Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110109 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI UMMY MWALIMU, BALOZI WA PALESTINA WAINGIA MAKUBALIANO KUSHIRIKIANA...

Na Said Mwishehe, Globu ya JamiiWAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalim pamoja na Balozi wa Taifa la Palestina nchini Tanzania Hazem Shabat wametia saini ya mkataba wa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rayvanny Performing Live In Chicago Saturday March 24th, 2018

Tanzanian recording artist Rayvanny will be performing Live In Chicago @ JC Martini Club, 3124 N Central Ave, Chicago, IL.Doors open at 9.00p.m.Showtime 11.30p.m [No African Timing] !!!!Early Bird...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACHIMBAJI MADINI KIGOMA WAELEZA CHANGAMOTO ZAO KWA NAIBU WAZIRI NYONGO

Na Veronica Simba – KigomaWachimbaji wa Madini wadogo wa Mkoa wa Kigoma, wamemweleza Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo changamoto mbalimbali zinazowakabili katika shughuli zao na kumwomba...

View Article

NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2018/2019

CHUO KIKUU CHA TUMAINI MAKUMIRA, KILICHOPO USA-RIVER, ARUSHA KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2018/2019 KAMA IFUATAVYO:ASTASHAHADA (CERTIFICATE)1.      Astashahada (Certificate) ya ICT (mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UAMUZI PINGAMIZI LA AWALI LA JAMHURI DHIDI RUGEMALILA KUJUKIKANA KARIBUNI

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.UAMUZI dhid ya pingamizi la awali lililowasilishwa na Jamuhuri katika Mahakama ya Rufaa kupinga maombi yaliyowasilishwa na mfanyabiashara James Rugemarila kupinga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADEREVA BODABODA WALIOTELEKEZA PIKIPIKI ZAO VITUO VYA POLISI PWANI WAZIFUATE...

Na Mwamvua Mwinyi,KibahaJESHI la polisi mkoani Pwani, limetoa siku saba kwa madereva pikipiki (bodaboda) ambao walitelekeza pikipiki zao katika vituo mbalimbali vya polisi, kwenda kuzichukua baada ya...

View Article

ARUSHA WAENDELEA KUFANYA BIASHARA YA FILAMU ZISIZOFUATA TARATIBU NA SHERIA ZA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIYOYAZUNGUMZA MSEMAJI WA SERIKALI MJINI DODOMA LEO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Profesa Mubofu Makamu Mkuu wa Chuo Mpya UDOM.

Na Paschal Dotto-MAELEZO            Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Rais Mstaafu (Awamu ya Tatu), Mhe. Benjamin William Mkapa ametangaza uteuzi wa  Profesa Egid Beatus Mubofu kuwa Makamu Mkuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA 2018 YAZIDI KUNOGA,WAIMBAJI WAENDELEA...

Masako amesema kuwa wakati umefika kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa kujipatia burudani ya muziki wa njili kutoka kwa waimbaji mbali mbali ambao mpaka sasa wamethibitisha kushiriki kwao.Maandalizi ya Tamasha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMOJA WA MATAIFA YAIMWAGIA SIFA JWTZ NA SERIKALI YA JPM

Na Luteni Selemani Semunyu, UNAMID.Umoja wa mataifa UN umeipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais John Magufuli na Mkuu wake wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICHANGO NA MAFAO YA WANACHAMA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII IKO SALAMA.

TAARIFA KWA UMMAKama mnavyofahamu Serikali inaendelea na Mchakato wa kuunganisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii baada ya Sheria kupita Bungeni. Hivi karibuni kumeibuka taarifa ambazo si sahihi kuhusiana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Dkt. Kalemani ateua Wahandisi 7 Kusimamia REAIII

Na Zuena Msuya, Dodoma.Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewateua Wahandisi Saba(7) kutoka Wizara ya Nishati watakaoshirikiana na wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa REA III katika kila Kanda ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOTO ULIVYOTEKETEZA BWENI LA WASICHANA SEKONDARI KOROGWE

Na Yusuph Mussa, Korogwe.BWENI la Mapinduzi la wanafunzi wa kidato cha pili na nne katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Korogwe limeteketea kwa moto, huku mali zote za wanafunzi ikiwemo fedha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAZINDUA BANDO LA YATOSHA MITANDANO YOTE

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania inayoongoza kwa kutoa huduma bora za smartphone leo imetangaza uhuru wa mawasiliano kwa kuzindua huduma kabambe ya kipekee kwa wateja wake wanaopiga simu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA MADIWANI NA MBUNGE CHALINZE WACHARUKIA WAPIGAJI KWENYE VIZUIA VYA...

Na Mwamvua Mwinyi, Chalinze.MADIWANI wa Halmashauri ya Chalinze, pamoja na mbunge wa jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete wamewasimamisha wakusanyaji wa ushuru kwenye baadhi ya vizuia, kutokana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MKUU TCAA ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA CANSO KANDA YA AFRIKA...

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza S. Johari amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Shirikisho la Kimataifa la Huduma za Anga na Uongozaji Ndege (CANSO)akichukua wadhifa huo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANGULA AONYA VIONGOZI WA DINI, WANASIASA WANOVURUGA AMANI NCHINI

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Bara, Philipo Mangula amewataka Watanzania kujenga na kuilinda amani nchini na kushangazwa na viongozi wa dini wanaobariki chuki kuwa wanamkosea Mungu.Pia aliwaonya wanasiasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Manispaa ya Ilala yapitisha bajeti ya sh. bilioni 287

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiBARAZA la Madiwani Manispaa ya Ilala imepitisha bajeti ya sh.bilioni 287 katika mwaka fedha wa 2018/2019 ikilinganishwa bajeti iliyopita ya 2017,2018 ya sh.bilioni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AKINA MAMA,MBUNGE AZZA WASHIRIKI UJENZI WODI YA WAZAZI NA MTOTO KITUO CHA...

Akina mama zaidi ya 200 wa kijiji cha Jomu kata ya Tinde mkoani Shinyanga wakiongozwa na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mheshimiwa Azza Hamad Hilal (CCM) wameadhimisha wiki ya Wanawake...

View Article
Browsing all 110109 articles
Browse latest View live




Latest Images