Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAA YARUDISHIWA KIWANJA CHA NDEGE KAHAMA

KAMPUNI ya madini ya ACACIA yenye kumiliki migodi ya dhahabu ya Buzwagi na Bulyahulu imekirudisha serikalini Kiwanja cha Ndege cha Kahama kwa ajili ya kuchochea maendeleo kwa ujumla.Awali mwaka 2005...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Ummy Mwalimu afungua CT-Scan hospitali ya Bugando

Na WAMJWW.Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu (MB)  ameahidi kuwaletea mashine ya uchunguzi ya MRI katika hospitali ya rufaa ya kanda ya ziwa Bugando mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MAKAMBA AONGOZA SHUGHULI ZA UPANDAJI MITI DODOMA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba akihutubia wakati zoezi la upandaji miti kuendeleza programu ya kuifanya Dodoma iwe ya kijani  iliyofanyika mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Maliasili na Utalii kuikarabati nyumba ya Nyerere Magomeni-Dk...

Wizara ya Maliasili na Utalii kuikarabati nyumba ya Nyerere Magomeni-Dk Kigwangalla Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Dk.Hamisi Kigwangalla (MB) mapema leo Januari 26,2018,amefanya ziara maalum katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kumbukumbu ya miaka 12 ya kifo cha Chipembele Said Chipembele

 Ni miaka 12 sasa tangu uage Dunia mpendwa wetu Chipembele Said Chipembele, tunaona ni Kama Jana!Mwenyeezi Mungu aendelee kuipumzisha Roho yako mahala Pema Peponi.AMIN Chipembele Said Chipembele enzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watoto wa Kituo cha Tumaini la Maisha Muhimbili Wapatiwa Msaada

Watoto wenye saratani ambao wanamekuwa wakihudumiwa na Kituo cha Tumaini la Maisha  kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)wamepatiwa msaada wa fedha kwa ajili ya kupatiwa huduma...

View Article

UNNewsKiswahili: Hii ndio hali halisi ya kazi za walinda amani wa UN

Tahir na askari wenzake wanajiandaa kwenda katika doria kaskazini mwa Mali eneo lililotawaliwa na vikundi vya magaidi na pia wanamgambo wa Boko Haram. Swali !!! je yeye na wenzake watarudi salama?...

View Article

VOA Swahili: Duniani Leo 26th January 2018

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AFURAHIA SOMO LA MKIKITA KUHUSU KILIMO BORA CHA MAPAPAI

Na Richard Mwaikenda, Msoga..RAIS mstaafu Dk.Jakaya Kikwete amefurahishwa na elimu ya kilimo cha kisasa cha Papai chenye gharama nafuu aliyopatiwa na Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (Mkikita/Living...

View Article


BBC DIRA YA DUNIA IJUMAA 26.01.2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Minja brings better medical imaging technology to homeland of Tanzania

Most people, at some point in their lives, have had an x-ray. It’s a common practice. In fact, today at Yale-New Haven Hospital alone, every year more than 70 radiologists perform more than one million...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkuu wa Wilaya ya Kahama akutana na Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini

Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh. Nkurlu leo amekutana na Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Alvaro na kufanya mazungumzo kuhisu maendeleo na changamoto na fursa zilizoko Kahama.Mr. Alvaro...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

msaada tutani: mdau apotelewa na binti yake dar es salaam

Nimepotelewa na binti yangu kwa  jina anafahamika kama KHADIJA ALLY mwenye umri wa miaka 14, mkaazi wa Kinondoni Vijana, Dar es salaam. Ametoweka katika mazingira ya kutatanisha tangia aage aende shule...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMAMOSI LEO JANUARY 27,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

maonesho ya kitalii kufikia kilele jumapili jijini new york

Mkurugenzi wa East point hotel, ndugu Rashid Adam, na Pia ni Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni ya ZARA TOURS akiwa kwenye maonesho ya kitalii nchini marekani New York times travel show. Watu ni wengi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. MWANJELWA AISHUKURU CHINA KUONESHA NIA KUISAIDIA TANZANIA

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Dkt Mary Mwanjelwa ameishukuru Serikali ya China kwa kuonyesha nia ya kusaidia eneo la utafiti na maendeleo hususan kwenye kuendeleza zao la minazi na mihogo kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA FIFA KUSHUHUDIA FAINAL YA NDONDO SUPER CUP

Baada ya kufanyika michuano ya Sports Xtra Ndondo Cup kwa mafanikio katika mikoa ya Mwanza na Mbeya sasa yaongeza wigo kwa mabingwa wa mikoa.jana jijini Mbeya kamati ya mashindano hayo imetangaza rasmi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAMPA MWEZI MMOJA MKANDARASI KUMALIZIA MAJENGO YA CHUO.

NA WAMJW-MTWARASERIKALI Kupitia Wizara ya Afya imeagiza Kampuni ya Ujenzi na Uhandisi Nadhra kumalizia kazi ya kurekebisha kasoro zilizotokana na ujenzi katika majengo ya Chuo Cha Uuguzi Mtwara ( NTC)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAIPATIA TAASISI YA MOI BILIONI 16 KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA KWA JAMII

Na WAMJWW. DSM.Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) shilingi Bilioni 16 ikiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAVUVI WAASWA KUZINGATIA SHERIA,TARATIBU ZA UVUVI KUZILINDA RASILIMALI ZIWA...

NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega ameteketeza Nyavu haramu 242 zenye thamani ya Sh Mil.242 baada ya wavuvi kuzisalimisha wenyewe katika kisiwa cha Zilagula kilichopo halmshauri ya Buchosa...

View Article
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live




Latest Images