Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI (MOCU) AZINDUA NA KUONGOZA...

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini .CHUO kikuu cha Ushirika ,Moshi (MoCU) kimezundua zoezi la upimaji wa Homa ya Ini kwa Watumishi ,Wategemezi wao pamoja na majirani wa cuo hicho...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AMUWAKLISHA RAISI JOHN MAGUFULI KATIKA MKUTANO WA AU, RWANDA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisaini mkataba wa Makubaliano ya kulifanya Bara la Afrika kuwa eneo huru la Biashara, kwaniaba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Machi 21, 2018, jijini Kigali, Rwanda....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali mstaafu Simon Marco Mumwi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ATUMIA MIEZI SABA KUSAFIRI KWA PIKIPIKI KUTOKA OMAN HADI TANZANIA

 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akiteta jambo na Maher Al Barwani kutoka nchi ya Oman mwenye asili ya Tanzania ambaye amesafiri kwa muda wa miezi saba kupitia mataifa mbalimbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gavana wa mji wa imo nchini Nigeria awazawadia wanafunzi jijini Dar

Gavana wa mji wa imo nchini Nigeria, Rochas Okorocha, akimpongeza mwanafunzi wa darasa la Sita, Anati Mujib wa Shule ya Msingi Makumbusho, anayefanya vizuri katika masomo yake darasani, wakati Gavana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEYA MANISPAA ILALA AONGOZA MAZISHI YA MAMA YAKE KUMBILAMOTO

Meya wa Manispaa ya Ilala, Charles Kuyeko akitoa salamu za pole za Manispaa ya Ilala kwa wafiwa wakati wa msiba wa Mama yake Naibu Meya Omary Kumbilamoto.Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU WA KAMPUNI YA TIGO, FERROSTAAL IKULU...

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mauricio Ramos Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Millicom International Service LLC (wanne kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uongozi wa Singida United wakanusha kufungiwa kwa Lyanga.

Na Agness Francis, Globu ya jamiiUONGOZI wa Singida United umekana kufungiwa kwa mchezaji wa timu yao Danny Lyanga kwa kosa la kusaini mikataba timu mbili.Taarifa zilizoenekana kupitia kwa vyombo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa ulinzi wa Israel atembelea JKCI

Waziri wa ulinzi wa Israel, Mhe. Avigdor Liberman  akimpa zawadi mtoto aliyefanyiwa upasuaji wa moyo nchini Israel alipotembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) leo huku Waziri wa Afya, Maendeleo...

View Article


TTCL,TIGO WAINGIA MAKUBALIANO YA KIBIASHARA KURAHISHA HUDUMA ZA KIFEDHA KWA...

Na Karama Kenyunko,Globu ya jamiiSHIRIKA la Mawasiliano Tanzania(TTCL), limeingia makubaliano ya kibiashara na Kampuni ya Simu za mkononi TIGO yatakayowawezesha wateja wa taasisi hizo mbili kutumia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE AISHAURI SERIKALI KUIMARISHA MIPAKA YA NCHI HARAKA

Mkazi wa kata ya Kakonyo, Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera ambaye ni Katibu Mwenezi wa CCM Bwana Faraja Kaijage akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi Maliasili na Utalii jinsi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA AFYA YATHIBITISHA UWEPO WA HOMA YA DANGUE, YAWATOA HOFU WANANCHI

Na Said Mwishehe,Globu  ya jamiiWIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa kumebainika uwepo wa virusi vya homa ya Dangue nchini huku ikiwata hofu wananchi na tayari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu Nyamhanga azindua Baraza la wafanyakazi wizara ya Ujenzi,Uchukuzi...

Na Daudi Manongi,MAELEZO. Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi ) mhandisi Joseph Nyamhanga amewataka wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa Wizara hiyo na watumishi wote...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MJEMA AWEKA JIWE LA MSINGI KISIMA CHA MAJI KISUKULU

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema,akikata utepe na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wa Kata ya Kisukulu wakati wa kuweka jiwe la smingi wa kisima kirefu cha maji cha kata ya Kisukuru. Mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mvua yakata mawasiliano ya barabara ya Itigi hadi Tabora

Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo katika eneo la Nyahua wilayani Uyui Mkoani Tabora imesababisha kukatika kwa barabara kuu ya Tabora kupitia Itigi hadi Dodoma na kusababisha magari ya abiria...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAOAGIZA NYAMA, MAZIWA NA SAMAKI KUTOKA NJE YA NCHI SIKU ZAO ZINAHESABIKA -...

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdalah Ulega, amesema kuwa siku za wanaoagiza nyama, maziwa na samaki kutoka nje ya nchi, zinahesabika kutokana na nchi kuwa na mifigo ya kutosha kama vile Ngombe,...

View Article

MICHUZI TV: RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WA TANZANIA KATIKA NCHI ZA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati ya kitaifa ya UN na Serikali yakutana kupanga kazi za mradi wa Koica

KAMATI ya kitaifa inayoendesha mradi wa pamoja kati ya mashirika matatu ya Umoja wa Mataifa (UNESCO, UN Women na UNFPA) na serikali ya Tanzania kupitia wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Je! Unajua unaweza kupata bei bora za soko kwa shamba lako la kuzalisha kwa...

Je! Unajua unaweza kupata bei bora za soko kwa shamba lako la kuzalisha kwa kutumia mtandao wa simu? Tazama na ujifunze jinsi wengine wanavyofanya.

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live




Latest Images