Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109572 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EFM YAWEKA MILIONI 300 SHINDANO LA SHIKA NDINGA

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMKURUGEZI Mkuu wa kituo cha Efm Radio, Dennis Busulwa(SEBO) amesema kampuni yake imewekeza kiasi cha zaidi Milioni 300 kwa ajili ya shindano lake la Shika Ndinga...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHAMIAJI HARAMU WAKAMATWA PINGO/MKOANI PWANI-RPC SHANNA

 Kamanda wa polisi Mkoani Pwani, (ACP) Jonathan Shanna akizungumza kuhusiana na misako na doria zinazoendelea Mkoani humo. Kamanda wa polisi Mkoani Pwani, (ACP) Jonathan Shanna akiakionesha baadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAONESHO YA WAVUMBUZI, WABUNIFU KUANZA APRILI 27 DAR

Ofisa Habari wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Edward Nkomola akizungumza na waandishi habari kuhusiana na maonesho ya wabunifu na wavumbuzi  yatayofanyika Aprili 27 hadi 29, leo  jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BancABC YAANZA KUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA BoT

 Mkurugenzi mtendaji wa BancABC Dana Botha akizungumza na waandishi wa habali katika ofisi zao Leo Jijini Dar es Salaam,kuhusu punguzo la tozo  ya mikopo mbali mbali kwa wateja wao.Mkurugenzi Mtendaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIPOTI YA CAG YASABABISHA MAGUFULI KUSIMAMISHA WAKURUGENZI WAWILI

*Aagiza wachunguzwe dhidi ya tuhuma zilizobainika kwenye ripoti*Ataka iwe fundisho kwa wakurugenzi wengine nchini, atoa angalizo*Azungumzia ucheleweshaji kesi unaosababsha Serikali kukosa Trilion...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUMISHI WATANO NCAA WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUISABABISHIA SERIKALI HASARA...

Na.Vero Ignatus Arusha.Wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA])wamefikishwa mahakamani leo kwa kosa la kuisababishia hasara serikali na kusababisha hasara ya dola za Kimarekani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA WAJASILIAMALI WILAYA YA KINONDONI

Mkuu Wa Wilaya Kinondoni Mheshimiwa Ally Salum Hapi Anawaalika Wajasiliamali Wote Wilaya Ya Kinondoni Kesho Siku Ya Jumatano MAHALI: Ukumbi Wa King Solomoni- NamangaMDA: Saa 3 AsubuhiLENGO: Kusikiliza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakazi wa Dodoma washuhudia uzinduzi wa umisseta ngazi ya mkoa

MASHINDANO ya shule za sekondari ya UMISSETA ngazi ya mkoa yamezinduliwa mkoani Dodoma, na mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa ni Waziri wa TAMISEMI,Selemani Jafo.Uzinduzi huo pia ulihudhuriwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taifa Stars na DR Congo ngoma bado mbichi, mtanange unaendelea Taifa

Mchezo wa kirafiki wa kimataifa wa kalenda ya FIFA baina ya Taifa Stars na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umeanza katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Kipindi cha pili kimeanza matokeo bado...

View Article


JESHI LA POLISI MBEYA LAKANA KUHUSIKA KIFO CHA KIJANA MUUUZA MACHUNGWA,LATOA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKILI WA NONDO WASUBIRI BARUA INAYOSAMBAA MTANDAONI INAYOSEMA AMESIMAMISHWA...

Karama Kenyunko,Globu ya jamii.WAKILI wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) Abdul Nondo, Jebrah Kambole amesema barua inayozunguka katika mitandao ya kijamii kuhusu kusimamishwa chuo kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI SEIF AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA CUBA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mohamed Aboud Mohamed mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA:UKIMPA UJAUZITO MWANAMKE DAR ES SALAAM UJIPANGE KWA MATUNZO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda. Na Emmanuel Masaka,Globu ya jamiiJOPO la wataalam kutoka ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, maofisa Ustawi wa Jamii, Wanasheria pamoja na askari Polisi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT KALEMANI AWAPA MAAGIZO WAKANDARASI WA REA NCHINI

WAZIRI wa Nishati Dkt Medard Kalemani amewaagiza wa wakala wa nishati vijijini (REA) nchini kuhakikisha wanaunganisha umeme kwenye vijiji vitatu kila wiki ili kuweza kutoa fursa ya wananchi kufikiwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBOWE, WENZAKE WATANO WAPANDISHWA KORTINI WAKIKABILIWA NA MAKOSA NANE

Gari la Jeshi la Polisi lilipowasili katika Maahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo jijini Dar es Salaam likiwa na Dk.Mashinji, Mnyika, Msigwa na Ester Matiko.*Yumo pia Dk.Mashinji, Mnyika, Msigwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK.SHEIN AKUTANA UJUMBE WA HUAWEI LEO

 Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia)  akisalimiana na  Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Bw.Gao Mengdong, alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JAFO AWASIMAMISHA KAZI WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA UJIJI NA PANGANI

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amewasimamisha kazi Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya ya Kigoma Ujiji na Pangani Tanga kutokana na Ofisi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAIFA STARS YAIRARUA DR CONGO BILA HURUMA, YAIFUNGA 2-0

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Mchezo wa kirafiki wa kimataifa wa kalenda ya FIFA baina ya Taifa Stars na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umemalizika kwa Tanzania kuondoka na ushindi wa goli 2-0...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYABIASHARA WADOGO WAANZA KUPEWA VITAMBULISHO VYA TRA

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akimkabidhi mmoja wa wafanyabiashara kitambulisho na Namba ya Utambulisho ya Mlipakodi (TIN) wakati wa uzinduzi wa zoezi la utoaji vitambulisho Dar es Salaam Machi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA SHIMMUTA

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi wa Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi kuwaruhusu wafanyakazi kushiriki michezo katika maeneo yao...

View Article
Browsing all 109572 articles
Browse latest View live




Latest Images