Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110160 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA IVORI IRINGA YAMPONGEZA RAIS MAGUFULI UFUMBUZI WA TATIZO LA SUKARI...

 Na Fredy Mgunda,Iringa. KAMPUNI ya Iringa Food and Beverage na Ivori Ltd ya mjini Iringa imempongeza Rais Dk John Magufuli kwa namna alivyolipatia ufumbuzi suala la sukari ya viwandani ikisema...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE ROSE TWEVE KUWAWEZESHA WANAWAKE WA UWT MKOA WA IRINGA

 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Rose tweve akiwa na Naibu Katibu Mkuu bara wa umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi (UWT) Taifa, Eva Kihwele pamoja na katibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bonanza la Castle Africa 5s lafanyika Mwembe Yanga jijini Dar

Balozi wa Castle Africa 5s, Ivo Mapunda, (kushoto) akizungumza na wachezaji (hawapo pichani) wakati wa Bonanza la Castle Africa 5s(5- aside) lililofanyika Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa...

View Article

Mwadhama Kadinali Polycarp Pengo AMEUKANA Waraka wa Pasaka wa MAASKOFU wa...

View Article

MICHUZI TV: MAPENZI NA PESA KIPI BORA..??

View Article


Return to editingUJUMBE WA BABA WA TAIFA MWALUMU JULIUS K. NYERERE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rekodi kibao za kuogelea za Taifa zavunjwa

Mashindano ya kuogelea ya kutafuta bingwa wa Taifa yameanza kwa vishindo na waogeleaji mbalimbali wameonyesha uwezo wao mkubwa katika kusaka medali kwenye bwawa la kuogelea la Shule ya Kimaitaifa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TPDC YAIMARISHA SEKTA YA AFYA KIDUNDAI, LUSHOTO

Mwenyekiti wa Kijiji cha Kidundai, Ndg. Waziri Mdoe (Kushoto) akipokea mfano wa hundi ya shilingi milioni nne kutoka kwa mwakilishi wa TPDC, Ndg. Asiad Mrutu (Kulia). Makabidhiano hayo yalifanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR ATEMBELEA VITENGO MBALIMBALI HOSPITAL YA MNAZI MMOJA

Mkuu wa wodi ya watoto Hospital ya Mnazi mmoja Fatma Ali Moh’d akimpatia maelezo Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed mwenye Kaunda suti wakati Waziri huyo alipofanya ziara za Vitengo vya Hosptal hiyo....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO – FAHAMU KWA UNDANI FAIDA YA KULA TUNDA LA PAPAI

Ni wazi kuwa papai ni tunda lililosheheni kila aina ya utajiri wa vitamin kuliko matunda mengine, kwani lina vitamin A, B, C, D na E. Ebufatilia video hii upate elimu zaidi juu ya faida ya tunda la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII AFUNGA MAFUNZO KWA WAHITIMU WA JESHI USU...

 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga amewaagiza  wahifadhi wote nchini kuhakikisha kuwa hakuna misitu inayoendelea kuharibiwa  ikiwa ni pamoja na kuimarisha utoaji wa elimu kwa wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali, Wadau Kuendelea Kuzuia Maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi.

Frank Mvungi- MAELEZO, DodomaSerikali imesema itaendeleza mapambano ya Vita dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi kwa kuongeza kasi katika kuzuia maambukizi  mapya ikiwemo kutoa elimu kwa umma.Akizungumza mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waandishi wa habari watembelea kituo cha Data Centre cha Kampuni ya Vodacom...

 Meneja wa kituo cha Data Centre cha kampuni ya Vodacom Tanzania, Imani Alimanya (kulia) akitoa maelezo kuhusu kituo hicho kinvyofanya kazi mbele ya waandishi wa habari waliotembelea kituo hicho....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA WALI NAZI KUFANYIKA RAMADA RESORT HOTELI JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mshirika wa Taasisi hiyo,  Salum Kihemba akizungumza na waandishi wa habar jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na Tamasha la Wali nazi Food Festival litakalofanyika Aprili 2 mwaka huu katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli azindua magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua ghala ya dawa kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo Machi 26,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUWAFUNGIA NDANI WATOTO WENYE USONJI NI KUWANYIMA HAKI YA KUPATA ELIMU-DK...

 Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiNAIBU Spika , Dk. Tulia Ackson amesema wazazi wasiwafungie watoto wao majumbani kutokana na maumbile yao kufanya hivyo ni kuwakosessha haki ya kupata elimu.Dk. Tulia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA UFAFANUZI KUHUSU RAIA WA TANZANIA NCHINI OMAN

Kuna kipande cha video kinasambaa mitandaoni kikiwa na maelezo kuwa raia wa Tanzania wanaoishi nchini Oman wamekusanyika ofisi ya Ubalozi kushinikiza kurejeshwa nyumbani kutokana na mateso na adhabu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC Dodoma akagua Utendaji Kazi Uhamiaji

  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa, Dkt. Binilith Mahenge akiwasili Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Dodoma akiwa katika ziara ya kukagua utendaji kazi Idara ya...

View Article

NEWS ALERT: UFAFANUZI KUHUSU CLIP YA VIDEO YA RAIA WA TANZANIA NCHINI OMAN

...

View Article

MICHUZI TV: Rais Magufuli awaomba Maaskofu kuhubiri Viwanda

View Article
Browsing all 110160 articles
Browse latest View live




Latest Images