SWEDEN YATOA BILIONI 66 KUKARABATI KITUO CHA KUZALISHIA UMEME HALE HYDRO...
SERIKALI ya Sweden imetoa kiasi cha fedha Bilioni 66 za kitanzania sawa na dola za Marekani milioni 30 ambazo zitatumika katika kukarabati mitambo katika Kituo cha Kuzalishia Umeme cha Hale Hydro...
View ArticleRC MWANRI: KUANZIA SASA KILA ZAO NI LAZIMA LILIME KITAAALAMU
SERIKALI ya Mkoani Tabora imesema kuanzia msimu ujao mazao yote ni lazima yalimwe kwa kuzingatia kanuni za kilimo bora kinachosisitiza matumizi ya mbolea na ujazaji wa mazao kitaaalamu ili kuhakikisha...
View ArticleUNESCO wafunda ujasirimali Walimu kufundisha wanafunzi kujitambua
Walimu wanaopatiwa mafunzo ya siku nne ya ujasiriamali yanayotolewa na Shirika la Sayansi, Elimu na Utamaduni la Umoja wa Mataifa(UNESCO) chini ya ufadhili wa program ya Malala wametakiwa kuhakikisha...
View ArticleBINA:TBS ICHUNGUZE KEMIKALI BANDIA WANAZOUZIWA WACHIMBAJI WADOGO
Na Joel Maduka,GeitaSerikali kupitia Shirika la Viwango nchini, TBS limetakiwa kuchunguza kemikali bandia zinazouzwa na wafanyabiashara wasio waaminifu kwa wachimbaji wadogo wa madini hali...
View ArticleREPOA YATOA UTAFITI WAKE,YAKIRI WANANCHI WENGI WAMERIDHISHWA NA UKUAJI WA...
Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Utafiti ya REPOA, Dr. Donald Mmari akizungumza kuhusu matokeo ya utafiti wa Afro Barometer kuwa hali ya uchumi nchini ambapo matokeo yake yameonesha kuwa Wananchi wengi...
View ArticleSerikali yajipanga kupokea mradi wa Global Learning XPRIZE
Serikali imesema inajiandaa kuupokea mradi wa ‘Global Learning XPRIZE’ unaowawezesha watoto walio nje ya mfumo rasmi kujifunza stadi za msingi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kupitia Michezo...
View ArticleNURU YA AFYA
Ungana pamoja nasi katika usiku wa kipekee tukila, kunywa na kuburudika katika 2018 Nuru Ya Afya Fundraising Masquerade Ball inayoletwa kwenu na TAHMEF (Tanzania Health and Medical Education...
View ArticleTAZAMA JINSI SIMU YA MKONONI INAVYOBADILISHA MAISHA YA MAELFU NCHINI TANZANIA.
Je wajua yakuwa unaweza baadilisha maisha na mtandao wa simu? Hebu angalia video hii kujua wengine wamefanyaje?
View ArticleHOSPITALI YA MWANYAMALA YANUFAIKA NA MSAADA WA EXIM BENKI
Mkuu wa Matawi ya Benki ya Exim Tanzania, Agnes Kaganda akikabidhi Msaada wa Vitanda 4o na Magodoro 40 kwa Kaimu Mganga Mfawidhi wa hospitali ya rufaa ya Mwananyamala, Dk. Khadija Shebe kwaajili ya...
View ArticleMawakala wa Tigo Pesa Wajinyakulia Mamilioni
Kampuni inayoongoza kwa huduma za fedha kwa njia ya mtandao, Tigo Tanzania kupitia huduma yake ya Tigo Pesa leo imewazawadia wakala wake mamilioni ya pesa kwa utendaji wao mzuri. Wakala RBB RBB ya...
View ArticleTRA: MAAFISA MAWASILIANO NINYI NI MABALOZI WA KUELIMISHA WANANCHI KUHUSU KODI
Na: Veronica KazimotoMaafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wameombwa kuwa mabalozi wazuri katika sehemu zao za kazi na katika jamii wanayoishi kwa kuwaelimisha wananchi masuala mbalimbali...
View ArticleAFANDE SELE AJIUNGA CCM RASMI MBELE YA RAIS DKT JOHN MAGUFULI
Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiMSANII maarufu nchini katika muziki wa kizazi kipya Selemen Msindia a.k.a Afande Sele amesema amefurahishwa na utendaji kazi wa Rais John Magufuli na kwamba amekuwa...
View ArticleMASAUNI AZINDUA VITUO MWENDO SITA VYA POLISI,AWAASA WANANCHI KUJIKITA KWENYE...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akisikiliza maelezo ya Kituo Mwendo cha polisi kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Jumanne Muliro (katikati), baada...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MGENI RASMI HARAMBEE YA KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA UJENZI...
*Kufanyika kesho jijini Dar es Salaam, Mhandisi Tumbo aomba wananchi kuchangia ili kufanikisha ujenzi huoNa Said Mwishehe, Globu ya jamiiMKUU wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga, Mhandisi Mwanasha Tumbo...
View ArticleWAMBURA AWAJIBU TFF,ASUBIRI BARUA YA MAAMUZI KAMATI YA MAADILI
Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiMAKAMU Mwenyekiti wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Michael Wambura ameeleza suala Kamati ya Maadili ya shirikisho ni la kimkakati zaidi na si la...
View ArticleJENGO LA ABIRIA KIWANJA CHA DODOMA KUBORESHWA
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, ametoa miezi miwili kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kuhakikisha linakamilisha uboreshaji wa jengo la abiria lililopo katika...
View Article
More Pages to Explore .....