Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109607 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Awamu ya pili Zabuni mradi wa Ujenzi Bwawa la Kuzalisha Umeme teigler's Gorge...

 Na Greyson Mwase, Dar es Salaam.Zabuni kwa ajili ya mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme wa Megawati 2100 la Steigler's Gorge katika Maporomoko ya Maji ya Mto Rufiji zimefunguliwa  leo tarehe...

View Article



DINI YA MAREHEMU, KINGUNGE KUFAHAMIKA SIKU YA MAZISHI YAKE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UGENI MAHAKAMA YA JUU NCHINI GUATEMALA WAKUTANA NA JAJI MKUU WA TANZANIA

Na Mary GweraKatika mwendelezo wa Utekelezaji wa Mpango Mkakati wake wa miaka mitano (5) (2015/2016-2019/2020), Mahakama ya Tanzania inaendelea na jitihada za kupata uzoefu na ujuzi kutoka katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANANCHI MWENYE ULEMAVU YUSUF ABDULRAHMAN NDEMANGA AKABIDHIWA BAJAJI...

Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Bw. Gerson Msigwa wakimwongoza mlemavu wa maungo Bw. Yusuf Abdulrahman Ndemanga kwenye Bajaji ambayo aliahidiwa na Rais Dkt...

View Article

UPDATES ZA MSIBA WA MAREHEMU MZEE NGOMBALE MWIRU - KUZIKWA JUMATATU MAKABURI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUSIIME YATESA TENA KIDATO CHA NNE

Shule ya Tusiime imeendelea kufanya vizuri katika matokeo ya kitaifa ya kidato cha nne kwa kufaulisha asilimia 100 ya watahiniwa wake wote 303.Kwenye matokeo yaliyotangazwa jana na Baraza la Taifa la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AWAPA POLE FAMILIA YA RUBANI WA SERIKALI KAPTENI BOMANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amehudhuria msiba wa Rubani wa Ndege za Serikali, Marehemu Kapteni Dominic Bomani aliyefariki jana kwa ajali ya ndege...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM FC YAANZA TAMBO KUELEKEA MCHEZO DHIDI YA NDANDA

Na Agness Francis, Globu ya Jamii MABINGWA wa Afrika Mashariki na Kati Azam Fc  wanatarajia kushuka dimbani kesho kuumana na  Wanakuchere NdandaFc katika mchezo wao wa marudiao raundi ya pili, Ligi kuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI MWAPACHU AMLILIA KINGUNGE KWA UJUMBE MZITO

Na Balozi Juma MwapachuBALOZI Juma Mwapachu ameamua kuandika tanzia ambayo ameamua kumuelezea mwanasia mkongwe na maarufu nchini Mzee Kingunge Ngombale Mwiru ambaye amefariki dunia leo.Amemuelezea kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO YA LIGI DARAJA LA KWANZA LEO

FDL KUNDI BMawenzi-0 Vs Coast-2Mufindi-1 Vs Polisi Tz-2Mbeya Kwanza-3 Vs Polisi Dar-1JKT Mlale-0 Vs KMC-1MSIMAMO1) KMC-282) Coast-263) Jkt Mlale-254) Polisi Tz-245) Mbeya Kwanza-226) Mufindi-137)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shilingi milioni 208 zanufaisha kaya maskini TASAF Kishapu

Na Robert Hokororo, Ofisi ya Mkurugenzi.Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) imetoa sh. milioni 208.5 kwa ajili ya kuwezesha kaya maskini katika kipindi cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MHAGAMA: MUSWADA SHERIA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII KUNUFAISHA WATUMISHI...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama amesema kupitishwa kwa muswada wa Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii...

View Article

SERIKALI YAFUTA TOZO ZAIDI YA 80,ADA 139 KATIKA MAZAO YA KILIMO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YAZIFUNGIA HOTEL TATU IKIWEMO NAFF HOTEL NA KITUO CHA MAFUTA MKOANI MTWARA

Mamlaka ya mapato mkoani Mtwara (TRA) imezifungia hotel tatu mkoani humo pamoja na kituo cha kuuza mafuta kwa kushindwa kulipa kodi ya malimbukizo ya madeni.Hotel zilizofungiwa ni Naff Beach, Naf blue,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MTAKA AHIDIWA USHIRIKIANO NA BALOZI WA IRELAND,INDONESI NCHINI TANZANIA

Na Mathias CanalBalozi wa Ireland nchini Tanzania H.E Ambassador Paul Sherlock amemuahidi Mkuu wa Mkoa wa simiyu Mhe Antony Mtaka kuendeleza ushirikiano na Mkoa wa Simiyu ili kuboresha sekta ya Afya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MANISPAA YA DODOMA GODWIN KUNAMBI AKABIDHI VITAMBULISHO KWA...

Na Ramadhani Juma-Ofisi ya MkurugenziMKURUGENZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi amekabidhi vitambulisho kwa Wafanyabiashara ndogo maarufu kama m Machinga wanaofanya shughuli zao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE MGIMWA AFANIKISHA MASOMO KWA MTOTO MLEMAVU

Na Fredy Mgunda, IringaMBUNGE wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mahamud Mgimwa amemwokoa mtoto wa kike ambaye ni mlemavu wa viungo kwa kumpeleka shule baada ya wazazi wake kushindwa gharama za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT MWIGULU AZINDUA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WANANCHI KUPATA VITAMBULISHO VYA...

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dkt. Mwigulu Nchemba akizindua zoezi la uandikishaji wa wananchi kupata kitambulisho cha uraia mkoani Tabora kushoto kwake ni kaimu mkurugenzi mkuu wa NIDA Andrew...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUCHIKA AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF nchini Bi. Maniza Zaman alipomtembelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAA Yakabidhi Gari Kituo Cha Zimamoto

MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) jana imekabidhi gari aina Toyota Hilux kwa Idara ya Zimamoto na Uokoaji ya Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), ili kuchocheo ufanisi...

View Article
Browsing all 109607 articles
Browse latest View live




Latest Images