Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110091 articles
Browse latest View live

Maafisa Mawasiliano Serikalini Waunga Mkono Juhudi za Rais Dkt. Magufuli...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwakyembe akutana na Balozi wa China,Balozi Umoja wa Ulaya kuzungumzia Urithi...

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na Balozi wa China nchini Mhe. WANG KE alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam kuzungumzia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISI YA MKUU WA MKOA DAR YAIAGIZA WIZARA YA ARIDHI KUFUTA HATI KIWANJA NAMBA...

Na Emmanuel Masaka,Globu ya jamiiOFISI ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Kitengo cha ardhi , imemtaka Msajiri wa Hati wa Wizara ya Ardhu,Nyumba na Maendeleo ya Makazi kufuta mara moja hati namba 105525...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI YAKAGUA MIRADI YA MAJI KIGOMA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji imefanya ziara ya kutembelea mkoa wa Kigoma kwa ajili ya kukagua miradi ya maji na umwagiliaji inayotekelezwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MVUA YALAZA WAKAZI WA GOBA NJE, DALADALA ZAONJA BARABARA YA MWENDO KASI DAR

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiMVUA za masika zinazoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es Salaam jana ziliacha watu njia panda baada ya daraja linalounganisha maeneo ya Goba, Tegeta na Madale...

View Article


MARAFUKU KUFANYA SHUGHULI ZA KILIMO KWENYE VYANZO VYA MAJI- DC SONGEA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ajibu ajitapa kuondoka na ushindi dhidi ya Township Rollers.

Na Agness Francis Globu ya jamii Kikosi cha YangaSc  Kilichoelekea Nchini Botswana katika mchezo wa marudiano dhidi ya Township Rollers katika michuano  inayoendelea ya Klabu Bingwa Afrika. Mchezo huo...

View Article

HOTUBA YA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI WAKATI WA UWEKAJI JIWE LA MSINGI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUWSA,NMB WAZINDUA MALIPO YA ANKARA ZA MAJI NJIA YA NMB MOBILE.

 Mkuu wa wilaya ya Moshi ,Kippi Warioba(Wa Pili kutoka kulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Malipo ya Ankara za Maji kwa njia ya NMB Mobile leo,uzinduzi ulioenda sambamba na uzinduzi wa...

View Article


LIVE: JUKWAA LA FURSA ZA BIASHARA ZANZIBAR

View Article

UHAMIAJI WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA MCHANGO WAKE KWAO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UN Tanzania clarifies on recent World Happiness Report

 16 March 2018, Dar es Salaam – The World Happiness Report was released on March 14, 2018 by the Sustainable Development Solutions Network for the United Nations. While the report, which ranks...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS SHEIN AFUNGA KONGAMANO LA KITAIFA LA UTAWALA BORA NA UCHUMI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)alipokuwa akifunga  Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika jana katika  Ukumbi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yapigia chepuo Program ya Via: Jiandalie Ajira

Serikali imesema program ya Via:Jiandalie Ajira ina mchango mkubwa hapa nchini katika kuwajengea vijana ujuzi ambao unawasaidia kujiajiri na kuajiriwa na hiyo ni moja ya harakati za kufikia uchumi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAVYUO NCHINI WAANDALIWE KATIKA KUJIAJIRI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ni umuhimu mfumo wa ufundishwaji wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini ukaboreshwa ili wanapomaliza waweze kujiajiri.“Kumekuwa na tatizo kubwa la wasomi wetu kuwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TARIME VIJIJINI WAPATA MSHINDI WA BAJAJI

Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Tarime Vijijini Ndugu Castor Tindwa amemkabidhi bajaji mpya Ndugu Godfrey Saire mshindi wa promosheni inayojulikana kama Jiongeze na Mpesa, Shinda na SportPesa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKURUGENZI WATANO TPDC WAFIKISHWA KORTINI KWA TUHUMA ZA MATUMIZI MABAYA YA...

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiWAKURUGENZI watano wa Shirika la Maendeleo ya Petrol (TPDC), akiwemo, Mkurugenzi Mtendaji James Mataragio na wenzake wanne, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Je! Unajua unaweza kuboresha mbinu zako za kilimo kwa kutumia mtandao wa simu?

Je! Unajua unaweza kuboresha mbinu zako za kilimo kwa kutumia mtandao wa simu? Bonyeza video hii kuangalia na kuona jinsi wengine wanavyofanya.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIGOGO WATAO WA TPDC WAPANDISHWA KIZIMBANI

Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii.Wakurugenzi watano waliokuwa wa shirika la Maendeleo ya Petrol (TPDC), akiwemo, Mkurugenzi mtendaji  James Mataragio na wenzake wanne, leo Machi, 16, 2018...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Burudani kibao kupagawisha uzinduzi wa Handeni Kwetu Cup

BENDI kongwe ya muziki wa dansi hapa nchini, The African Stars Twanga Pepeta, inatarajiwa kuonyeshana ubabe na msanii wa muziki wa singeli anayetamba nchini, Suleiman Jabir 'Msaga Sumu' katika shoo ya...

View Article
Browsing all 110091 articles
Browse latest View live




Latest Images