Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110133 articles
Browse latest View live

SALAMU ZA WENYEVYITI WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE WAKATI WA UPOKEAJI WA...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli apokea ripoti ya hesabu za Serikali ya 2016/17 kutoka kwa CAG

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBOWE NA VIONGOZI WENGINE WATANO WA CHADEMA WAFIKISHWA MAHAKAMANI

*Mahakama yaamua kuwanyima dhamana kwa usalama wao*Hatma yao kujulikana Ijumaa iwapo watatoka mahabusu au laNa Karama Kenyunko,Globu ya jamiiMWENYEKITI wa Chadema Freeman Mbowe na viongozi wengine wa...

View Article

HOTUBA YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA CAG,MARCH...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC SOPHIA MJEMA AZINDUA UPANDAJI MITI, APIGA MARUFUKU WANAOPIKA BARABARANI

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akipanda mti kuashiria uzinduzi wa wiki ya upandaji Miti katika wiaya hiyo.Na Heri ShaabanWILAYA ya Ilala jijini Dar es Salaam wazindua wiki ya upandaji miti katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC Wangabo azigeukia NGOs na CSOs kuhamasisha uanzishwaji wa viwanda...

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amezitaka asasi za kiraia na mashirika yasiyo ya kiserikali kuchukulia juhudi za uanziswaji wa viwanda nchini unaofanywa na serikali kama suala mtambuka na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINARA WA UDHALILISHAJI WANAWAKE MKOANI MOROGORO AKAMATWA.

Na John Nditi, MorogoroPOLISI mkoani Morogoro imefanikiwa kumnasa mtuhumiwa sugu  ajulikanaye kwa jina la Mabula  Mabula  ( 28), maarufu ‘SIX ‘ mkazi wa Kata ya Mji Mpya , ,Manispaa ya Morogoro ,...

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATANO MARCH 28,2018

KUSOMA MAGAZETI  YA LEO BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAONESHO YA YST KUFANYIKA MAPEMA AGOSTI

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamii.Taasisi ya Young Scientist Tanzania (YST) inapenda kuwaalika wanafunzi wa shule za sekondari pamoja na walimu kushiriki katika maonesho ya YST 2018 yatakayofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUBU ANAPOKUWA SHAHIDI MAHAKAMANI.

Na  Bashir  Yakub.Bubu yaani mtu asiyeweza kuongea  anaweza kuwa shahidi mahakamani iwapo ameshuhudia tukio. Kutokuwa na uwezo wa kuongea hakumwondolei sifa ya kushuhudisha kile ambacho amekishuhudia....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO KUTUMIA MFUMO MPYA WA MALIPO YA SERIKALI KUUZA UMEME,PIA KAMPUNI ZA...

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiSHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema wateja wake wote wanaotumia mita za malipo ya kabla yaani (LUKU) kuwa, kuanzia April 2, mwaka huu shirika hilo itahamia rasmi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Je! Unajua unaweza kupata bei bora za soko kwa shamba lako la kuzalisha kwa...

Je! Unajua unaweza kupata bei bora za soko kwa shamba lako la kuzalisha kwa kutumia mtandao wa simu? Tazama na ujifunze jinsi wengine wanavyofanya.

View Article


ALICHOKISEMA WAZIRI JAFO KUHUSU MAAGIZO YA MHE. RAIS JOSEPH POMBE MAGUFULI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWAKYEMBE AKUTANA NA MSANII DIAMOND,WAMALIZA TOFAUTI ZILIZOJITOKEZA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hatua zilizochukuliwa na wizara kwa kufungia baadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KENYA NA TANZANIA WAHAKIKI MPAKA WA KIMATAIFA

Na Rehema Isango, Tarime, MaraTimu za watalaamu wa upimaji ardhi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Tanzania na taasisi za usimamizi wa Ardhi nchini Kenya zimekutana wilayani Tarime...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni kushika nyadhifa mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MILIONI 400/= KUJENGA MAJENGO MANNE YA KISASA

Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma imepokea fedha kutoka  Ofisi ya Raisi TAMISEMI kwa ajili ya kuongeza majengo katika kituo cha afya Namtumbo.Ofisa Habari wa Halmashauri ya wilaya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGALU AWATAADHARISHA WAKANDARASI/WATUMISHI WANAOHAMASISHA MAANDAMANO

Na Mwamvua Mwinyi, KibahaSERIKALI imetoa tahadhari kwa watumishi ,wakandarasi na wadau wa sekta ya Nishati wanao husika na miradi wasitikise kiberiti kwa kuhamasisha maandamano kupitia shida za...

View Article
Browsing all 110133 articles
Browse latest View live




Latest Images