Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109597 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAIFA STARS, CONGO KUKIPIGA KESHO UWANJA WA TAIFA

Na Agness Francis Blogu ya JamiiBAADA ya Taifa Stars kuchapwa mabao 4-1 dhidi ya Algeri wakiwa ugenini sasa wanawakaribisha nyumbani kikosi cha timu ya Taifa ya Jamuhuri  kidemokrasia ya Congo kwenye...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA

Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Albert Ntabaliba akizungumza wakati wa kupitia na kujadili Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2018/2019 katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa...

View Article

Wawekezaji Wazawa Wapewa Rai Kujenga Viwanda vya Dawa

    

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MKUU MSD AMTAJIA RAIS MAGUFULI CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI

Na Said Mwishehe, Globu ya JamiiMKURUGENZI Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) Lauraean Bwanakunu pamoja na mafanikio ambayo wameyapata katika kutekeleza majukumu yao ya kununua, kusambaza, kutunza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MATIRO APIGISHA KURA ZA SIRI KUBAINI WAUAJI WA WANAWAKE SHINYANGA VIJIJINI

Na Kadama Malunde - Malunde1 blog.Kufuatia kuibuka kwa taarifa za kuwepo kwa mauaji ya wanawake yanayoambatana na imani za kishirikina katika kata ya Salawe wilaya ya Shinyanga, mkuu wa wilaya hiyo...

View Article


WAHANDISI WA BAM INTERNATIONAL WASHAURI WASICHANA WAPENDE MASOMO YA SAYANSI

View Article

Introducing Brand New Linex "I'M Sorry" Audio/Video

View Article

Wagombea Urais wa Jumuiya ya Watanzania DMV MArekani Waongea Baada ya Matokeo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWALIM MKUU KAKONKO AJINYONGA AKIWA OFISINI KWAKE,AANDIKA UJUMBE MZITO

Na Rhoda Ezekiel, Kigoma MKUU wa Shule ya Sekondari Kakonko wilayani Kakonko mkoani Kigoma,Peter Rubonya amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kamba ofisini kwake mapema leo asubuhi.Akielezea tukio...

View Article


"TUNA WAJIBU WA KULINDA UTAMADUNI WA NCHI YETU"-WAZIRI MWAKYEMBE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAVUNDE AIPONGEZA OSHA KUBORESHA UTENDAJI WAKE

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Mh. Antony Mavunde, ameupongeza Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kwa jitihada unazozichukua katika...

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT KALEMANI ATOA MAAGIZO WAKANDARASI WA REA NCHINI

WAZIRI wa Nishati Dkt Medard Kalemani amewaagiza wakala wa nishati vijijini (REA) nchini kuhakikisha wanaunganisha umeme kwenye vijiji vitatu kila wiki ili kutoa fursa ya wananchi kufikiwa na huduma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMANNE MARCH 27,2018

KUSOMA MAGAZETI YA LEO BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mwakyembe atangaza rasmi Maudhui ya Mtandaoni.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FUATILIA HAPA MOJA KWA MOJA: CAG AKIWASILISHA RIPOTI YAKE KWA RAIS DKT. MAGUFULI

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja muda huu ambapo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) anawasilisha ripoti yake kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA KIKAO CHA KAMATI YA UTENDAJI YA DRFA

Kamati ya Utendaji ya Chama cha Soka mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) iliketi Machi 25, 2018 katika kikao cha kawaida kinachofanyika kila baada ya miezi mitatu kujadili masuala mbalimbali ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI:OLE WAO WATAKAOCHELEWESHA DAWA ,VIFAA TIBA BANDARINI

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiRAIS Dk.John Magufuli amesema mtumishi yoyote wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto atakayecheleweshwa dawa na vifaa tiba kutoka bandarini...

View Article

MEYA WA JIJI LA DAR ATOA NENO ZITO KUHUSU JPM

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, ndugu Nyakimura M. Muhoji  anasikitika kutangaza kifo cha Bibi, Hafsa Anzerani Mrisho aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, “DAHRM” Tume...

View Article
Browsing all 109597 articles
Browse latest View live




Latest Images