Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109581 articles
Browse latest View live

NEC YATOA UFAFANZI TUHUMA ZA CHADEMA

View Article



INTRODUCING Phillz - Brown Shuga (Official music)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAJUMUISHO YA ZIARA YAKE MKOANI IRINGA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi wa mkoa wa Iringa kushirikiana ili kuweza Kuwasaidia wananchi.Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati wa kutoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA, MAJIMAJI KUSHUKA DIMBANI KESHO TAIFA

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiMABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) Yanga, kesho wanashuka dimbani kuvaana na kikosi cha Majimaji ya Songea " Wanalizombe" katika mchezo wa raundi ya 18...

View Article

WAZIRI MKUU AZINDUA MPANGO MKAKATI AFYA MOJA

Na Said Mwishehe, Blogu ya jamiiWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha Tanzania inakuwa mahala salama na penye afya bora huku akielezea jitihada zinazochukuliwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOJA YA HAJA: HUU NI UPUUZI MKUBWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  Tangu Jumapili tarehe 11/02/2018 nilishtushwa na habari iliyoandikwa na mwandishi aitwaye David Ng’ang’a kupitia mtandao uitwao...

View Article

Introducing "Ni Wewe" (Official Video) by Iddi Singer, Landan Balla, Lovince...

Roya Entertainment & Hourglass254 Presents Slay Queen Official VideoAudio Produced by Teknixxby Iddi Singer & Landan BallaStyling & Accessories by HourGlass254Video by Eddie Juma & Elle...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA NIDHAMU YAMFUNGIA JUMA NYOSO

Kamati ya Nidhamu iliyokutana Jumamosi Februari 10, 2018 pamoja na mambo mengine pia ilipitia shauri la mchezaji wa Kagera Sugar Juma Nyoso lililofikishwa kwenye kamati akituhumiwa kwa utovu wa nidhamu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania yawa Mwenyeji ya Mkutano wa Baraza la Wakimbizi Duniani

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga ametoa wito kwa Jumuiya ya Kimataifa kuisaidia Tanzania kutokana na mchango mkubwa wa kuwahudumia wakimbizi ambao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali na TFF yakutana na Wahariri wa Michezo kujadili Maandalizi ya Ujio...

 Mjumbe wa CAF na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa Bw.Leodger Tenga (katikati) akizungumza na Wahariri wa Habari za Michezo kutoka vyombo mbalimbali nchini (hawapo pichani) kuhusu mambo ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Kalemani afanya ziara Chato, Atoa wiki moja kwa mkandarasi kukamilisha...

Na Greyson Mwase, ChatoWaziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani  leo  tarehe 13 Februari, 2018 amefanya ziara katika wilaya ya Chato mkoani Geita lengo likiwa ni kukagua miradi ya usambazaji wa umeme...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAENEO YANAYOTUMIKA KUPITISHA DAWA ZA KULEVYA NCHINI YATAJWA

Na Said Mwishehe, Globu ya jamii  SERIKALI imebaini kwamba maeneo ya bandari, bahari kuu,vituo vya mabasi na viwanja vya ndege  bado yanatumika kupitisha dawa za kulevya nchini. Hata hivyo imeelezwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUKWAA LA NISHATI TANZANIA KUTOA SEMINA KWA WABUNGE

Na Mwandishi WetuJUKWAA la Nishati Tanzania linatarajia kutoa semina kwa wabunge ili wapate uelewa wa nishati na changamoto zake, watakapokuwa wanajibu maswali ama kuuliza wafanye hivyo kwa manufaa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKAPA AONGOZA HARAMBEE KUCHANGIA MFUKO WA UDHAMINI KUDHIBITI UKIMWI

Na Dotto MwaibaleRAIS Mstaafu Benjamin Mkapa amewataka wadau mbalimbali na wananchi kuendelea kuchangia Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi (ATF) kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa huo nchini ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRADI WACUJENZI MAHAKAMA KUU-KANDA YA MSOMA WAENDELEA,WANANCHI WAUPOKEA KWA...

Na Mary Gwera KAMA ilivyo kwa huduma nyingine katika jamii, huduma ya upatikanaji wa HAKI ni miongoni mwa huduma ambazo wananchi wanahitaji kwa wakati bila longolongo, kufuatia uhitaji huu wa Wananchi,...

View Article


BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIL 23.061 KUTUMIKA MATENGENEZO YA BARABARA PWANI 2018/2019

Na Mwamvua Mwinyi,Pwani KIASI cha sh. bilioni 23.061 zimepangwa kutumika kutoka mfuko wa barabara kwa ajili ya miradi ya matengenezo mbalimbali ya barabara ,mkoani Pwani, katika kipindi cha mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo(University of Bagamoyo UB) Profesa Costa Mahalu mara baada ya kufanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIXTUS MAPUNDA AMNADI KWA KISHINDO MTULIA, KINONDONI SHAMBA

Mbunge wa Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda (kushoto) akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni, Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo Feb 13, 2018, katika Kata ya Kinondoni Shamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA WA KOROSHO PWANI WANEEMEKA

Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha Wakulima wa zao la korosho Mkoa wa Pwani wamefanikiwa kupata kiasi cha sh. bilioni 57.7 kutokana na mauzo ya zao la korosho ,msimu huu. Mafanikio hayo yametokana na mfumo wa...

View Article
Browsing all 109581 articles
Browse latest View live




Latest Images