoto) akitiliana saini na Mkuu wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Ubalozi wa Sweden Ulf Kallstig (kulia) kuhusiana na Mradi wa awamu ya pili wa...

View Article



WAPENZI WA SIKINDE MSIKOSE DAR CCM FAMILY DAY

View Article

NAHODHA WA TIMU YA DR CONGO ATOA SIRI YA KUFUNGWA KWAO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YAAMURU MMILIKI IPTL AKATIBIWE HOSPITALI YA MUHIMBILI

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru mmiliki wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL, Habinder Sethi, kupelekwa  kutibiwa  katika Hospitali ya Taifa ya...

View Article

CARRER TIMES LTD KUSAKA VIJANA WABUNIFU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATAALAM UPIMAJI ARDHI WAANZA UHAKIKI MIPAKA TANZANIA,NCHI JIRANI

Na Rehema Isango, MaraTIMU ya watalaamu wa upimaji ardhi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini na Taasisi za Usimamizi wa ardhi Kenya zimekutana wilayani Tarime mkoani Mara kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC TABORA: WAKANDARASI WA KITANZANIA HAKIKISHENI MIRADI YENU INAKUWA YA...

Na Tiganya VincentWAKANDARASI Kitanzania wametakiwa kuzingatia ubora, viwango  vya kazi zao ili waweze kuaminika kwa Serikali na hivyo kupata fursa kubwa ya kupewa miradi mipya inayotarajiwa kujengwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Milioni 260 za Tatumzuka kunyakuliwa katika ‘Jackpot’ ya Pasaka

Tatu Mzuka, mchezo wa namba unaongoza hapa nchini unawapa fursa Watanzania kushinda kitita cha Shilingi milioni 260 katika droo itakayofanyika jumapili ya pasaka na kuonyeshwa moja kwa moja saa 3:30...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AREJEA DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Kasulu Mjini , Daniel Nsanzugwako kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma wakati aliporejea akitoka Dar es salaam Machi 28, 2018. Wapili kulia ni Waziri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA NA URUSI WAMUAGA MAKAMU WA RAIS TAYARI KWA...

Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda  Mhe.Ernest Mangu na Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi  wa  Urusi leo wamekutana na kuzungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YA UONGOZI YAKUTANA LEO MJINI DODOMA

 Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa, Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilicholenga Mambo muhimu yaliyojitokeza kwenye kamati za kisekta wakati wa kujadili utekelezaji wa Bajeti za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BancABC YATEKELEZA SERA YA FEDHA YA BoT

BENKI ya BancABC  imesema imetekeleza Sera ya fedha  ya Benki  Kuu ya Tanzania(BoT) kwa kutangaza kutoa punguzo kwa wateja  wake wapya kuwezesha  kukopa kuanzia Aprili 1 mwaka huu.Akizungumza leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA PASAKA KUTIKISA KANDA YA ZIWA,KUANZIA CCM KIRUMBA APRILI MOSI...

Ni siku nne zimebaki kengele ya Tamasha la Pasaka zinahesabika. Ni Aprili Mosi, kwenye Uwanja  wa CCM Kirumba, jijini Mwanza.Mara nyingi Tamasha la Pasaka limekuwa likifanyika jijini Dar es Salaam...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI WAIMARISHA ULINZI KUELEKEA PASAKA, LASEMA HALI YA USALAMA WA NCHINI...

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiJESHI la Polisi nchini limesema hali ya usalama nchini ni shwari na matukio makubwa ya uhalifu wa kutumia silaha yamepungua kwa kiasia kikubwa huku likieleza kipindi hiki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIGWANGALLA APOKEA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA

Kufuatia jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali kutafuta wawekezaji wa Kimataifa kwa ajili ya kuwekeza katika sekta utalii hapa nchini, Kampuni ya Kimataifa ya Tibet Dexin Financia Leasing kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YAJITOSA KUSAKA WABUNIFU WA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO

Na Said Mwishehe,  Globu ya Jamii.KAMPUNI ya Carrer Times Ltd inayoshighulisha na teknolojia imeandaa Africa Technology Awards yenye lengo la kusaka na kuibua wabunifu katika mambo yanayohusu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC HAPI AAGIZA WATENDAJI KUTOA FEDHA BIL 2.3/- KWA WAJASIRIAMALI KINONDONI

Na Agness Francis Blogu ya JamiiMKUU wa Wilaya ya Kinondoni  Dar es Salaam Ally Hapi amewaagiza watendaji wake kuhakikisha hadi ifikapo Juni mwaka huu wawe tayari wametoa fedha za mkopo Sh.bilioni 2.3...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMOJA WA RUDISHA UZALENDO WAANDAA MAANDAMANO KUPONGEZA JUHUDI ZA RAIS

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiWAKAZI wa Jiji la Dar es Salaam  kupitia Umoja wa Rudisha uzalendo Tanzania (RUTA) umepongeza juhudi za Rais Dk.John Magufuli na watendaji kazi wake katika kusukuma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAVITA YALAANI UCHOCHEZI UNAOFANYWA NA BAADHI YA WANASIASA

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiTAASISI ya Taasisi ya Taswira ya Vijana Tanzania (TAVITA) imelaani vikali uchochezi unaofanywa na baadhi ya wanasiasa kupitia mitandao ya kijamii dhidi ya Serikali ya...

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article
Browsing all 109589 articles
Browse latest View live


Latest Images