Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109602 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA WA USAGALI AMCOS WILAYANI NZEGA WAMUOMBA MKUU WA MKOA KUWASAIDIA ILI...

RS TABORAWAKULIMA wa Tumbaku wa Chama cha Msingi cha Ushirika Usagali (AMCOS) wilayani Nzega wameiomba Serikali ya Mkoa wa Tabora kuwasaidia kusimamia madai yao ya fedha zao kiasi cha shilingi milioni...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA UHUJUMU UCHUMI YA VIGOGO WATATU WA SIX TELECOMS YAPIGWA KALENDA

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeipiga kalenda kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili vigogo wa Kampuni ya mawasiliano ya Six Telecoms, akiwemo Wakili Dk Ringo Tenga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI NJOMBE WAKIRI KUKWAMA KATIKA BAADHI YA HUDUMA KWA KUKOSA...

Wananchi wa mkoa wa Njombe wameonyesha mwamko mkubwa kujitikoza kwa wingi kusajiliwa Vitambulisho vya Taifa wakielezea namna wanavyotegemea kuvitumia katika kupata huduma mbalimbali za kijamii.Wilaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILIMANJARO MARATHON 2018 YAZINDULIWA RASMI MOSHI

Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2018 ambayo ni ya 16 tangu kuanzishwa kwake, imezinduliwa rasmi Kibo Palace Homes kwa kushirikisha wadhamini, Chama Cha Riadha Mkoa wa Kilimanjaro (KAAA) na waandaaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANROADS WAAGIZWA KULETA MZANI MAKAMBAKO

Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa ameuagiza uongozi  Wakala wa Barabara (TANROADS), Makao makuu kuhakikisha ndani ya mwezi mmoja  wanaweka mzani mwingine wa kuhamishika katika eneo la mzani wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANDAO WA KIJAMII WAJITOLEA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA

Na Mwandishi Wetu, Globu ya jamiiMTANDAO wa kijamii wa kuutangaza utalii wa Deiplaces umesema umejipanga vema kutoa taarifa sahihi za vivutio vya utalii vilivyopo nchini Tanzania.Akizungumza leo jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZINGATIENI SHERIA- NDITIYE

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiNAIBU Waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano-Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amesema watoa huduma za mawasiliano nchini lazima wafuate sheria...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANDAO WA KIJAMII WAJITOLEA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA

MTANDAO wa kijamii wa kuutangaza utalii wa deiplaces umesema wamejipanga vema kutoa taarifa sahihi za vivutio vya utalii vilivyopo nchini Tanzania. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam,Meneja wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZINGATIENI SHERIA- NDITIYE

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.NAIBU Waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano-Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amesema watoa huduma za mawasiliano nchini lazima wafuate sheria...

View Article


Waafrika wazidi kuteswa Libya

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius nyerere jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA SERENGETI NA BUNDA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti cha shukurani, Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Serengti, Bw. William Mwakileme kutokana na mchango mkubwa wa hifadhi hiyo katika ujenzi wa Shule ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIWANDA CHA DANGOTE CHAAGIZWA KUWALIPA KWA WAKATI WACHIMBAJI WA JASI

Kampuni ya Saruji ya Dangote imetakiwa kuwalipa kwa wakati Wachimbaji wa Madini ya Jasi ili kuwawezesha kulipa kodi zao kwa Serikali kulingana na taratibu zilizopo.Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

INTRODUCING: CHIBWA & TANAH TANCHY - ALONE (OFFICIAL VIDEO)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTEUZI WA KATIBU MTENDAJI TCU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WADAU WA MAZINGIRA JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao cha Wadau wa Mazingira kuhusu Changamoto ya Mafuriko na Hifadhi ya Mazingira katika mkoa wa Dar es Salaam,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. CHARLES KIHAMPA APPOINTED EXECUTIVE SECRETARY OF THE TCU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAKATAZA KULIMA PAMBA KWA MKATABA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imekataza kilimo cha pamba cha mkataba kwa sababu kinawanyonya wakulima.Ameyasema hayo leo (Ijumaa, Januari 19, 2018) wakati akizungumza na wananchi baada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ajipanga Kutembea Hadi Magogoni Kuunga Mkono Juhudi za Rais Magufuli

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Kijana mzalendo, Omary Kombe amejipanga kutembea kutoka Kimara hadi Kivukoni siku ya Jumamosi, Januari 20, 2018 ili kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

View Article

SABABU ILIYOMUWEKA PEMBENI KWA MUDA MSANII NURU THE LIGHT

View Article
Browsing all 109602 articles
Browse latest View live




Latest Images