Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109606 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WA MITINDO, UREMBO MSIWABAGUE WENYE ULEMAVU WA NGOZI-BRIGITA

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii .MSHINDI wa Miss Tanzania mwaka 2012 Brigita Alfred ameweataka wadau wa masuala ya urembo na mitindo kuacha kubagua watu kutokana na mapungufu yao ya kimaumbile katika...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI MULEBA WAIOMBA SERIKALI KUONGEZEA WATUMISHI WA UMMA

Na Emanuel Massaka-Globu ya jamii WAKAZI wa Kisiwa cha Kerebe wilayani Muleba mkoani Kagera wameomba Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais,Dk. John Maguli kuwapelekea rasilimali watu hasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU MEYA ILALA AWAKUMBUSHA MADIWANI KUSIMAMIA USAFI

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii.NAIBU Meya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, Omary Kumbilamoto, amewataka viongozi na madiwani wa Manispaa hiyo kuwahimiza waanchi wao kufanya usafi katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI UMMY AENDELEA NA ZIARA KANDA YA ZIWA

 Waziri ummy Mwalimu akiangalia ramani ya kituo hicho cha afya ambacho kimejengwa kwa ushirikiano wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema na Shirika la SEDA Foundation, kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAKONDA ATOKWA NA CHOZI BAADA YA KUJIONEA MAISHA YA WASTAAFU...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametembelea na kutoa pole kwa Familia ya Wastaafu ya Bwana Edward Bejumula na Bi. Stella Bejumula walioteseka kwa Miaka Sita bila Makazi baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Abbasi Aviasa Vyombo vya Habari Kuunga Mkono Mageuzi Yanayoletwa na...

Frank Mvungi- MAELEZO, Dodoma.Vyombo vya Habari nchini vimeaswa kuunga mkono juhudi za Serikali katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo kwa maslahi mapana ya Taifa.Akizungumza Wakati wa ziara...

View Article

uzinduzi wa kampeni za CCM Kinondoni viwanja vya Biafra jijini Dar es salaam...

View Article

MRITHI WA ALLY YANGA ANENA BAADA YA USHINDI WA YANGA SC DHIDI YA AZAM FC

Yanga SC iliibuka na ushindi wa bao 2 - 1 dhidi ya Azam FC, mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara uliopigwa katika Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK SHEIN AREJEA NCHINI AKITOKEA NCHI ZA FALME ZA KIARABU UAE

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAONYESHO WIKI YA SHERIA YAANZA RASMI VIWANJA VYA MNAZI MMOJA

Mkurugenzi wa Malalamiko na Maadili-Mahakama ya Tanzania, Mhe. Happiness Ndesamburo akisikiliza malalamiko ya mmoja wa wananchi aliyetembelea katika Banda hilo lililopo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC YATOA MAAMUZI RUFAA MGOMBEA UBUNGE NA RUFAA 5 ZA WAGOMBEA UDIWANI

Kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 40(6) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, ikisomwa pamoja na Kanuni za 34 na 35 za Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge za mwaka 2015, Tume ilipokea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POWER ON FITNESS GYM YAUKARIBISHA MWAKA 2018 KWA MBWEMBWE

Power on Fitness Gym iliyopo Mwenge, kinondoni, Jijini Dar es salaam imeukaribisha mwaka 2018 kwa style ya kipekee ambapo wadau mbalimbali wamejumuika kufanya mazoezi pamoja na kuburudika kwa chakula,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASAUNI AKAGUA MAKAZI YA ASKARI MAENEO YA POLISI WALIYOUZIWA WANANCHI KINYUME...

Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akimuuliza maswali Mhandisi wa Jeshi la Polisi, Mrakibu Pascal MacORWA (kushoto), alipotembelea eneo la Tunguu lililovamiwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI KAMPENI ZA CCM UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE KINONDONI ZAWAVUTIA WENGI.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba (kushoto), akimnadi kwa wananchi mgombea ubunge Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia wakati wa uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo viwanja vya Biafra,...

View Article

DAILY NEWS ONLINE: UKWELI KUHUSU ATHARI ZA MIONZI YA MINARA YA SIMU HUU HAPA

View Article


DAILY NEWS OMLINE: MAGAZETINI JANUARI 28, 2018: UCHUMI TANZANIA WAGUSA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO yaja na mfumo wa GIS kuboresha huduma

                                                                      Na Yasin SilayoShirika la Umeme Tanzania TANESCO limeandaa mfumo wa taarifa za kijiografia za wateja, maarufu kwa jina la GIS, kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JANUARi 28,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA KINARA UCHUMI JUMUISHI AFRIKA

Usimamizi mzuri na utekelezaji wa Sera mbalimbali za kuwawezesha wananchi kushiriki kikamilifu kujenga na kumiliki uchumi, kumeifanya Tanzania kuibuka kinara miongoni mwa nchi zilizopo Kusini mwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dar Swim Club yatwaa ubingwa wa Tanzania kwa waogeleaji chipukizi

Klabu ya kuogelea ya Dar Swim Club imetwaa ubingwa wa Tanzania wa waogeleaji chipukizi wenye umri kati ya miaka saba na 14 kwa mara ya pili mfululizo baada ya kujikusanyia jumla ya pointi...

View Article
Browsing all 109606 articles
Browse latest View live




Latest Images