Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGU MACHO JIMBO LA KINONDONI MAANA HUKU MTULIA...KULE MWALIMU

Na Said MwisheheKWA heshima na taadhima, naomba nitumie nafasi hii kuwasalimia wananchi wa Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam.Natoa salamu zangu kwenu nikitambua kuwa pamoja na shughuli nyingine...

View Article



KIPINDI MAALUM CHA MAENDELEO YA UJENZI WA RELI NCHINI

View Article

Bamiza Music Chart 3rd February, 2018

View Article

NEC YARIDHIA KUHAMISHWA KWA VITUO 46 VYA KUPIGIA KURA KINONDONI

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeridhia kuhamishwa kwa vituo 46 vya kupigia Kura katika kata tatu za jimbo la Kinondoni zitakazofanya Uchaguzi mdogo wa Ubunge Februari 17 mwaka huu. Mkurugenzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ratiba rasmi ya mazishi ya Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (Baba Kinje)

Jumapili tarehe 4/2/2018- Saa 10:00 jioni mwili kutoka Hospitali kuelekea nyumbani Victoria/Makumbusho Kingunge street, Dar es salaam. -Saa 11:00 Jioni mwili kuwasili nyumbani na taratibu za ibada mila...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMAPILI LEO FEBRUARY 4,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC Wangabo awaibaini wakwepa kodi, atoa siku 7 wajirekebishe kabla ya Msako.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim wangabo amesikitishwa na kitendo cha wafanyabiashara kutumia mbinu mbalimbali za kukwepa kulipa kodi serikalini jambo linalorudisha nyuma maendeleo, hivyo kutoa siku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU UVUVI ATEKETEZA NYAVU HARAMU ZA BILIONI 2.6 MWANZA

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mary Tesha akishiriki kwenye zoezi la kuteketeza nyavu haramu za uvuvi zenye thamani ya shilingi bilioni 2.6 zilizokamatwa katika maghala mbalimbali jijini Mwanza leo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA WA MOROGORO WANUFAIKA NA AJIRA UJENZI RELI MWENDO KASI ‘SGR’

Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Kebwe Stephen Kebwe ( wa kwanza kulia) asikiliza maelezo ya mtaalamu wa Kampuni ya Uhandisi ya MotaEngil Afrika - Tanzania ya ujenzi wa reli ya kisasa (standard gauge) eneo...

View Article


MICHUZI TV LIVE: FUATILIA HAPA IBADA YA KUMUWEKA WAKFU REV. CAN. JACKSON...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTOKA KUUZA MAJI HADI KUWAVALISHA YANGA,DIAMOND PLATINUMZ NA BAKHARESA

Jeffrey Jessey anaishi ndoto ambayo kila kijana wakitanzania angependa kuishi hivyo. Akiwa na ari ya kuja kuwa na mafanikio Jeffrey alianza shule hadi kufika Chuo kikuu cha Dar es salam ambako alisoma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wote waliolima,kuchoma mkaa msitu malangali wakamatwe mara moja-RC Wangabo

Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameagiza kuwasaka na kuwakamata wananchi wote waliokiuka amri ya mahakama ya kutoutumia msitu wa hifadhi ya Malangali kwaajili ya matumizi ya kibinadamu....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MNEC SALIM ASAS KULA SAHANI MOJA NA WATENDAJI WATAKAOKWAMISHA JUHUDI ZA RAIS

MJUMBE wa Halmashauri kuu CCM Taifa (NEC )Salim Abri amesema kuwa CCM Mkoa wa Iringa itamshughulikia mtendaji yeyote wa Serikali atakayeonyesha dalili ya kukwamisha juhudi zinazofanywa na Rais wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JENISTA MHAGAMA : WCF KUFUNGUA OFISI KWA AWAMU MIKOANI KURAHISISHA...

KUANZISHWA kwa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi ni hatua muafaka katika mazingira ya sasa ambapo kuna ongezeko la maeneo ya uzalishaji hususan viwanda kunakokwenda sambamba na ongezeko la matukio ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. Shein aongoza Kikao cha Kamati Maalum ya halmashauri kuu ya CCM Taifa...

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein leo Februari 4, 2018 ameongoza Kikao cha kawaida cha siku moja cha  Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa Zanzibar.Hiki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA MKUU WA TRA AMSIMAMISHA KAZI MENEJA WA TRA MKOA WA MARA

Na: Veronica Kazimoto-Bunda, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere amemsimamisha kazi Meneja wa TRA Mkoa wa Mara Ndg. Nicodemus Mwakilembe kutokana na uzembe wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF TANGA WAENDELEA KUHAMASISHA MPANGO WA TOTO AFYA KADI KWA WAKAZI WA JIJI...

Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia Shabani kushoto akitoa elimu ya mpango wa Toto Afya kadi kupitia kipeperusi kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda lao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwakyembe apongeza TBC kwa kuongeza Usikivu maeneo ya Mipakani mwa Tanzania

Na Anitha Jonas – WHUSM Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe ameupongeza uongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kwa kuongeza usikivu katika maeneo mbalimbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Leo ni Siku ya Saratani Duniani (World Cancer Day).

Hapa nchini, tatizo la Saratani limekuwa likiongezeka kila mwaka. Shirika la Afya Duniani (WHO) linakadiria kuwa, kila mwaka wagonjwa wapya wapatao 50,000 hugundulika na saratani za aina mbalimbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahakama ya Afrika kuhamasisha wadau Jamhuri ya Demokrasia ya Kiarabu ya...

Arusha, 4 February, 2018-Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) inaendelea kuimarisha juhudi zake za kuitangaza kwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika(AU) pamoja na wadau mbalimbali ili...

View Article
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live


Latest Images