Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109589 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA BILA KIBALI WAPANDISHWA KIZIMBANI

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.Mkurugenzi wa Saha Limited  na mwingine wa Lucky Shipping Co.Ltd, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka mawili ya uhujumu...

View Article



NAIBU WAZIRI WA UJENZI AMTAKA MKANDARASI KUMALIZA DARAJA KWA WAKATI

Naibu waziri wa ujenzi ELIAS KWANDIKWA amemwagiza mkandarasi anayejenga daraja la RUHUHU liliopo lituhi wilayani nyasa mkaoni ruvuma ambalo pia linganisha mkoa wa LUDEWA kukamilisha kwa wakati ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA RAIS YA KUCHUNGUZA BIASHARA YA MADINI YA TANZANITE YAANZA...

Mwenyekiti wa Kamati iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kuchunguza biashara ya madini ya Tanzanite ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria Prof....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATEJA SOKO LA KUKU SHEKILANGO WAPUNGUA

Na Agness Francis, Globu ya Jamii WAFANYABIASHARA wa kuku katika soko la Kuku lililopo Shekilango jijini Dar es Salaam wamesema kwa sasa soko limekuwa gumu kidogo kutokana na kupungua kwa wateja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATOA SHILINGI BILIONI 24.4 KUJENGA NA KUKARABATI MELI

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa shilingi bilioni 24.496 kwa ajili ya kujenga meli mpya mbili na kukarabati meli tano ili ziweze kutoa huduma ya uchukuzi wa kusafirisha abiria na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZANTEL YAZINDUA KAMPENI YA ‘JERO YAKO TU' KUWAZAWADIA WATEJA WAKE

Kampuni ya Mawasiliano ya ZANTEL, leo imezindua kampeni yake kabambe inayoitwa 'JERO YAKO TU', promosheni ambayo imelenga kuwashukuru wateja kwa kuwapa zawadi mbalimbali mara wanapoongeza salio la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS ATAKA WANANCHI KUACHA TABIA YA KUHARIBU MAZINGIRA

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan amewataka  Watanzania kuchana na  vitendo vya uharibifu wa mazingira kwa lengo la kujiepusha  na athari zitokanazo na mabadiliko ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPELELEZI KESI YA KUISABABISHIA HASARA SERIKALI BILIONI 2.4/- MBIONI KUKAMILIKA

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiUPELELEZI katika kesi  ya uhujumu uchumi na kuisababishia hasara Serikali ya Shilingi bilioni 2.4 inayomkabili Mkurugenzi wa Tathmini ya Madini, Archard Kalugendo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OPERESHENI YA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU YASHIKA KASI KWA WANUFAIKA WA...

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.BODI ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HELSB) imesema kuwa kwa kipindi cha miezi mitatu ya operesheni ya kudai mikopo kwa wanufaika hao watafikiwa katika ofisi zao kutokana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPINA AKAMATA MAROBOTA 1152 YA NYAVU HARAMU MWANZA NA SINGIDA ZENYE THAMANI...

Na John MapepeleWaziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Joelson Mpina amekamata marobota 1152 ya aina mbalimbali za nyavu haramu zisizoruhusiwa kisheria kutumika kuvulia samaki zenye thamani ya shilingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Abbas Atembelea Vyombo vya Habari Mkoani Dodoma

​Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMAMkurugenzi wa Idara Habari( MAELEZO) Dkt. Hassan Abbasi ameanza ziara ya kutembelea vyombo vya habari Mkoani Dodoma kwa lengo la kuona na kujua changamoto za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE NJALU AFANYA HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE SIMIYU

Na Mwandishi wa Globu, Simiyu.Mbunge wa jimbo la Itilima Mkoani Simiyu Njalu Daudi Silanga ameshiriki ibaada katika kanisa la SDA liliopo Kijiji cha Itubilo na kufanya harambee ya uchangiaji wa ujenzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIJARIDHISHWA NA UJENZI WA KITUO CHA SIRARI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hajaridhishwa na ubora wa ujenzi wa kituo cha forodha cha Sirari kilichopo kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya.Kufuatia hali hiyo amemtaka Kamishna wa Mamlaka ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIO ASILI YA JINA LA MKOA WA MBEYA

 Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya Mikoa 32 ya Tanzania, unapatikana nyanda za juu kusini mwa nchi yetu hii. jina la mkoa wa Mbeya ni neno la kiasili la kabila la Kisafwa lilikuwa likitamkwa ‘Ibheya’...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATOA TAMKO SAFARI YA SIMBU, YAWAONYA TFF

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.SERIKALI imetoa tamko kuhusu ushiriki wa mwanariadha Alphonce Simbu katika mashindani ya Jumuiya ya Madola yanayotarajiwa kufanyika April mwaka huu.Mashindano hayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKALA YA SHERIA:JE ALIYETEULIWA NA MAREHEMU KWENYE WOSIA KUSIMAMIA MIRATHI...

Na  Bashir  Yakub. Wako  wasimamizi  wa  mirathi  wa  aina  mbili. Kwanza ni  yule  ambaye  marehemu  mwenyewe  amemteua  kabla  ya  kufa  kwake  na  akaandika/kusema  kwenye  wosia  kuwa  fulani...

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ELIMU BURE KWA WOTE: TULIAHIDI TUMETEKELEZA

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg. John Lipesi Kayombo akiwaonyesha utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka 2015 - 2020 wajumbe wa Kamati ya siasa Wilaya ya Ubungo inayoongozwa na Mwenyekiti wa CCM wa...

View Article

ALICHOKIZUNGUMZA DKT NDUGULILE KWA WANAWAKE WAJASILIAMALI WA MKOA WA MBEYA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA UVCCM KHERI JAMES AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI...

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Cha Mapinduzi Ndugu Kheri Denis James (MCC) jana amekutana na kufanya mazungumzo na kamati ya Utekelezaji ya Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na wajumbe wa Baraza la Vijana...

View Article
Browsing all 109589 articles
Browse latest View live




Latest Images