Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA SIKU YA USONJI KUFANYIKA KESHO

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWazazi wanapaswa kuwapa nguvu, moyo na kupata haki ya elimu kwani wao pia wanauwezo wa kufanya kazi mbalimbali katika jamii  hivyo katika matembezi hayo yatasaidia...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBALOZI WA KUWAIT NA TAASISI YA DORIS MOLLEL WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA...

Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jaseem Al Najem (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamini Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika, sehemu ya vifaa tiba kwa ajili ya Watoto Njiti,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAGONJWA 55 WA AKILI WALIOKUWA NA MAKOSA MBALIMBALI WAACHIWA

Na Mwandishi MaalumJumla wa wagonjwa wa akili 55 waliokuwa  wametenda makosa mbalimbali yakiwamo ya jinai wakiwa na  ugonjwa wa akili, wameachiwa huru baada ya mahakama kutowatia hatiani.Hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCCIA NA AZANIA BANK ZAWAKUTANISHA WAFANYABIASHARA DAR ES SALAAM

 Meneja Mwandamizi wa Wateja Binafsi wa Benki ya Azania, Jackson Lohay, akitoa mada katika mkutano huo. Wadau. Kaimu Meneja Huduma na Uwezeshaji Brella, Bosco Gadi, akitoa mada katika mkutano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AWATAKA VIJANA WAFANYE KAZI KWA BIDII NA MAARIFA

*Asisitiza kwamba kazi ndiyo msingi wa maendeleo WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka vijana wafanye kazi kwa bidii na maarifa kwa sababu kazi ndiyo msingi wa maendeleo yao na Taifa kwa ujumla.Pia...

View Article


TUKUTANE COVENTRY JUMAMOSI TAREHE 05/05/2018, MKUTANO MKUU WA PILI (AGM –...

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania UK na Northern Ireland inapenda kuwatangazia Wanachama wake na Watanzania wote wanaoishi nchini Uingereza, Wales, Scotland na Ireland ya Kaskazini (Ireland)kuwa Mkutano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkurugenzi SBL afanya mazungumzo na maofisa Idara ya Uhamiaji

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Helene Weesie, jana alifanya mazungumzo na maofisa kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ikiwa ni sehemu ya uboreshaji zaidi wa maslahi na mazingira...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI DODOMA WAAMKA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Wananchi mkoani Dodoma wameendelea kufurika kwenye vituo vya Usajili mkoani humo kushiriki zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Taifa linaloendeshwa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa- NIDA.Zoezi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUELEKEA KILELE CHA MAADHIMISHO YA KIFUA KIKUU WAZIRI HAMAD ATOA WITO...

Na Faki Mjaka-Maelezo ZanzibarJamii imetakiwa kulifahamu vyema tatizo la kifua kikuu na kushirikiana na Wizara ya afya kupitia Kitengo shirikishi cha UKIMWI, Homa Ya Inni, Kifua kikuu na Ukoma ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE WA ARUSHA WAPEWA MKOPO WA MILIONI 120

Na Alice Mapunda, Arusha.Wanawake wa Arusha watakiwa kutumia vizuri mikopo yao kwa kuwekeza kwenye shughuli  mbalimbali za maendeleo na zitakazo zalisha kwa wingi na kuwaletea mapato yakutosha katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali kutoa uamuzi kuhusu uingizaji wa mita za umeme nchini baada ya miezi...

Na Teresia MhagamaWaziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, amesema kuwa, baada ya miezi mitatu Serikali itatoa uamuzi kama nchi iendelee kutumia mita za umeme zinazotengenezwa nje ya nchi au kupiga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMUIYA YA WAZAZI ILALA WAAMUA KUWA WALEZI SHULE YA MSINGI MCHIKICHINI

 JUMUIYA ya Wazazi Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam imechukua jukumu la kuwa mlezi wa Shule ya Msingi Mchikichini ili kupunguza changamoto zinazoikabili shule hiyo.Hayo yamesemwa Dar es Salaam  na...

View Article

DC MATIRO AMPONGEZA DKT. MWAKYEMBE KUTATUA CHANGAMOTO ZA WASANII

View Article


Introducing "Jeraha" by Abdu Kiba

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI MARCH 25,2018

KUSOMA MAGAZETI YA LEO BOFYA HAPA

View Article


FAHAMU KUHUSU JUMA KUU KUELEKEA SIKU YA PASAKA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI YA MATAWI KANISA LA MTAKATIFU...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli na mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakiwa wamejumuika na waumini wengine katika Ibada ya Jumapili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AKAGAUA MRADI WA UJENZI UWANJA WA MICHEZO WA KISASA RUANGWA

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Ruangwa Mkoa wa Lindi (DED) Bwana Andrea Chezue wakati akiangalia mchoro wa Uwanja wa Michezo wa kisasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AZINDUA SEMINA ELEKEZI KWA WAJUMBE WA BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA LEO...

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua semina elekezi kwa wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa leo katika Ukumbi wa NEC katika Jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya CCM mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FEMINA HIP YAKABIDHI TUZO KWA WANAFUNZI KUMI WA WA SHULE ZA SEKONDARI...

Shirika lisilo la kiserikali linaloshughulika na masuala ya vijana, Femina Hip limetoa tuzo kwa washindi kumi wa shindano la uandishi wa insha kuhusu hedhi, lililoshirikisha wanafunzi wa shule za...

View Article
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live




Latest Images