Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110111 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Meli za TPA kuongeza biashara kati ya Tanzania, Malawi

Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Balozi Benedicto Mashiba akizungumza wakati akipokea kwa mara ya kwanza ujio wa meli nyingine ya TPA, MV Ruvuma katika bandari ya Monkey Bay nchini Malawi.Na Mwandishi...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Shaaban Seif .Balozi Mohammed  kuwa    Katibu Mkuu katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais   katika hafla...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEYA WA MANISAA YA ILALA AFUNGA MASHINDANO YA MPIRA WA PETE YA MKOA WA DAR ES...

 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akikagua Timu ya Mpira wa pete ya Vingunguti ambayo imeingia fainali katika michezo ya mpira wa pete ya mkoa wa Dar es Salaam iliyoratibiwa na...

View Article

SPIKA WA BUNGE AFANYA UTEUZI WA WAJUMBE WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU YA KIFO CHA NDUGU IBRAHIM WEREMA JOHN

Ni miaka mitano sasa toka ndugu yetu kipenzi Ibrahim Werema John ututoke tarehe 13. march 2013. Imekua ngumu kukusahau kwani Upendo, Ucheshi, Wema na Fadhila zako kwetu bado vinaishi nasi....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKALA YA SHERIA: KUPOTELEWA NA NYARAKA INAYOHITAJIKA MAHAKAMANI KAMA USHAHIDI

Na Bashir Yakub.Inaweza kuwa nyaraka muhimu kama hati ya nyumba, mkataba wa mauziano au mkataba mwingine wowote, wosia, kadi ya gari au ya mashine yoyote,hati ya kusimamia mirathi, cheti cha ndoa au...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANI-VITUO VYA AFYA CHALINZE HAVINA VYUMBA VYA KUHIFADHIA MAITI

Na Mwamvua Mwinyi,ChalinzeMBUNGE wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete ,ameweka wazi kuwa vituo vya afya katika jimbo hilo vinakabiliwana na ukosefu wa vyumba vya kuhifadhia maiti .Amesema changamoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ECOBANK TANZANIA KUFADHILI WANAFUNZI SHULE ZA SERIKALI

Ecobank nchini Tanzania kuanzia mwaka huu inaanzisha mpango wa kutoa zawadi ya ufadhili kwa wasichana wanaofanya vyema katika masomo yao kwenye shule za serikali. Aidha pamoja na ufadhili huo ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPANDE WA MASHITAKA WAUANDIKIA BARUA UBALOZI WA MSUMBIJI KESI YA UTAKATISHAJI...

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiUPANDE wa mashtaka katika kesi ya utakatishaji fedha wa dola za Marekani 150,000 inayomkabili Mhasibu wa Ubalozi wa Tanzania nchini Msumbiji Joyce Moshi, umeieleza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MSHAMA ATANGAZA BINGO KWA ATAKAEWAFICHUA WAUZA VIROBA

Mkuu wa wilaya ya Kibaha Assumter MshamaNa Mwamvua Mwinyi,KibahaMKUU wa wilaya ya Kibaha Assumter Mshama ametoa ahadi ya fedha kiasi cha sh. 100,000 kwa mtu atakayetoa taarifa na kuwafichua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI BINAFSI ZA ULINZI KUWA NA SARE MOJA

Na. Jeshi la Polisi.Kampuni binafsi za ulinzi zinazoendesha shughuli zake hapa nchini zimetakiwa kuvaa sare za aina moja ifikapo Januari Mosi mwakani kwa lengo la kuondoa sare ambazo zimekuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI, MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Joseph Abdalla Meza kuwa Kamishna wa Bodi ya Mapato ya Zanzibar (ZRB) wakati wa hafla iliyofanyika leo katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC SINYAMULE ATAKA WANAWAKE SAME WAANDALIWE KUSHIKA NAFASI ZA JUU ZA UONGOZI

Mwandishi wetu ,SameMKUU wa Wilaya ya Same Rosemary Sinyamule amesema Makundi ya wanaweke kuanzia shule ya msingi, sekondari, vyuo, wafanyakazi, wafanyabiashara, wakulima, wanasiasa, viongozi katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJUMBE BARAZA KUU UVCCM PWANI AAHIDI KUSHUGHULIKIA MGOGORO HIFADHI ZA BAHARI...

Mjumbe wa Baraza Kuu Taifa UVCCM Mkoa wa Pwani,Ramadhani Mlao,akizungumza na wajumbe wa baraza la UVCCM wa Wilaya ya Mafia kuhusu kupeleka sehemu husika mgogoro wa wananchi na hifadhi ya bahari pamoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO : MBUNGE ROSE TWEVE ACHANGIA MAENDELEO YA UWT MKOA WA IRINGA

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Rose Tweve akiongea wakati wa baraza la (UWT) manispaa ya Iringa lililofanyika katika ukumbi wa sabasaba mkoani Iringa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI DAR WABAINI MWANAFUNZI ALIYEDAI KUTEKWA KUMBE ALIKUWA KWA MPENZI WAKE

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa.*Mambosasa asema watamchukulia hatua za kisheria, atoa onyo kaliNa Said Mwishehe, Globu ya jamiiKAMANDA wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hiki ndio kikosi cha Yanga kuelekea Botswana

KIKOSI Cha Mabingwa wa soka nchini na ambao wapo  kileleni mwa msimamo wa ligi kuu Vodacom Tanzania bara, Yanga SC , kimeondoka leo saa 10:15 alfajiri  kikielekea Nchini Botswana  kuwafuata Township...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFANYABIASHARA AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 81

Na Karama Kenyunko,Globu ya jamiiMFANYABISHARA Timotheo Wandiba amehukumiwa kifungo cha miaka 81 jela  baada ya kupatikana  na hatia katika mashtaka 27 yaliyokuwa yakimkabili ya kujipatia Sh.bilioni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTARATIBU WA KUPATA ANKARA YA MALIPO KWA JIA YA SIMU

 

View Article

MATUMIZI DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME SASA RUKSA, WIZARA YA AFYA YATAJA...

Said Mwishehe,Globu ya jamii  WIZARA ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto imetaja baadhi ya sababu zinazochangia kupungua kwa nguvu za kiume kwa wanaume wengi nchini.  Akizungumza leo...

View Article
Browsing all 110111 articles
Browse latest View live




Latest Images