Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110025 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AHUDHURIA IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU KANISA LA ST. JOSEPH...

Bi Hellen Stephan akisoma somo la pili katika ibada ya Jumatano ya Majivu katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam asubuhi ya leo Februari 14, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri awasha Umeme Gongolamboto

Na Zuena Msuya, Dar es salaam Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewasha umeme katika kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Gongolamboto chenye uwezo wa MVA 65 na hivyo kuimarisha upatikanaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWANDKWA: SERIKALI KUIMARISHA SEKTA YA UJENZI NA UCHUKUZI MKOA WA TANGA

Na Ismail Ngayonga -MAELEZO NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa amesema Serikali imekusudia kuimarisha sekta ya ujenzi na uchukuzi katika Mkoa wa Tanga ikiwemo Ujenzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzia

Familia ya wanakifungilo wanasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa na mlezi wao Sr. Mary Fidesta Rimisho C.P.S., aliyepata kuwa mkuu wa shule ya Kifungilo kianzia mwaka 1981 hadi 2000,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Barclays hosts an economic forum for its corporate clients

Barclays Corporate and Investment Banking (CIB) clients were invited for an evening hosted by the bank, whereby the main agenda for the evening was to present the banks 2017 financial performance,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JALADA KESI YA MHASIBU ANAYEDAIWA KUWA NA UTAJIRI WA KUTISHA LAPELEKWA KWA DPP

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa, jalada la kesi inayomkabili Mhasibu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Godfrey Gugai...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHIFADHI WAIOMBA SERIKALI KUCHEPUSHA BARABARA YA LAMI INAYOPITA NDANI YA...

Na Hamza Temba-WMU-Morogoro................................................................Serikali inafikiria namna bora ya kubadilisha uelekeo wa eneo la kilometa hamsini za barabara ya lami...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MALAWI YAONESHA NIA KUPATA GESI KUTOKA TANZANIA

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amekutana na Ujumbe wa Mawaziri wawili kutoka Malawi na kuzungumza kuhusu uwezekano wa Malawi kupata Gesi Asilia kutoka Tanzania na Uendelezaji wa pamoja wa...

View Article


ALIYOYASEMA KAMISHNA USTAWI JAMII WAKATI WA HAFLA YA MAKABIDHIANO YA ZANA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIL. 161.9 ZIMETUMIKA KUBORESHA VITUO VYA AFYA 170-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetumia sh. bilioni 161.9 kuboresha vituo vya afya 170 nchini pamoja na kugharamia huduma ya Afya ya Mama na Mtoto kwa lengo la kuokoa maisha yao.Amsema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNACHOSTAHILI BAADA YA KUACHISHWA/KUFUKUZWA KAZI KIMAKOSA.

Na  Bashir  Yakub .1.  NINI MAANA  YA  KUACHISHWA  KAZI  KIMAKOSA.      Katika  ujumla  wake  kuachishwa  au  kufukuzwa  kazi  kimakosa ni  hatua  ambapo  mwajiri  anamwachisha  au  anamfukuza  kazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAPOKEA ZANA ZITAKAZOTUMIKA KUKUSANYA NA KUTOA TAARIFA ZA WATOTO...

Na Beatrice Lyimo, MAELEZO- DODOMA.Serikali imepokea zana za kukusanya na kutoa taarifa za watoto walio katika mazingira hatarishi kwa ajili ya wasimamizi wa mashauri ya watoto ngazi ya jamii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPOKEZI YA VIFAA VYA MATIBABU ZAHANATI YA KOMKONGA

 Mkurugenzi Mtendaji Bw. William Makufwe akisaidiana na mganga mkuu katikati na mkuu wa Mkoa kutoa hadubini tayari kwa kuikabidhi kwa viongozi wa Komkonga.  Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh. Martine...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Grace Matata @ Sauti za Busara 2018

Another great edition of Sauti za Busara has just ended and this year, the world known music festival 100% live, has seen the debut on its stage of Tanzanian songstress Grace Matata.The Afro Soul/Jazz...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAUTI SOL TEAM UP WITH BURNA BOY ON A NEW HIT AFRIKAN STAR

Sauti Sol are thrilled to announce the release of their 3rd single ‘Afrikan Star’ from the ‘Afrikan Sauce’ LP. The new release features the versatile Nigerian mega star, Burna Boy and is currently...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA AFRIKA KUSINI, JACOB ZUMA AJIUZULU

Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma jana jioni aliamua kujiuzulu wadhifa wake huo kufuatia kuongezeka kwa shinikizo la kumtaka afanye hivyo kutoka kwa chama chake cha ANC (African National Congress) ,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJUMBE WANNE WA BODI YA WAKURUGENZI YA KAMPUNI YA MBOLEA NCHINI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI YA UCHAGUZI JIMBO LA SIHA YAMEKAMILIKA

Zikiwa zimebakia siku tatu kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mdogo katika Majimbo 2 na Kata 8 za Tanzania Bara, maandalizi kwa ajili ya Uchaguzi wa Ubunge katika Jimbo la Siha na Udiwani katika Kata 3 za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUKUVI NA KAMPENI YA FUNGUKA NA WAZIRI

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Willium Lukuvi amesema Dar es Salaam ndio inaongoza kwa migogoro mingi ya ardhi nchini. Amesema ili kutafuta ufumbuzi wa...

View Article
Browsing all 110025 articles
Browse latest View live




Latest Images