MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI KUJADILI...
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati wa kikao cha kujadili mikakati ya kupunguza tatizo la...
View ArticleMISS KK KUZINDUA VIDEO YA WANANUNA JUMAMOSI
Na Karama ,Kenyunko,Globu ya jamiiMSANII wa muziki wa kizazi kipya, Latifa Mussa a.k.a Miss KK Jumamosi ya Februari 25, mwaka huu anatarajia kuzindua video yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la...
View ArticleUSAJILI WA TIGO KILI HALF MARATHON 2018 WAANZA
Kampuni inayoongoza kwa mageuzi ya kidigitali nchini, Tigo Tanzania leo imetangaza kuanza kwa usajili wa mbio ndefu za Tigo Tigo Kili Half Marathon kupitia namba *149*20#.Kwa mwaka wa nne mfululizo,...
View ArticleWASHIRIKI MAFUNZO YA ULINZI CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI WAFANYA ZIARA MAKAO...
Mkurugenzi mwandamizi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (National Defence College –NDC) Tanzania Balozi, Peter Kallaghe akimkabithi zawadi Kamishna wa Utawala, Fedha na Lojistiki, Albart Nyamhanga, leo...
View ArticleIGP SIRRO AZUNGUMZA NA ASKARI WA MKOA WA TANGA
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro (kulia) akizungumza na kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Jonathan Shana walipokutana katika eneo la Msata Bagamoyo wakati...
View ArticleNAIBU WAZIRI MADINI AKERWA USIRI WA MAPATO YA MUWEKEZAJI MGODI WA SUNSHINE
Na Mathias Canal, MbeyaNaibu Waziri wa Wizara ya Madini Mhe Doto Mashaka Biteko amekerwa na usiri wa mapato na matumizi ya muwekezaji wa mgodi wa uchimbaji madini ya dhahabu wa Sunshine uliopo Wilayani...
View ArticleRC KILIMANJARO AKAGUA UTENDAJI KAZI WA TANESCO MKOANI KILIMANJARO
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh. Anna Mghwira akitoa maelekezo kwa Meneja wa Tanesco Kilimanjaro Mhandisi Mahawa Mkaka, pembeni ni Mhandisi mkuu wa mkoa Bagabuje Joseph, Mkuu wa wilaya ya Moshi Mh....
View ArticleRC MAKONDA ATEMBELEA SHULE ZILIZOONGOZA KWA UANDIKISHAJI MKUBWA WA WANAFUNZI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda jana amefanya Ziara kwenye Shule ya Msingi Mbande na Maji Matitu zilizopo Manispaa ya Temeke ambazo zimeongoza kwa kuandikisha idadi kubwa ya Wanafunzi...
View ArticleJAJI MKUU AWATAKA MAHAKIMU KUSIMAMIA MABARAZA YA KATA
Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma akisalimiana na watumishi wa Mahakama ya wilaya ya Nzega alipowasili kukagua shughuli za Mahakama. Jaji Mkuu ameanza ziara ya kikazi katika mkoa wa Tabora...
View ArticleMAKAMU WA RAIS APOKEA MISAADA KUTOKA UBALOZI WA CHINA KWA AJILI YA MAENDELEO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea hundi ya shilingi milioni 178,488,00/- kutoka kwa Balozi wa China nchini Mhe. Wang Ke kwa ajili ya ujenzi wa bweni la...
View ArticleDK. KIGWANGALLA AAGIZA JUMUIYA YA HIFADHI WANYAMAPORI WAMIMBIKI IPANDISHWE...
Na Hamza Temba - WMU-Bagamoyo, Pwani....................................................................Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Maj....
View ArticleDunia inawaangusha watoto wachanga - UNICEF
Duniani kote, vifo vya watoto wachanga bado viko juu sana kiasi cha kuwa tishio, hasa miongoni mwa nchi maskini zaidi ulimwenguni, UNICEF imesema katika ripoti yake mpya kuhusu vifo vya watoto...
View ArticleDED MNASI AKAGUA MIRADI YA UJENZI WA MADARASA SHULE ZA MSINGI WILAYA YA ILEJE
Na Fredy Mgunda,Ileje HALMASHAURI ya wilaya ya Ileje mkoani songwe imetumia zaidi ya shilingi milioni mia moja themanini katika ujenzi wa madarasa kwa kutumia fedha za EPFR ambazo hutolewa na serikali...
View ArticleUJUMBE KUTOKA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI(NDC) WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI...
Mkufunzi Mwandamizi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania, Balozi Peter Kallaghe(kushoto) akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, Dkt Juma Malewa walipofanya ziara ya mafunzo Makao Makuu...
View ArticleYANGA FC, TOWNSHIP ROLLERS YA BOTSWANA KUKUTANA
Na Agnes Francis, Blogu ya Jamii. MABINGWA watetezi Tanzania Bara Yanga SC wamefanikiwa kusonga mbele kwenye michuano ya klabu Bingwa Barani Afrika ambapo watakutana na Township Rollers kutoka nchini...
View Article
More Pages to Explore .....