Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live

MADIWANI NAMTUMBO WAMKATAA MKUU WA WILAYA HIYO,WAMUOMBA RAIS AMWAMISHE

Balaza la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya NAMTUMBO mkoani RUVUMA, limefikia maamuzi ya kumkataa mkuu wa wilaya hiyo LUCKNESS AMLIMA na kumuomba rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John...

View Article



UZINDUZI WA KAMPENI KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI WILAYANI CHAMWINO MKOANI DODOMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAMWINO YAJIPANGA KUTOKOMEZA MIMBA ZA UTOTONI

Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma imejipanga kupambana na kutokomeza mimba za utotoni katika Wilaya hiyo.Akizungumza katika uzinduzi wa Kapeni ya Kutokomeza Mimba za Utotoni katika Shule za Msingi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUNDI LINALOJIITA "WAKOREA" LAKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUJIHUSISHA UHALIFU MJINI...

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na vitendo vya uhalifu ili kuhakikisha kuwa wageni na wakazi wa Mkoa huu wanaendelea kuwa salama na mali zao. Aidha Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BITEKO: TUFANYE SIASA ZA MAENDELEO KWA WANANCHI

Na Mathias Canal, GeitaWanasiasa hasa wasomi na wale wenye ushawishi mkubwa nchini wametakiwa kuacha kulalamika na kutoa kauli ambazo hazitawasaidia wananchi katika kuwatatulia matatizo na kero zao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEED trust yapokea vitabu1000 vya Malengo ya Dunia kwa wasioona

Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP, Alvaro Rodriguez (katikati) akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Mambo na Sheria, Mh. Amon Anastazi Mpanju (wa pili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMAPILI LEO MARCH 4,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

UDHAMINI WA BACHELOR DEGREE UGHAIBUNI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA ZIARANI MTWARA

Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji Mhe. Charles Mwijage  amekabidhi mradi wa SIDO kujenga Industrial sheds kwa Mkandarasi SUMA JKT. Katika Makabidhiano hayo Waziri Mwijage ametoa miezi 2 kwa...

View Article


INTRODUCING "SAULA" BY SUPER NYAMWELA

Brand New Video from Tanzanian Artist/Dancer called SUPER NYAMWELA, Song name SAULA.Video Link - https://youtu.be/QITtcf6JTWkVideo Directed by O-KeySocial media:Instagram: @nyamwelasuperFacebook: Super...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DSM KUANZA KUTUMIA GESI MATUMIZI YA NYUMBANI

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amelitaka na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania( TPDC) kuharakisha uunganishaji wa huduma ya gesi asilia katika baadhi ya nyumba za wananchi kwenye maeneo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKATABA WA MAKUBALIANO KUTEKELEZA MRADI WA MAJI WILAYANI LUSHOTO

  Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares na Mkandarasi Justice Kato  kutoka kampuni ya Juin Company Limited...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUMVI, CHOKAA ZINAWEZA KUITAJIRISHA KIGOMA - NYONGO

Na Veronica Simba – Kigoma Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo, amesema kwamba ikiwa wananchi wa Kigoma watatumia vyema fursa za upatikanaji wa Madini ya Chumvi na Chokaa, zilizopo katika Mkoa huo,...

View Article


Introducing "Furaha Yangu" by Farida Music, CBH & Teacher Oliver - Official...

Introducing to you a young Tanzanian talented girl Farida Saidi Katungaye named Farida Music. Her talent was found and is being trained by a Traditional Musician Teacher Oliver who is now living in...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA MFUKO WA FIDIA YA ARDHI YAZINDULIWA

Bodi ya Mfuko wa Fidia ya Ardhi imezinduliwa rasmi mjini Dar es Salaam, ikishuhudiwa na wadau mbalimbali wa sekta ya Ardhi.Akizindua Mfuko huo kwa niaba ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YAWAPA SOMO WANAHABARI JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Richard Kayombo (aliyesimama mbele) akiwaelimisha baadhi ya Waandishi wa habari waliohudhuria Semina Maalum...

View Article

INTRODUCING "CAROLA" (OFFICIAL VIDEO) BY THE MAFIK

View Article


LIVE: AIRPOT! Kijana Ahmed Albaity Akisafiri Kwenda China

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI UMMY AIKABIDHI TIMU YA COASTAL UNION KIWANJA,AWAHIDI NEEMA

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameipongeza Kampuni ya City Plan kwa kuunga mkono juhudi zao za kutaka kuimarisha klabu ya Coastal Union “Wagosi wa Kaya” kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MNEC IDDI AFANIKISHA HARAMBEE UJENZI MADARASA KANISA LA AIC KALANGALALA

Na,Joel Maduka,Geita.Mjumbe wa halmashauri kuu ya Taifa ya chama cha mapinduzi(CCM) Mkoani Geita Iddi Kassim Iddi,amefanikisha upatikanaji wa kiasi cha shilingi milioni 13.2 ,mifuko ya seruji 70 na...

View Article
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live




Latest Images