Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA KUANGALIA NJIA SAHIHI YA UBORESHAJI UTOAJI HUDUMA ZA MAJI SAFI NA...

Na John Nditi, MorogoroWIZARA ya Maji na Umwagiliaji imesema ili kuleta  ufanisi mkubwa katika usimamizi  wa miradi ya maji safi na salama  vijijini, ipo haja ya kuwa na chombo cha kusimamia  huduma za...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOGORO MWAKITOLYO KUPATIWA UFUMBUI

WANANCHI wa Kitongoji cha Mahiga, Kijiji cha Mwakitolyo, Tarafa ya Nindo Wilayani Shinyanga wametakiwa kufanya subira wakati mgogoro wao wa fidia na mwekezaji ambaye ni Kampuni ya uchimbaji madini ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FUATILIA LIVE RAIS DKT MAGUFULI AKIWEKA JIWE LA MSINGI WA RELI YA KISASA...

Pichani chini ni sehemu ya eneo ambalo Rais Dkt John Pome Magufuli leo anatarajia kuweka jiwe la Msingi sehemu ya pili ya Ujenzi wa Reli ya kisasa (Standard Gauge ) kuanzia Morogoro hadi Makutopora...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zanzibar yeteketeza Nyama kutoka Afrika Kusini kuepuka Maradhi ya LISTERIA

Na Faki Mjaka-Maelezo ZanzibarWakala wa Chakula na Dawa Zanzibar ZFDA umeteketeza kwa moto kilo 48 za Nyama kutoka Afrika Kusini ambazo ziliingizwa nchini kinyume na sheria.Nyama hizo zilizokuwa mali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO MRADI WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU GEITA

Mkuu wa mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Luhumbi Akizungumza na wajumbe wa Bodi ya wakurugenzi wa REA baada ya kufika kwenye ofisi yake . Baadhi ya wajumbe wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Geita.Mwenyekiti...

View Article


RC MNDEME AMEMWAGIZA MKUU WA WILAYA YA NYASA KUMATAWA WALIOVAMIA MILIMA YA...

Mkuu wa mkoa wa RUVUMA CHRISTINA MNDEME amendesha zoezi la upandaji miti aina ya mitiki katika wilaya ya nyasa na mkumwagiza mkuu wa wilaya ya nyasa ISABELLAH CHILUMBA pamoja nakamati yake ya ulinzi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YARA TANZANIA YAPUNGUZA BEI YA MBOLEA YA YARAMILA OTESHA

 Meneja Masoko wa Kampuni ya Uzalishaji Mbolea ya  Yara , Linda Byaba akizungumza na waandishi habari kuhusiana na punguzo bei ya mbolea ya YaraMila Otesha leo jijini Dar es Salaam.Meneja Masoko wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OIF yaelezea fursa zilizopo kwa Watanzania wanaojua Kifaransa

Shirika la Kimataifa la La Francophonioe (OIF) ambalo linajumuisha nchi 84 ambazo zinazungumza lugha ya Kifaransa limesema kwamba ni muhimu kwa Watanzania kujifunza lugha ya Kifaransa kwa sababu kuna...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MENEJA MPYA PARK HYATT ZANZIBAR KUSHIRIKI KUINUA VIPAJI VYA VIJANA

Meneja mpya wa Park Hyatt Zanzibar Nicolas Cedro akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutambulishwa na akielezea mikakati yake ya kuinua vipaji vya vijana katika masuala ya upishi na hoteli...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC TEMEKE AHIMIZA WAUMINI DINI YA KIISLAMU KUDUMISHA UMOJA NA AMANI

Mkuu wa wilaya Temeke Felix LyanivaWalimu wa Madrassa waliohudhuria kikao hichoNa Zainab Nyamka,Globu ya jamiiMKUU wa Wilaya ya Ilala Dar es Salaam Felix Lyaniva amewashauri waumini wa dini ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM KUANZA MAZOEZI WAKIMSUBIRI MTIBWA SUGAR

Na Agness Francis Globu ya jamii.KLABU Bingwa Afrika Mashariki na kati Azam FC kesho wanatarajia kuanza rasmi mazoezi ili kujiandaa zaidi na michuano ya kuwania Kombe la Shirikisho (ASFC)  ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USAJILI WA WATAALAM WA MAFUTA,GESI WAENDELEA KUFANYWA NA TaESA

*Ni kwa ajili ya kupata kazi kwenye mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta Tanzania-UgandaNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiWAKALA wa Huduma za Ajira Tanzania(TaESA) umetangaza kuanza kwa mchakato wa utambuzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI ATENGULIWA

Aliye kuwa Waziri wa Mambo ya Nje nchini Marekani Tillerson Rex Na Ripota WetuRAIS  wa Marekani Donald Trump amemfuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje nchini humo Tillerson Rex na nafasi yake kuchukuliwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLEPOLE AWASHAURI WARATIBU TASAF KUSHIRIKISHA WATALAAM WA ARDHI ILI KUWA NA...

 Na Rhoda Ezekiel Kigoma,KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Humphrey Polepole amewashauri Wasimamizi na waratibu wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini( TASAF) kushirikiana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAJESHI ANAYETUHUMIWA KUUMUA MWANAJESHI MWENZAKE AFIKISHWA MAHAKAMA YA...

 Mwanajeshi MT  Private Ramadhan Mlaku (28) akiwa kwenye kitanda cha wagonjwa amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo kujibu tuhuma za mauaji ya askari mwenzake MT...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA RELI YA KISASA...

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA RELI YA KISASA ITAKAYOTUMIA UMEME SGR-KUTOKA MOROGORO HADI MAKUTUPORA- DODOMA KM 422 KATIKA ENEO LA IHUMWA NJE KIDOGO YA MJI WA DODOMA  Rais wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEKRETARIETI YA TFF YAMPELEKA MICHAEL WAMBURA KAMATI YA MAADILI

KAMATI ya maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF inakutana leo Jumatano Machi 14,2018 pamoja na mambo mengine kamati hiyo itajadili suala la Makamu wa Rais wa TFF Michael Richard Wambura...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU NANE WANASHIKILIWA NA POLISI KWA KOSA LA KUFANYA MKUSANYIKO WA KISIASA...

KWAMBA TAREHE 13.03.2018 MAJIRA YA SAA 16:30HRS JIONI KATIKA MTAA WA MABATINI KUSINI KATA YA MABATINI WILAYA YA NYAMAGANA JIJI NA MKOA WA MWANZA, WATU NANE WALIOFAHAMIKA KWA MAJINA YA 1.DEUS LUCAS,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILIMANJARO SAR LTD YAINGIA MAKUBALIANO NA HOSPTALI YA ST JOSEPH KUTOA HUDUMA...

NA Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,Kanda ya Kaskazini .SEKTA ya Utalii nchini imepata suluhu ya Changamoto ya muda mrefu ya utoaji wa msaada wa kitabibu, utafutaji na uokoaji wa wageni wanaopata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VILABU LIGI KUU VYASHAURIWA KUWEKEZA KWA KUWA NA TIMU ZA WACHEZAJI WA UNDER 20

Na Agnes Francis,Globu ya jamiiVILABU vya soka vinavyoshiriki katika Ligi Kuu Tanzania Bara vimeshauriwa kuhakikisha wanawekeza kwenye timu za wachezaji wenye umri chini ya miaka 20 (Under 20). Kwani...

View Article
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live




Latest Images