ATAKAYEBAINIKA KUTAFUNA SH. MILIONI 320 ZA IMARA SACCOS ACHUKULIWE HATUA ZA...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Ofisa Ushirika wa Manispaa ya Musoma Bibi Yunia Wiga kufuatilia upotevu wa sh. milioni 320 za Imara SACCOS na atakayebainika kuhusika ashughulikiwe.Alitoa kauli...
View ArticleTIMU YA USIMAMIZI WA HUDUMA YA AFYA WILAYA YA LINDI YAAGIZWA KUSIMAMIA...
Angela Msimbira- OR-TAMISEMI LINDI.Mganga Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bw. Ganchwele Makenge ameiagiza timu ya usimamizi wa huduma ya afya Wilaya ya Lindi kuhakikisha wanasimamia na kufuatilia ukarabati wa...
View ArticleWANANCHI WA MBAMBA BAY WATAKA BARABARA YA LAMI
Wananchi wa Mbamba Bay wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma wameiomba Serikali kuharakisha ujenzi wa barabara ya Mbinga-Mbamba Bay (km 67), kwa kiwango cha lami ili kutatua changamoto za usafirishaji wa...
View ArticlePOLISI ARUSHA YADHIBITI UVUNJAJI MARA DUFU
Na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi ArushaJeshi la Polisi mkoani Arusha limeweza kudhibiti matukio ya uhalifu kwa 17.9% mwaka jana 2017 tofauti na mwaka 2016 ambapo kulikuwa na matukio 2,817 wakati...
View ArticleBEI YA BIDHAA ZA MATUNDA NA VYAKULA MBALIMBALI SOKO LA MABIBO JIJINI DAR LEO.
Wafanyabiashara wakiwa katika biashara zao katika soko la Mabibo jijini Dar es Salaam mapema leo kama walivyokutwa na Mpiga picha wetu wa Globu ya jamii.Tikitiki maji katika soko la mabibo ambalo...
View ArticleMAKONDA APONGEZA KASI YA MATENGENEZO MAGARI YA POLISI,MAGEREZA,JWTZ
Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amepongeza hatua ambayo kampuni ya kutengeneza mabodi ya magari ya Dar Coach Ltd imefika y'all kutengeneza na kukarabati...
View ArticleNEC yawakumbusha wasiamamizi wa Uchaguzi kuzingtia Sheria
Na Hussein Makame -NEC.Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewakumbusha wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi kuzingatia sheria, kanuni na taratibu katika kusimamia uchaguzi ili kufanikisha Uchaguzi mdogo...
View ArticleKOKA ATOA MILIONI MBILI KUCHANGIA UJENZI WA MADARASA YALIYOUNGU ASHULE YA...
Na Mwamvua Mwinyi, KibahaMBUNGE wa jimbo la Kibaha Mjini, Silvestry Koka, ametoa kiasi cha shilingi milioni mbili zitakazosaidia kutumika kuezeka madarasa yaliyojengwa baada ya kuungua katika shule ya...
View ArticleZFA KUKUTANA NA WADAU WA SOKA VISIWANI ZANZIBAR
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiKamati Tendaji ya chama cha soka Wilaya ya Magharibi A Unguja inatarajia kukutana kwa siku 2 na makundi mbalimbali ya wadau wa soka wilayani humo ili kujadili mambo...
View ArticleMICHUZI TV: WANAOTUHUMIWA KUJIUNGANISHIA BOMBA LA MAFUTA WAFIKISHWA KORTINI
Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.WATU saba akiwemo aliyekuwa fundi wa bomba la mafuta la Tazama, Samwel Nyakirang'ani (63) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na...
View ArticleYANGA YAPATA SHAVU LA BILIONI 2/-
Na Agness Francis, Blogu ya jamii KLABU ya Yanga ya Dar es Salaam imesaini mkataba wa miaka mitatu na Kampuni ya Macron kutoka Itali kwa lengo la kutengenezewa jezi za kimataifa zenye thamani ya...
View ArticleWATEJA WA UMOJASWITCH WAIBUKA NA MAMILIONI KUPITIA BAHATI NASIBU
Kampuni ya UmojaSwitch leo imechezesha droo yake ya bahati nasibu ya Shinda na Umoja kwa wateja wake zaidi ya 32,222 waliotumia kadi za UmojaSwitch kati ya tarehe 1- 8 Januari mwaka huu ambapo zaidi ya...
View ArticleBITEKO AWATAKA STAMICO KUTATHIMINI UTENDAJI WAO
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiNAIBU Waziri wa Madini, Dotto Biteko amelitaka Shirika la Taifa la Madini (Stamico) kujitathini kuhusu utendaji wao wa kazi kwa Taifa kutokana na kuwa deni kubwa kuliko...
View ArticleDK. KIGWANGALLA APONGEZA USHIRIKIANO WA FINLAND KATIKA UHIFADHI WA MISITU NCHINI
Na Hamza Temba - DodomaWAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla ameipongeza Serikali ya Finland kwa ushirikiano na misaada mbalimbali ambayo imekuwa ikiitoa kuunga mkono juhudi za...
View ArticleMAJALIWA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MJI MDOGO WA SHIRATI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa mji mdogo wa Shirati wilayani Rorya akiwa katika ziara a mkoa wa MKara Januari 16. 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
View Article
More Pages to Explore .....