Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanafunzi saba wafanya mtihani na kufaulu kupandishwa madaraja ya mkanda...

 Na Sultani Kipingo wa Globu ya JamiiWanafunzi waandamizi saba wa  shule za Karate (dojo) mtindo wa Okinawa Goju Ryu  za  Kaizen na Hekalu la Kujilinda  za jijini Dar es salaam na Dodoma wamefanya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nyumba inauzwa Mbezi Beach, maeneo ya Jogoo, jijini Dar es salaam.

  Ni ya ghorofa mbili na apartment tatu. Bei ni 380m/-  Dalali haitajiki. Kwa mawasiliano piga namba 0626171080Muonekano wa mbele Muonekano wa nyuma Muonekano wa pembeniMuonekano wa ndani

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakulima na Wasambazaji mbolea Rukwa Waridhishwa na upatikanaji wa mbolea...

Wafanyabiashara wakubwa wa mbolea Mkoani Rukwa pamoja na wakulima wameridhishwa na upatikanaji wa mbolea na kusifu juhudi za serikali baada ya kupaza sauti zao na kusikika na Rais Dk. John Pombe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMATANO LEO JANUARY 24,2018

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Abbas akutana na kufanya Mazungumzo na Viongozi wa Chama cha Waandishi...

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi leo (jana) amekutana na kufanya Mazungumzo na Viongozi wa Chama cha Waandishi wa Habari Kanda ya Kati Mjini Dodoma.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAIMU MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE NCHINI (TAA) ATEMBELEA...

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye kushoto akimkaribisha Kaimu Mkuu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Bw. Richard Mayongela kulia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC NDIKILO-VIGOGO WASIOJULIKANA WALIOVAMIA MSITU WA HIFADHI WA KAZIMZUMBWI...

Na Mwamvua Mwinyi,KisaraweVYOMBO vya ulinzi na usalama,Mkoani Pwani vimetakiwa kuwatafuta baadhi ya watu wanaodhaniwa kuwa ni vigogo,; kuvamia msitu wa Hifadhi wa Kazimzumbwi uliopo wilayani Kisarawe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AZUNGUMZA NA MFALME WA DUBAI, WAFANYABIASHARA,...

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mazungumzo na Mfalme wa Dubai Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice President, Prime Minister and Ruler of...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wavuvi waaswa kulima pindi Ziwa Rukwa linapofungwa Januari hadi April Kila...

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewaasa wavuvi wanaozunguka ziwa Rukwa kuhakikisha wanatafuta ardhi kwaajili ya kilimo, biashara pamoja na ufugaji katika kipindi cha kunzia mwezi wa kwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YATEMBELELEA MAMLAKA...

Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa kazi nzuri iliyofanya ya ujenzi wa jengo la makumbusho ya kisasa katika Bonde la Olduvai ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KARIA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA KOCHA NTAMBI NA ISMAIL SUMA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Ndugu Wallace Karia amepokea kwa huzuni na mshtuko mkubwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Kocha msaidizi wa Mwadui FC Jumanne Ntambi kilichotokea usiku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri Kandege avunja mkataba wa TBA na Halmashauri ya Wilaya ya Butiama.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Josephat Kandege ameagiza kuvunjwa kwa Mkataba wa Tsh Bil 3.2 kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Butiama iliyokuwa ikijengwa na Wakala wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC Wangabo atoa miezi mitatu kwa wavuvi Ziwa Rukwa kuhama kambi kuepuka...

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ametoa miezi mitatu kwa wananchi wanaoishi katika kambi ya uvuvi ya Nankanga iliyopo kando ya ziwa Rukwa kuhama kwa hiyari baada ya kambi hiyo kuwa katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRADI WA MAJI NA JENGO LA UZAZI ZAHANATI YA YOMBO/BAGAMOYO YAKWAMA

Na Mwamvua Mwinyi,Bagamoyo.Wakazi wa kijiji cha Yombo kata ya Yombo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wamelalamikia mradi wa maji uliofadhiliwa na Bank ya Dunia na kugharimu milioni 297, ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA NISHATI ARIDHISHWA NA KAZI YA UJENZI WA NJIA YA UMEME KUELEKEA...

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ameeleza kuridhishwa kwake na kazi ya ujenzi wa miundombinu ya kusafirisha Umeme wa msongo wa kV 33 inayojengwa kuelekea eneo litakalotumika kuzalisha Umeme kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Helioum One yagundua heliamu ya futi za ujazo bilioni 98.9

Kampuni ya uchunguzi na utafiti wa madini, Helium One, ambayo kwa sasa inafanya utafiti wa gesi ya heliamu mkoa wa Rukwa imegundua kuwapo kwa futi za ujazo bilioni 98.9 za gesi hiyo katika maeneo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Azam FC: Tumejipanga Kuchukua Pointi Tatu dhidi ya Yanga

Na Agness Francis,Blog ya Jamii.   MCHEZO kati ya Timu ya Azam FC dhidi ya Timu ya Yanga unaotarajiwa  kuchezwa Jumamosi saa 1 usiku kwenye Uwanja wa Azam Complex, Timu ya Azam imesema   kuwa Timu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ashtakiwa kwa Kutoa Taarifa za Uongo

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMASerikali imemshtaki John Hima (29) kwa kosa la kushindwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria ya Takwimu Namba 9 ya mwaka 2015.Akisoma kesi hiyo namba 9 ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Kamwelwe Akutana na Balozi wa Ujerumani Nchini

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Kamwelwe amekutana na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Dkt. Detlef Wachter na kuzungumzia ushirikiano baina ya nchi hizo mbili katika kuinua kiwango cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO 15 WENYE MATATIZO YA MOYO WAFANYIWA UPASUAJI WA BILA KUFUNGUA KIFUA

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya  Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart-SACH) ya nchini Israel na Kituo  cha Moyo  cha Berlin (Berlin Heart Center) cha nchini...

View Article
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live




Latest Images