Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110167 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE WA BENKI YA TIB WASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

Keki ya siku ya wanawake katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani.Kwa mwaka huu kauli mbiu ni Kuelekea Uchumi wa Viwanda tuimarishe usawa wa kijinsia na Uwezeshaji waWanawake Vijijini.Wafanyakazi...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA UNIDO JIJINI DAR ES SALAAM

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia  Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) Bw. Li Yong...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MNYETI AWAPOKEA WANACHAMA 3,500 WALIOTOKA CHADEMA NA KUJIUNGA CCM SIMANJIRO

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti akizungumza na wananchi wa kijiji cha Narakauwo Wilayani Simanjiro juu ya mgogoro wa uongozi na kumuagiza mkuu wa Wilaya hiyo mhandisi Zephania Chaula aitishe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPORTPESA KUWAFUTA MACHOZI WASHINDI WA TIKETI

Kampuni ya michezo ya kubashiri nchini ya SportPesa imekabidhi kiasi cha TZS 12,000,000/= kwa washindi 12 wa promosheni za Zali la Mwanaspoti na Shinda na SportPesa. Washindi hawa 12 walijishindia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI KIONGOZI AWAAPISHA IGP SIRRO NA KAMISHNA CHOGERO KUWA WAJUMBE WA TUME YA...

 Mkuu  wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akiapa mbele ya Jaji Kiongozi Ferdinand Wambari kuwa mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Polisi na Magereza. Tukio hilo limefanyika leo Mahakama Kuu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBOZI KUPATIWA MKOPO WA SHILINGI BILIONI 1.2 KWA AJILI YA UJENZI WA VITUO VYA...

Na WAMJW. SongweHalmashauri  ya Mbozi imekubaliwa kupatiwa mkopo wa shilingi bilioni 1.2 toka Mfuko wa Bima ya Taifa (NHIF) kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa maboma yapatayo 49 ya huduma za wagonjwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge Chatanda amuomba Mkurugenzi Mji Korogwe kuwaokoa wanafunzi.

Na Yusuph Mussa, KorogweMBUNGE wa Jimbo la Korogwe Mjini mkoani Tanga Mary Chatanda amemuomba Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Korogwe Jumanne Shauri,  kutafuta fedha haraka ili kukamilisha ujenzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA JANETH MAGUFULI MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA...

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli leo ameongoza maelfu ya wanawake wa mkoa wa Dar es salaam kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani huku akiziomba asasi za kiraia, na watu binafsi kushirikiana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIVYO WIZARA ZA NISHATI, MADINI ZILIVYOSHIRIKI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

  Wafanyakazi wa Wizara za Nishati na Madini walioko Makao Makuu mjini Dodoma, leo Machi 8 wameshiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.Sherehe za Maadhimisho hayo zimefanyika ki-Mkoa katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA STAMICO KANALI SYLIVESTER DAMIAN GHULIKU...

Na Koleta Njelekela, Stamico Dar Es Salaam.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji mpya wa STAMICO Kanali Sylivester Damian Ghuliku amekabidhiwa rasmi Ofisi na aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa STAMICO Mhandisi John...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mradi wa kuzalisha umeme wa Kinyerezi II unaotarajia kuzalisha megawati 240

Na Ismail Ngayonga. WAWEKEZAJI wa ndani na nje ya Tanzania wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuwekeza katika miradi mikubwa ya ujenzi wa viwanda nchini kwani kwa sasa mradi wa kuzalisha umeme wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA ZTE

 Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akizungumza na Ujumbe wa   Kampuni ya ZTE wakati alipofika Ikulu Zanzibar leo ukiongozwa na  Makamo Mkuu wa Rais wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LINDI-KITUNDA WAPATA HUDUMA YA KIVUKO

 Abiria wakishuka kutoka kwenye kivuko cha MV. Kitunda baada ya kuwasili kutokea Lindi mjini wakati kivuko hicho kikifanyiwa majaribio. Kivuko hicho cha tani 50 kina uwezo wa kubeba abiria 100 na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Celebrating women in Tanzania and beyond. #PressforProgress.

8 March 2018Dar es Salaam, 8 March 2018: International Women’s Day is a time dedicated to reflect on progress made, to call for change and to celebrate acts of courage and determination by ordinary...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE WATUMIA MASHIRIKA KUPIGANIA 50 KWA 50 KWA KATIKA NAFASI ZA UAMUZI

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiMASHIRIKA mbalimbali nchini yametumia maadhimisho ya Siku ya Wanawake kuungana kujadili nafsi ya mwanamke kwa lengo la kuleta matokeo chanya hasa yanayohusu usawa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Airtel yashirikiana na Polisi kikosi cha usalama barabarani katika ukaguzi ya...

Mkaguzi wa magari Sagenti, Jackson Mafuru akikagua gari la Afisa Masoko wa Kampuni ya Airtel Prosper Mwanda wakati wa ukaguzi katika maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Dar es Salaam jana.Kampuni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya Kilimo yaazimisha Siku ya Wanawake Kimtindo

Benki ya Maendeleo ya Kilimo nchini (TADB) imeazimisha Siku ya Wanawake Duniani kwa kuendesha mafunzo ya kilimo kwa wanawake wakulima wa Chama cha Ushirika Ruvu (CHAURU) ili kuwajengea uwezo ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA UWT GAUDENCIA KABAKA ATEMBELEA HOSPITALI YA MBAGALA KUADHIMISHA...

.  "Haya Mama chukua kichana chetu.." akasema Mama Kabaka wakati akirejesha mtoto kwa Mariamu Salum baada ya kumkabidhi zawadi ya kanga. Mama Gaudentia Kabaka akitoa zawadi za juisi kwa kina mama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KABAKA AWAPONGEZA WANAWAKE KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KIKAMILIFU, AFANYA USAFI...

Na Said Mwishehe,Globu ya JamiiMWENYEKITI wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania(UWT), Gaudentia Kabaka ametumia Siku ya Wanawake Duniani kuwapongeza wanawake wote nchini kwa kutekeleza majukumu yao wakiwamo...

View Article

VIPEPEO FURSA YA KIPATO KWA WANANCHI ZANZIBAR

View Article
Browsing all 110167 articles
Browse latest View live




Latest Images