DC MTWARA AKAGUA ENEO LA CHUO CHA KILIMO MATI LILILOVAMIWA NA WANANCHI
Mkuu wa wilaya na Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya Mtwara Bw. Evod Mmanda jana machi 21/2018 ametembelea eneo la Chuo cha Kilimo MATI mkoani Mtwara ili kujionea uvamizi uliofanywa...
View ArticleUSHAHIDI WA DAKTARI KUHUSU SABABU ZA KIFO .
Na Bashir Yakub.Unaweza kuwa wewe, ndugu yako,rafiki au jamaa yako ameunganishwa katika kesi ya mauaji. Aghalabu, daktari anasubiriwa kutoa ushahidi mahakamani kuhusu sababu za kifo cha marehemu. Na...
View ArticleWAZIRI MKUCHIKA ATAKA POLISI KUWA MSTARI WA MBELE KUKEMEA RUSHWA
Aipongeza Taasisi ya Uongozi kuwaandaa watumishi wa Serikali kuwa uongozi wazuri Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George...
View ArticleSERIKALI YATEKELEZA MAOMBI 5 YA WAFANYABIASHARA WA MIFUGO WILAYANI LONGIDO
Serikali kupitia, Programu ya Miundo mbinu ya Masoko, Uongezaji wa Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF), imetekeleza maombi 5 ambayo yanawasaidia wafugaji hao kuongeza thamani ya mifugo yao...
View ArticleBEI ZA BIDHAA MATUNDA NA MBOGABOGA SOKO LA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM.
Mboga aina ya Spinach fungu sh. 500, Tembele sh 500Mkungu wa ndizi katika soko la Kinondoni unauzwa kati ya sh 25,000 hadi sh 30,000.Bei za mchele katika soko la Kinondoni kama inavyoneshwa katika...
View ArticleKAMATI YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA BUHEMBA NA CATA MINING
Na Veronica Simba – MaraKamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imetembelea na kukagua Mgodi wa Buhemba na ule wa CATA Mining Ltd iliyopo mkoani Mara ikiwa katika ziara ya kazi Machi 15 mwaka...
View ArticleKINYWAJI KIPYA CHA MOËT & CHANDON CHA TAMBULISHWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Balozi wa kinywaji cha Moët & Chandon Pierre-Louis Araud akionesha kinywaji cha Moet & Chandon ambacho kimetambulishwa jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Kinywaji cha Moët &...
View ArticleWACHIMBAJI WASUBIRIA HATMA YA MAOMBI YA LESENI MIAKA MINNE SASA BILA MAJIBU...
Pichani ni Eneo lililotengwa kwa ajili ya wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu kata ya Changaaa ambalo mmiliki wa Kampuni ya Kidee mining alilowapora wachimbaji wadogo baada ya kupewa leseni...
View ArticleUAMUZI MAOMBI YA DHAMANA KESI YA KUHUJUMU UCHUMI INAYOMKABILI MFANYAKAZI...
Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema uamuzi wa maombi ya dhamana katika kesi ya kuhujumu uchumi inayomkabili mfanyakazi mstaafu wa Shirika la Mafuta Tanzania na...
View ArticleCOCA COLA YAJA NA PROMOSHENI YA 'MZUKA WA SOKA NA COKA'
Maofisa wa kampuni ya Coca-Cola mkoani Mwanza, kutoka kushoto Meneja Mauzo Mkoa , Mnyamuhanga Gavana,Meneja Mauzo na Masoko Samuel Makenge na Meneja Mauzo Mwandamizi Deus Kadico, wakionyesha mfano wa...
View ArticleKESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI RAIS WA SIMBA EVANS AVEVA NA MAKAMU...
Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamiiUPELELEZI katika kesi ya utakatishaji fedha, dola za Marekani 300,000 inayomkabili Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na Makamu wake Godfrey Nyange, maarufu kama...
View ArticleWCF YAWAELIMISHA MAAFISA WAAJIRI MISINGI KULINDA USALAMA NA AFYA ZA...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Anselim Peter, (aliyesimama), akitoa hotuba ya ufunguzi wa semina juu ya masuala ya msingi ya kulinda usalama na afya mahala pa kazi...
View ArticleMEYA JIJI LA DAR AZIKUMBUSHA HALMASHAURI KUAJIRI WATUMISHI WA KUZIKA...
Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiMEYA wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amezitaka halmashauri zote katika jiji hilp kuajiri watumishi ambao watakuwa wanazika miili ya watu ambao watabainika kutokuwa...
View ArticleMMILIKI MTANDAO WA FACEBOOK AWAOMBA RADHI WATEJ A WAKE
ZUCKERBERG AFUNGUKA SAKATA LA FACEBOOK.Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiMWANZILISHI na mmiliki wa mtandao wa Facebook Mark Zuckerberg ameibuka na kuomba msamaha kwa wateja wake baada ya sakata la...
View ArticleMADIWANI HALMASHAURI YA JIJI DAR WAHOJI KUHUSU FEDHA ZINAZOTOLEWA NA KARIAKOO
Na Ripota Wetu,Globu ya jamiiBARAZA la Madiwani wa Jiji la Dar es Salaam limeomba kufahamu kiasi cha fedha kinachopatikana katika Soko la Kariakoo maana wamechoshwa na kauli ya kwamba soko hilo...
View ArticleWASICHANA WALIOTEKWA WAREJESHWA NYUMBANI
Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiWANAFUNZI wa kike 110 waliotekwa February 19 katika shule ya bweni Dapchi nchini Nigeria wamerejeshwa nyumbani kutoka kwenye mikono ya waasi.Waziri wa habari nchini...
View ArticleKESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,KABURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5
Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiUPELELEZI katika kesi ya utakatishaji fedha, dola za Marekani 300,000 inayomkabili Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na Makamu wake Godfrey Nyange, maarufu kama...
View Article
More Pages to Explore .....