Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109978 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YA UINGEREZA YAFUATA NYAYO ZA JPM KATIKA MUSTAKABALI WA PASIPOTI YA...

Muonekanao wa E-Passport zilizotolewa mapema mwaka huu.*Yavuja mkataba na kampuni iliyonyimwa tenda ya kutengeneza passport ya kielekroniki za Tanzania*Lengo ni kukataa kutengeneza passport kwa gharama...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli

By Dr. Herman Louise Verhofstadt “A BIT like President Donald Trump, Tanzania’s president, John Magufuli, likes to fire employees on television. In November Mr. Magufuli used a live broadcast from a...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKAZI WA MOSHI KUTIMIZA NDOTO ZAKE BAADA YA KUSHINDA BAJAJI

Mkazi wa Moshi Ndugu Erasto Dismas Floridi (22) akabidhiwa bajaji yake mara baada ya kuibuku kuwa mmoja kati ya washindi wa promosheni ijulikanayo kama Jiongeze na Mpesa, Shinda na SportPesa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA

View Article

RC RUVUMA AZINDUA MRADI WA PANDA MITI KIBIASHARA

Mkuu wa wa mkoa wa Ruvuma CHRISTINA MNDEME amezindua siku ya upandaji miti kimkoa katika halimashauri ya MBINGA,ambapo katika zoezi hilo zaidi ya miti laki mbili imepandwa wilayani humo aina ya paini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPANGO WA PAMOJA TANZANIA,CHINA KUONGEZA UZALISHAJI ZAO LA MAHINDI MKOANI...

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha China Profesa Sun Qixin, akimuonyesha Balozi wa China hapa nchini Wang Ke, moja ya picha katika Kituo cha Mafunzo cha kupunguza Umasikini kijijini, katika Kijiji cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA AGPAHI LAKABIDHI MASHINE YA KUCHUNGUZA SARATANI YA SHINGO YA...

SHIRIKA la AGPAHI linalojihusisha na masuala ya ukimwi katika kutambua mchango wa sekta ya afya katika ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Muheza limemkabidhi mkuu wa wilaya ya Muheza Mwanaasha Tumbo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRUMP AMFUTA KAZI MSHAURI WA USALAMA, AMPA KIJITI BOLTON JOHN

Mshauri mteule wa masuala ya usalama Marekani, Bolton John (69).Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiRAIS  wa Marekani, Donald Trump amemteua  Bolton John (69) kuwa Mshauri wa masuala ya usalama baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM KUJIPIMA NGUVU KWA FRANCE RANGERS KABLA YA KUVAANA NA MTIBWA SUGAR

Na Agness Francis Globu ya jamiiKLABU Bingwa Afrika Mashariki na Kati Azam FC wanawakaribisha France Rangers katika dimba lao la nyumbani kwa ajili ya mchezo wa kirafiki.France Rangers ni timu ambayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI YATOA ONYO WANAOIBIA WATALII ZANZIBAR.

Na Jeshi la Polisi.Jeshi la Polisi nchini limesema Operesheni ya kukabiliana na mtandao wa dawa za kulevya katika Visiwa vya Zanzibar itaendelea sambamba na kuwadhibiti wahalifu wanaofanya vitendo vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAYDEE ATAJA WAKALI WATAKAOSHIRIKI SHOO YAKE YA UNAWEZA

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii.MALKIA wa muziki wa Bongo fleva nchini, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydee ametaja majina ya wasanii wengine watakaomsindikiza katika Tamasha la  Unaweza linalotarajia...

View Article

BEST "YOU'LL NEVER WALK ALONE" EVER!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MTENDAJI BODI YA FILAMU AFANYA ZIARA YA MKOANI SHINYANGA

 Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini, Joyce Fissoo (kulia) akizungumza na Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga, Albert Msevela (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake leo. Bi Joyce Fissoo yupo mkoani...

View Article


TBA YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KWA WAKATI

Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume Jaji wa Rufaa, Mhe. Semistocles Kaijage wametembelea eneo la Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkuranga, Kibiti, Ikwiriri zaanza kupata umeme wa Gridi

Na Greyson Mwase, PwaniWilaya za Mkuranga, Kibiti na wilaya ya Rufiji katika kata ya  Ikwiriri zimeanza  kupata nishati ya uhakika ya umeme mara baada ya kuunganishwa katika Gridi ya Taifa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAMU SALAMA NA MEWATA WAFUNGUA UKURASA MPYA WA USHIRIKIANO

Chama cha madaktari wanawake Tanzania (MEWATA) kinaendesha kampeni (tarehe 22- 24 machi ) ya bure ya uchunguzi wa saratani ya matiti na mlango wa kizazi mkoani Lindi  katika hospitali ya mkoa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFANYA UKAGUZI WA VIFAA VYA KINGA NA TAHADHARI...

Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Sajini Edgar Mwakapala akionesha jinsi ya kuzima moto kwa kutumia blanket maalumu la kuzimia moto kwa watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala iliyopo Mkoa...

View Article


VOA Swahili: Duniani Leo 22 March 2018

View Article

MICHUZI TV: UBONGO TIME

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BILL MELINDA GATES FOUNDATION

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Bill na Melinda Gates, Rodger Voorhies kwenye Makazi ya Makamu wa Rais,...

View Article
Browsing all 109978 articles
Browse latest View live




Latest Images