WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA WIKI YA ELIMU KWA MLIPAKODI
Na: Veronica Kazimoto,Dar es Salaam,Wito umetolewa kwa wafanyabiashara na wananchi wote kwa ujumla kujitokeza kwa wingi katika vituo ambavyo vimepangwa rasmi kwa ajili ya wiki ya elimu kwa mlipakodi...
View ArticleMbio za Tigo Kili Half Marathon zafana mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro
Mshindi wa kwanza wa mashindano ya Tigo Kili Half Marathon upande wa wanaume, Gefrey Kipchumba kutoka Kenya akimaliza mbio kwa kutumia saa 1:03 kwenye uwanja wa ushirika mjini Moshi. Mshindi wa kwanza...
View ArticleTPA MTWARA WAPEWA MIEZI MITATU KUTATUA CHANGAMOTO ZA UJENZI WA GATI
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, ametoa miezi mitatu kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA), kuhakikisha inatatua changamoto zote zinazokwamisha mradi wa...
View ArticleJUKWAA LA WANAWAKE TANESCO LACHANGIA DAMU HOSPITALI YA TUMBI KIBAHA
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiWafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Kupitia jukwaa la wanawake wa shirika hilo leo kwa umoja wao wamekusanyika katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Pwani...
View ArticleMBUNGE CHATANDA ATAKA UKAGUZI TSH. MILIONI 230, UJENZI SHULE YA JOEL BENDERA SEC
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini mkoani Tanga Mary Chatanda amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Korogwe Jumanne Shauri kupeleka wakaguzi kwenye Shule ya Sekondari Joel Bendera iliyopo Kijiji cha...
View ArticleMNEC SALIM ASAS AMPONGEZA MBUNGE ROSE TWEVE KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA...
Na Fredy Mgunda -Iringa.MJUMBE wa halmashauri kuu ya taifa ya chama cha mapinduzi (CCM) MNEC Salimu Asas amempongeza mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Rose Tweve kwa kuinua uchumi wa wananchi kwa...
View ArticleKilimanjaro Marathon 2018 funsters huffing and puffing their way up to the...
Energetic participating in finishing up the remaining 5km of the Game Dr Dennis Katundu (left) and the cheering team from the International School of Moshi and KCMC Hospital strike back on the...
View ArticleSERIKALI YATOA BIL. 1.4 KUBORESHA VITUO VYA AFYA RUANGWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetoa sh. bilioni 1.4 kwa ajili ya uboreshaji wa vituo vitatu vya afya katika wilaya Ruangwa mkoani Lindi.Ameyasema hayo leo (Jumapili, Machi 04, 2018)...
View ArticleAJALI YA BASI NEW FORCE NA BASI DOGO TOYOTA HIACHE YASABABISHA VIFO VYA WATU...
Na John Nditi wa Globu ya Jamii, MorogoroWATU watano wakiwemo wanawake wanne na mwanaume mmoja ambaye ni dereva basi ndogo aina ya Toyota Hiache yenye namba za usajili T 962 BSE aliyetambuliwa kwa jina...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA WANYAMAPORI DUNIANI KITAIFA MKOANI DODOMA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa tatu kushoto) na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Japhet Hasunga (kushoto) wakiongoza maandamano ya kuadhimisha siku ya Wanyamapori Duniani...
View ArticleMZOEZI YA KUIMARISHA VIUNGO KWA MAZOEZI LAINI KUTOKA KWA SENSEI RUMADHA FUNDI
"IMARISHI VIUNGO, TOA MAUMIVU KWA MAZOEZI LAINI" Imeandaliwa na Sensei Rumadha Fundi mwalimu wa Karate na Yoga wa kimataifa Mwili hautofautiani na chombo au mashine, na huitaji sana kuangaliwa na...
View ArticleMAKATIBU WAKUU 15 KUTAFUTA SULUHU ZA CHANGAMOTO ZINAZOKABILI ZIWA MANYARA
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi akitoa neno la ukaribisho kwa Makatibu Wakuu kutoka Wizara mbalimbali katika kikao cha Mawasilisho ya Taarifa ya Tishio la kutoweka...
View ArticleTAARIFA YA KUKARIBISHWA KATIKA SHEREHE ZA MAULID SEGEREA MWISHO
Siku ya Jumamosi 10-Machi 2018ASALAAM ALAIKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUUngozi wa Al Madrasat Rahman na Masjid Qubah Segerea mwisho,Dar unawakumbusha waumini kuwa ile sherehe ya Maulid ya Kumswalia...
View ArticleWAZIRI MKUU AKABIDHI PIKIPIKI MBILI KWA JESHI LA POLISI
Waziri Mkuu, Kassim.Majaliwa akikabidhi pikipiki mbili kwa Kamanda Mkoa wa Lindi, ACP. Pudensiana Protas, zilizotolewa na kampuni ya WU ZHOU Investment Company kwa Jeshi la Polisi, wakati alipo...
View ArticleSERIKALI YABAINI UJENZI WA NYUMBA KATIKATI YA MPAKA WA TANZANIA NA KENYA...
Na Munir Shemweta, Mkinga TangaNaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula amebaini uwepo ya nyumba za watanzania zilizojengwa katikati ya mpaka wa Tanzania na Kenya huku eneo...
View ArticleASSEMBLY COMMENCES ITS SITTING IN ARUSHA
ASSEMBLY COMMENCES ITS SITTING IN ARUSHAEast African Legislative Assembly, Arusha, March 5, 2018: The East African Legislative Assembly (EALA) resumes its Sitting in Arusha, Tanzania, this week. The...
View ArticleUVCCM KIGOMA WAHAMASISHWA KUBUNI MIRADI YA MAENDELEO
Na Rhoda Ezekiel, KigomaUMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapindizi(UVCCM), Mkoa wa Kigoma wametakiwa kubuni miradi ya kimaendeleo kwa lengo la kupunguza kuomba misaada na kubwa zaidi kujiimarisha kwenye...
View ArticleMABWENI MAWILI SEKONDARI YA WASICHANA KOROGWE YATEKETEA KWA MOTO
Na Ripota Wetu, Globu ya JamiiMABWENI mawili katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Korogwe yameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo.Moto huo ulianza kuunguza mabweni hayo saa tatu usiku na chanzo...
View Article
More Pages to Explore .....