Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110167 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YAZUIA UGONJWA WA BOSI IPTL KUSEMWA MARA KWA MARA,KESI YAAHIRISHWA

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, imeiahirisha kesi ya uhujumu uchumi inayomkabiki mmiliki wa IPTL, Harbinder Singh Sethi na mfanyabiashara...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA TPB,SATF ZAUNGANA KUENDESHA MRADI WA DOLA MILIONI MOJA

BENKI ya TPB imeungana na taasisi ya Savings at the Frontier (SatF), kwenye mradi utakaogharimu kiasi cha dola Milioni Moja.  Mradi huo unaoitwa “Digitalizing Informal Savings Mechanisms” utaendeshwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANALI NDAGALA AKABIDHI MABATI 280 KWA WALIMU 14 WALIOSTAAFU KAKONKO

Na Rhoda Ezekiel Kigoma,MKUU wa Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala amekabidhi mabati 280 kwa wastaafu 14.Amekabidhi mabati hayo kwa niaba ya kamati tendaji ya Chama cha Waalimu Tanzania(CWT)Wilaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. KALEMANI AAGIZA MKANDARASI KUMALIZA HARAKA MRADI WA UMEME WILAYANI KISHAPU

Na Robert Hokororo, Ofisi ya MkurugenziWaziri wa Nishati, Mh. Dk. Medard Kalemani Februari 15 mwaka amefanya ziara wilayani Kishapu ambapo amezindua ujenzi wa miradi ya kusambaza umeme vijijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADALALI WA MAHAKAMA WATAKIWA KUWA NA CHETI CHA UMADHUBUTI WA KAZI

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.MAHAKAMA nchini Tanzania, imewataka madalali wa Mahakama kuwa na cheti cha umadhubuti katika kazi hiyo toka Chuo cha Uongozi wa Mahakama ama Taasisi inayotambuliwa na...

View Article


Introducing "Waambie" (Official video& audio) by Papii Kocha

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC YAJIBU HOJA 6 ZA CHADEMA

Jana 16/02/2018 baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe, walifika ofisi za Tume ya Taifa kuwasilisha malalamiko yao kadhaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWANDIKWA : WATENDAJI WA TAASISI ZA WIZARA TIMIZENI WAJIBU WENU KUFANIKISHA...

Na Ismail NgayongaNAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa amewataka Watendaji wa Taasisi zilizopo chini ya Wizara hiyo kutumia weledi, maarifa na ujuzi walionao ili kufanikisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA WA ZAO LA TUMBAKU WAKOSA SOKO LA UHAKIKA LA KUUZIA ZAO HILO

Na Jumbe Ismailly WAKULIMA wa zao la tumbaku katika Halmashauri ya Itigi, wilayani Manyoni, Mkoani Singida hawana soko la uhakika la kuuzia zao hilo kutokana na Makampuni yaliyokuwa yakinunua zao hilo...

View Article


NEC YARIDHISHWA MAANDALIZI YA VITUO 46 VYA KUPIGIA KURA KATA YA ISAMILO -MWANZA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFUNZO YA UONGOZI KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI YAFANYIKA...

 Afisa Mkuu wa Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika kutoka Manispaa ya Kinondoni,Saleh Hijja Mohamed (aliyesimama) akizungumza kabla ya kumalizika kwa semina ya siku tatu ya mafunzo ya uongozi kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAWATAKA WATUMISHI WA UMMA NCHINI KUFANYA KAZI KWA UADILIFU

 Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa katika kikao kazi na waumishi hao kwa lengo kuwasikiliza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUJENGA KITUO CHA UZAAJI MADINI NCHINI

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWIZARA ya Madini imetangaza kuanzia sasa mnada wa madini yote utafanyika hapa nchini badala ya nje ya nchi kama ulivyokuwa unafanyika awali.Lengo ni kuizesha Serikali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHINDI 36 WA PROMOSHENI YA NYAKA NYAKA BONUS WAZAWADIWA.

Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kulia) akimkabidi Mariam Akida (kati) mkaazi wa Tabata jijini Dar es Salaam zawadi ya simu janja aina ya Tecno R6 aliyoshinda katika promosheni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL YATAKIWA KUMLIPA DAVID MGWASSA SH. BILIONI MOJA

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamiiTUME Usuluhishi na Uamuzi (CMA) imetoa tuzo kwa aliyekuwa Meneja wa Konyagi David Mgwassa ya kulipwa dola za Kimarekani 200, 000 ndani ya siku 14 kuanzia leo kama...

View Article


Aliyepewa msaada wa bajaji na Rais Magufuli aonyesha maajabu

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lady in Red Farewell after party kufanyika Jumapili ukumbi wa Next Door...

Mbunifu nguli wa mitindo Bi. Asya Idarous-Khamsin ameandaa After party (pool party) ya Lady in Red Farewell siku ya Jumapili Februari 18, 2018 kuanzia saa 10 jioni katika ukumbi wa Next Door Masaki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

​WANANCHI KWIMBA WAMKATAA MKUU WA WILAYA MBELE YA WAZIRI MKUU

WANANCHI wa wilaya ya Kwimba wamemuomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aondoke na mkuu wa wilaya hiyo Bw. Mtemi Msafiri  (pichani) baada ya kutoridhishwa na utendaji wake. Wametoa ombi hilo leo (Ijumaa,...

View Article

ASLAY, NANDY WAULA AIR TANZANIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA AKAGUA MASHAMBA BORA YA PAMBA KATIKA VIJIJI VYA KILYABOYA NA SOLWE...

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Pamba, Marco Mtunga (watatu kulia) kuhusu zao la pamba lililostawi vizuri wakati alipotembelea shamba darasa  katika...

View Article
Browsing all 110167 articles
Browse latest View live




Latest Images