Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. MOLLEL ASHINDA UBUNGE SIHA MKOANI KILIMANJARO

Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia mgombea wake Dkt Godwin Mollel kimeshinda kiti cha ubunge katika jimbo la Siha baada ya kupata kura 25,611 sawa na asilimia 80 akimshinda mpinzani wake Elvis Mosi...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JAFO ABAINI KUWEPO WANAFUNZI 472,WALIMU SHULE SEKONDARI MAKULUNGE...

VICTOR MASANGU, KISARAWE WANAFUNZI wapatao 472 na walimu zaidi ya 25 katika shule ya sekondari Makulunge iliyopo katika kata ya kiluvya Wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani kwa sasa wapo katika hatari ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOHARA MBADALA SULUHISHO LA UKEKETAJI HAPA NCHINI - Dkt. Faustine Ndugulile

Ngariba wa Jamii ya Wamasai wameteketeza vifaa vyote vyote vya kufanyia tohara baada ya Shirika la Kimataifa la AMREF kutoa elimu ya tohara mbadala inayowawezesha Wamasai kuendelea na mira zao bila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA

 Wafanyakazi wa kiwanda cha kubangua korosho cha Korosho Africa Ltd. kilichopo katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wakiwa kazini. Wakazi zaidi  750 kutoka katika wilaya hiyo wamepata ajira katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOJA YA HAJA: "WAPINZANI BADILISHENI NAMNA YAKUENDESHA SIASA ZENU NCHINI"

Na Moses Machali.Wapinzani  na hasa CDM  na Kwa mbali  Kiongozi  wa  ACT mmefikia mahala mnajiona mna akili Sana na kwamba mnaweza kuwafanya watu wote kuwa wapumbavu wasioweza kuchanganua pumba na...

View Article


WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU WATEMBELEA MICHUZI MEDIA GROUP

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAIBUKA KIDEDEA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI

 Bw. Maulid Mtulia wa Chama cha Mapinduzi(CCM)  akionesha hati yake ya ushindi baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumtangaza kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa Ubunge, Jimbo la Kinondoni, mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUGHARAMIA MAZISHI MWANAFUNZI ALIYEPIGWA RISASI

*Waziri Ndalichako asema Taifa limepata pigo kubwa, aomba utulivuNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiSERIKALI kupitiza Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imesema itagharamia mazishi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ndalichako,Masauni watoa mkono wa pole kwa wafiwa kifo cha Mwanafunzi...

  Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof Joyce Ndalichako pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ,Injinia Hamad Masauni  wakimfariji Mama Mzazi wa marehemu  Aqwilina jioni ya leo Mbezi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHUNGUZI WAANZA KUBAINI WALIOMUUA KWA RISASI MWANAFUNZI CHUO CHA USAFIRISHAJI

*Wizara ya Mambo ya Ndani yaelezea kinachoendelea*Rais Magufuli aagiza waliohusika wachukuliwe hatua Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiWIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imewahakikishia Watanzania kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wadhamini Kili Marathon wafanya amsha amsha

Wadhamini wa Kilimanjaro Premium Lager Marathon wametoa wito kwa watanzania na washiriki wengine kuhakikisha wanajiandikisha mapema ili kushiriki katika mbio za mwaka huu ambazo zinatarajiwa kuwa kubwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AKUTANA NA MUANZILISHI WA TAASISI YA DORIS MOLLEL

 Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mahmoud Thabit Kombo (kushoto) akimsikiliza Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti), Doris...

View Article

TRA KUENDELEA KUWACHUKULIA HATUA KALI WAFABIASHARA WANAOJIHUSISHA NA BIASHARA...

Na Veronica KazimotoMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inatoa onyo kali kwa wafanyabiashara wote wanaojihusisha na Biashara za Magendo na aina mbalimbali za ukwepaji kodi kupitia Viwanja vya Ndege,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAELEKEZA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA KUFANYA UKAGUZI WA ZOEZI LA...

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa nchini kufanya mapitio na ukaguzi wa zoezi la uhakiki wa vyeti vya watumishi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI LUKUVI ATEMBELEA NA KUSULUHISHA MGOGORO WA ARDHI ENEO LA MBONDOLE KATA...

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na wakazi wa Mbondole kata ya Msongola Dar es Salaam wakati apokwenda kusuluhisha mgogoro wa ardhi katika eneo hilo. Wakazi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jeshi la polisi na benki ya CRDB waendelea kutoa elimu kwa umma juu Matumizi...

 Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Rukia Muwango  akiwa katika Picha ya Pamoja  Ofisini kwake baada ya kutembelewa na Naibu Kamishina wa Polisi DCP Ahmada.A. Khamis Mkuu wa Kitengo  cha Polisi Jamii, Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABENKI 29 YAFANIKIWA KUJIUNGA ASILIMIA 100 NA MFUMO WA KULIPA KODI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. MBARAWA AWATAKA WANANCHI WA SIMIYU KUILINDA MIUNDOMBINU YA BARABARA.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, amewataka wakazi wa wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu, kuilinda miundombinu ya barabara iliyokamilika kujengwa ili kupunguza gharama za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAGUZI WA TFDA WAKUTANA NA DAWA ZA SERIKALI KATIKA MADUKA BINAFSI , DAWA...

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii  MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) iliendesha ukaguzi maalum wa dawa , vifaa tiba na vitendanishi katika Halmashauri na Manispa zilizo Kanda ya Kati na kubaini kuwepo...

View Article

Introducing "Beautiful" Official Audio by Sam Money

View Article
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live




Latest Images