Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live

MICHUZI TV: TTCL sasa kuwa Shirika la Mawasiliano

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA KUTOA UAMUZI ONYO LA POLISI,MDEE KESI YA LUGHA CHAFU KWA RAIS

Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii.MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu  imesema Machi 1 mwaka huu, itatoa uamuzi dhidi ya maelezo ya onyo yaliyotolewa Polisi na Mbunge wa Kawe Halima Mdee, (Chadema),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VETA YAWASILISHA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO KWA KWA WADAU

Na Chalila Kibuda,Blogu ya jamiiMAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imeandaa mkutano wa wadau kwa lengo la kuwasilisha mpango mkakati wake wa miaka mitano na kupokea maoni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PWANI YAWATAKA WAFANYABIASHARA , KUSAJILI TIN NUMBER KWA TRA PWANI

Na Mwamvua Mwinyi,PwaniSERIKALI mkoani Pwani,imewaasa wafanyabiashara, wawekezaji na wenye viwanda ,kuhakikisha wanasajili namba za utambulisho ya mlipa kodi (TIN no) kwa meneja wa mamlaka ya mapato...

View Article

NDEGE MPYA ZA ATCL KUWASILI MWEZI JULAI MWAKA HUU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAKURUGENZI WA KAMPUNI YA NAMERA NA JOC

MKUUWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa viwanda vikubwa viwili vya kuchakata pamba ambao wameahidi kununua pamba yote itakayozalishwa nchini kuanzia msimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANGAZAJI LIKUDA AHAMIA A.FM RADIO

Mtanganzaji mkongwe nchini Emmanuel Likuda,leo amejiunga rasmi na A.FM RADIO kama mtanganzaji akijikita zaidi katika kipindi cha Amka tofauti. Akiongea wakati wakumtambulisha Likuda kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri Kakunda Amsimamisha Mhandisi wa Maji Chemba

Nteghenjwa Hosseah,Chemba.Naibu Waziri Ofisi yaRais- TAMISEMI Mhe. Joseph George Kakunda ameiagiz ahalmashauri ya Wilaya ya Chemba kumsimamisha Mhandisi wa Maji wa Halmashauri hiyo kwa kushindwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA HAPA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa China hapa nchini Wang Ke aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo. Wa kwanza kulia ni Waziri wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRL YAPATA HASARA BILIONI TANO

Shirika la Reli Tanzania (TRL) limepata hasara ya takribani shilingi bilioni tano katika kipindi cha mwezi mmoja baada ya njia ya reli ya kati kusombwa na mafuriko katika Wilaya ya Kilosa mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA INATUMIA DAWA ZILIZO SALAMA KWA UHAKIKA MKUBWA

Na.WAMJW-DAR ES SALAAM TANZANIA ni miongoni mwa nchi inayotumia dawa zilizo salama na ubora wa hali ya juu barani Afrika kutokana na udhibiti na umakini unaofanywa na Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwakyembe akutana na Waziri Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kujadili...

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe ameitaka Tanzania kuitendea haki heshima ya kupewa nafasi ya kufanyika kwa mkutano wa viongozi wa FIFA na CAF hapa nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAKURUGENZI WA KAMPUNI YA NAMERA NA JOC

WAZIRI MKUU  Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa viwanda vikubwa viwili vya kuchakata pamba cha Namera Group of Industries,na JOC. Wakurugenzi hao wameahidi kununua pamba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli ateua Mwenyekiti wa Bodi na Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Corporation

 Dkt Omari Rashid Nundu

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO AMUAPISHA KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akimuapisha kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar (CP) Mohamed Hassani Haji, leo Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam, baada ya kuteuliwa na Mheshimiwa...

View Article


MICHUZI TV LIVE: MKUTANO WA KAMPENI ZA UBUNGE CCM JIMBO LA KINONDONI ENEO LA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Droo ya tatu ya SHINDA NA SMATIKA INTANETI: Airtel yagawa Simu za Smatiphone...

Washindi wengine 3,000 wajishindia kifurushi cha intaneti 1GB kila mmojaKampuni inayoongoza kwa kutoa huduma bora za smartphone Airtel Tanzania imewazadia washindi wa droo ya tatu ya promosheni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VPL: KAGERA SUGAR YATOSHANA NGUVU NA AZAM FC KWENYE UWANJA WA KAIATABA LEO

Na Faustine Ruta, BukobaTIMU ya Kagera Sugar imelazimishwa sare ya 1-1 na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.Matokeo hayo yanaiongezea...

View Article

Uwe Valentine Wangu - mkongwe John Kitime

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahutubia Siku ya Sheria Zanzibar

r RAIS wa Chama cha Mawakili Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban akizungumza wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar....

View Article
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live




Latest Images