Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110137 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Masogange anendelea kukwamisha kesi yake

Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii.ANDE wa mashitaka katika kesi ya  kutumia dawa za kulevya inayomkabili Agnes Gerald maarufu kama ‘Masogange’ umeiomba Mahakama kuuonya  upande wa utetezi kwa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MIRADI YA SHILINGI BILIONI 2.76 MTWARA

Na Athumani Shariff- MoWI Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe leo amezindua miradi miwili ya maji ambayo ipo Halmashauri za Wilaya ya Mtwara na Masasi Mkoani Mtwara ilyogharimu jumla...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AMKABIDHI MHANDISI WA MAJI KWA NAIBU WAZIRI TAMISEMI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemkabidhi Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya wilaya ya Rorya, Mhandisi Obetto Sasi kwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Bw. Josephat Kandege baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR ATILIANA SAINI NA BALOZI MDOGO WA CHINA...

 Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt,Khalid Salum Mohammed kushoto akitiliana saini na Balozi mdogo wa China alioko Zanzibar Xie Xiao Wu kulia Msaada wa Fedha za Kitanzania  Shilingi  Bilioni 34.9...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MAWAZIRI WA ELIMU NA TAMISEMI, APIGA MARUFUKU...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani S. Jafo na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO YATIMA 150 WAPATIWA MSADA WA VIFAA VYA SHULE

Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Mhe. Siriel Mchembe (mwenye nguo ya njano), Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo Gairo, Mhe. Andrea Sendeha (wa tatu toka kulia) pamoja na kamati ya ulinzi na usalama wakiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WCF YAWANOA WAAMUZI, WASULUHISHI NA MAKATIBU MUHTASI KUTOKA TUME YA...

NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, MorogoroMFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), umejipanga vema kuendelea kutoa huduma bora kwa wadau, hususan katika kipindi hiki ambacho Mfuko unategemea ongezeko kubwa la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA MAISARA...

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idi kulia akipata maelezo kutoka kwa Afisa uhusiano wa Taasisi ya Viwango Zanzibar Aisha Abdulkheir Mohammed wakati alipotembelea Banda hilo katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU UVCCM IRINGA MJINI ANUSURIKA KUFA BAADA KITU CHENYE MLIPUKO KURUSHWA...

Aelezea hatua kwa hatua namna nyumba yote ilivyoteketea kwa moto.Na Said Mwishehe-GlobuKATIBU wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM), Alophance Myunga amenusurika kifo baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICHANGO SHULE ZA SERIKALI KUONDOKA NA MLOLONGO WA VIONGOZI

*Rais Dkt.Magufuli apiga marufuku, asema asisikie mchango wa aina yoyote shuleniNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiHivyo ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya Rais Dkt.John Magufuli kusema ni marufuku watoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.MABODI AIPONGEZA SMZ

NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR.CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar kimesema mafanikio yliyofikiwa na Serikali ya awamu ya Saba chini ya Uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahakama kwenda Kidijitali

Na Mary Gwera, MahakamaMahakama ya Tanzania imedhamiria kufanya malipo yote ya huduma zake na ukusanyaji wa mapato kielektroniki ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya Teknolojia na vilevile kuboresha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FINLAND YAONESHA NIA KUWEKEZA SEKTA YA NISHATI NCHINI

Na Veronica Simba – Dodoma.Ujumbe kutoka Kampuni ya Fortum ya Finland umemtembelea Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani na kueleza nia yao kuwekeza kwenye sekta ya nishati nchini.Ujumbe huo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKAGUA UJENZI UKUTA BAHARI YA HINDI DAR

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa ukuta wa bahari Kigamboni wenye urefu wa mita 500. (Picha na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAOOMBA UFADHILI WA MASOMO CHINA, JAPAN WATAHADHARISHWA

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiMKURUGENZI Mtendaji wa Elimu Solutions (T) Limited Neithan Suedy amesema ni vema Watanzania hasa wanafunzi nchini kuwa makini na matapeli wanaochukua fedha za wanafunzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA RAIS KUCHUNGUZA TANZANITE YAANZA MAZUNGUMZO NA TANZANITE ONE

Kamati iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kuchunguza biashara ya madini ya Tanzanite imeanza kufanya mazungumzo na kampuni ya Tanzanite One.Kwa mujibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAGUZI WA BFT KUFANYIKA TAREHE 24 MWEZI FEBRUARI MWAKA HUUA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.BARAZA la Michezo la Taifa  (BMT) limetangaza uchaguzi wa Shirikisho la Ngumi Tanzania (BFT) unaotarajiwa kufanyika tarehe 24 mwezi februari mwaka huu.Akizungumzia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Madaktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kutoka Taasisi ya JKCI wakifanya...

  Madaktari  Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimfanyia mgonjwa ambaye mshipa mkubwa unaosambaza damu upande wa kushoto  wa moyo umeziba upasuaji...

View Article

TAASISI YA ELIMU SOLUTIONS TANZANIA LTD YAMWAGA FURSA ZA MASOMO KWA...

View Article

KIPINDI MAALUM CHA RAIS DKT. ... N MAGUFULI KUHUSU ELIMU BURE

View Article
Browsing all 110137 articles
Browse latest View live




Latest Images