Mfumo wa kujitegemea wa usajili wa vizazi kwa watoto wa chini ya umri miaka...
Waziri wa Haki na Katiba, Prof Palamaganda Kabudi akionesha kitabu cha vyeti vya kuzaliwa pamoja na simu ya kisasa alipozindua zoezi la usajili na utoaji vyeti vya kuzaliwa kwa njia ya mtandao kwa...
View ArticleWANAWAKE WAASWA KUCHANGAMKIA KAZI ZA BARABARA
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imesema itahakikisha wanawake walio katika Sekta ya Uhandisi na Ukandarasi wanapata fursa za kusimamia na kutekeleza miradi mbalimbali ya...
View ArticleWATU 26 wamefariki dunia na wengine kumi kujeruhiwa ajali iliyotokea Mkuranga...
Na Mwamvua Mwinyi,MkurangaAjali hiyo imehusisha gari ndogo ya abiria aina ya Toyota Hiace yenye namba za usajili T.676 DGK inayofanya safari zake Kimanzichana - Mbagala Rangi na gari nyingine aina ya...
View ArticleWIZARA YA MALIASILI YAZIJENGEA UELEWA KAMATI MBILI ZA BUNGE KUHUSU MRADI WA SECO
Na Hamza Temba, DodomaWizara ya Maliasili na Utalii imeendesha warsha ya siku moja ya kuwajengea uelewa wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Ardhi, Maliasili na Utalii na Viwanda, Biashara na...
View ArticleKampuni ya Pennyroyal, Internalional Volunteers Oman wakabidhi Viti na Meza...
Pennyroyal Limited kupitia kitengo chake cha huduma kwa jamii Best of Zanzibar wakishirikiana na International Volunteers kutoka Oman wametoa msaada wa madawati 200 yenye thamani ya Tsh 18,000,000/- (...
View ArticleWARAMI WAPINGANA NA WARAKA WA MAASKOFU WA KKKT NCHINI
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiWATETEZI wa Rasilimali wasio na Mipaka-WARAMI wameupinga waraka wa Ujumbe wa pasaka kutoka kwa baraza la maaskofu wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT)...
View ArticleKUELEKEA UCHUMI WA KATI, BAOBAB WAFUNGUA KIWANDA CHA UTENGENEZAJI MITA ZA LUKU
Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiWAZIRI wa nishati mh. Menard Kalemani leo Machi 24 ametembelea kiwanda kipya cha utengenezaji wa mita za luku cha Baobab Energy System Tanzania (BEST) kilichopo Goba...
View ArticleJOKETI 'ATUMBULIWA' NAFASI YA KATIBU UHAMASISHAJI UVCCM
Na Said Mwishehe, Globu ya JamiiKAMATI ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Chama Cha Mapanduzi(UVCCM) imemtema Jokate Mwegelo kwenye nafasi ya Katibu wa Chipukizi na Uhamasishaji wa jumuia hiyo uanzia...
View ArticleDJ Luke Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV 2018
Matokeo ya Uchaguzi wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Lucas Mukami (DJ Luke) ameibuka mshindi wa Urais wa Jumuiya ya Watanzania DMV kwa kura 315, dhidi ya Liberatus Mwang'ombe, aliepata kura 262....
View ArticleWANANCHI BUKOBA WADAI VITAMBULISHO VYA TAIFA VITAWASAIDIA KUONDOKANA KERO ZA...
Wananchi mkoani Kagera wameeleza kero kubwa wanayoipata, ukiwemo usumbufu mkubwa wanapokuwa kwenye shughuli zao nje ya mkoa hasa maeneo ya mpakani kwa kukosa Vitambulisho vya Uraia.Hayo wameeleza...
View ArticleKONGAMANO LA BIASHARA LA TCCIA LAFANA
Kongamano la biashara lililoandaliwa na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA) limefanyika jijini Dar es salaam na kuzungumzia mambo kadha wa kadha hususani fursa katika bomba la mafuta la Tanga...
View ArticleWAZIRI UMMY AMTAKA DED TANGA KUTENGA ENEO KWA AJILI YA TAASISI YA GIFT OF HOPE
WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga kutenga eneo la hekari 10 kwa ajili ya Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Gift of Hope Foundation ambayo inasimamia kituo cha...
View ArticleWAKAZI WILAYA YA MKINGA KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI SAFI
Shirika la Kimataifa linalojishughulisha na kusambaza huduma za maji la Water Missions International Tanzania, mwishoni mwa wiki limezindua mradi mkubwa utakaonufaisha vijiji 7 vya wilaya ya Mkinga...
View ArticleJe! Unajua unaweza kupata bei bora za soko kwa shamba lako la kuzalisha kwa...
Je! Unajua unaweza kupata bei bora za soko kwa shamba lako la kuzalisha kwa kutumia mtandao wa simu? Tazama na ujifunze jinsi wengine wanavyofanya.
View ArticleMRADI WA SOKO TUNGWI-SONGANI MANISPAA YA KIGAMBONI WAZINDULIWA,WANANCHII...
Wananchi wa mtaa wa Tungwi-Songani Kata ya Pembamnazi Manispaa ya Kigamboni wametakiwa kutunza miundombinu ya soko ili soko liweze kudumu kwa muda mrefu na kunufaisha wananchi wote kwa ujumla. Rai hiyo...
View ArticleESRF wapongezwa kupitia SIDP
TAASISI ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), imepongezwa kwa kazi zake inazofanya za utafiti na kutoa mwelekeo sahihi wa uanazuoni kwenye masuala mazito yanayotakiwa kutekelezwa na wananchi wa...
View Article17 WATAMBULIWA KATI YA 26 WALIOFARIKI AJALI MKURANGA
Na Mwamvua Mwinyi,Mkuranga WATU 17 kati ya 26 waliofariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea Mkuranga Mkoani Pwani ,wametambuliwa majina yao ambapo hatua inayoendelea ni kuwakabidhi kwa ndugu...
View Article
More Pages to Explore .....