MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi...
View ArticleWaziri wa Kilimo Dkt.Tizeba akagua usafirishwaji wa Korosho-Mtwara.
Waziri wa Kilimo Dkt.Charles Tizeba ametembelea Bandari ya Mkoa wa Mtwara na kukagua Usafirishaji wa Zao la Korosho Ghafi zinazokwenda nchi za India na Vietnam.Kufikia Januari 10 mwaka huu Jumla ya...
View ArticleTRL YATANGAZA RATIBA USAFIRI WA TRENI KUANZIA DODOMA, WALIOKATA TIKETI DAR...
Na Said Mwishehe, Globu ya jamii.KAMPUNI ya Reli Tanzania (TRL) imesema imeamua kuhamishia huduma ya usafiri wa treni kutokea Dodoma kuanzia kesho.Uamuzi huo unakuja kipindi ambacho TRL imesitisha...
View ArticleJohari Mussa, mshindi wa Milioni 10 Mlimani City.
MSHINDI wa Promosheni ya Mlimani City katika kipindi cha msimu wa siku kuu ya Krismass na Mwaka mpya ya fanya manunuzi Mlimani City na ushinde ijulikanayo kama “Mlimani City Grand Shopping Fest”...
View ArticleWAZIRI UMMY ASHTUSHWA NA MSONGAMANO WA WAGONJWA TEMEKE
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii.Waziri wa Afya Wanawake,Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameshtushwa na wingi wa wagonjwa waliopo katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke na kuagiza katibu Mkuu wa...
View ArticleWAKATI Album lunch on Tuesday 23.1.2018, 7:30pm at the Geoethe-Institut Dar...
The Wakati album lunch is also a charitable fundraiser to support the renowned visual artist – Augustino Malaba – who is one of the oldest Makonde masters. During his life, Malaba has produced amazing...
View ArticleMKURUGENZI WA TPA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA
Balozi wa China Nchini Tanzania Bi. Wang Ke akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mhandisi Deusdedit Kakoko mara baada ya kumtembelea ofisini kwake. Balozi...
View ArticleSERIKALI YATOA UFAFANUZI WA MATUMIZI YA FEDHA ZA KIGENI
Na: WFM.Serikali haijazuia matumizi ya fedha za kigeni nchini bali imechukua hatua ya kudhibiti matumizi ya fedha hizo ili kulinda thamani ya Shilingi ya Tanzania.Hayo yalielezwa na Naibu Waziri wa...
View ArticleTUTAKAMILISHA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA MUSOMA -MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inakamilisha ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara iliyoanza kujengwa mwaka 1980.Atoa kauli hiyo leo (Jumatatu, Januari 15, 2018) wakati...
View ArticleMPINA ATEKETEZA ZANA HARAMU ZA UVUVI ZENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 2...
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Mpina ametaifisha na kuteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya shilingi bilioni 2 zilizokamatwa wakati zikitumika kwa shughuli za uvuvi katika visiwa vidogo...
View ArticleRAIS KARIA AMPONGEZA DAMAS NDUMBARO UBUNGE SONGEA MJINI
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Ndugu Wallace Karia kwa niaba ya Shirikisho anatoa pongezi kwa mwanamichezo daktari wa Sheria Dr.Damas Ndumbaro kwa kushinda kiti cha Ubunge Jimbo la...
View ArticleCAF YATEUA WANNE TFF KUSIMAMIA MECHI
Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF limepitisha majina manne ya wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF kuwa makamishna wa michezo mbalimbali inayoandaliwa...
View ArticleMCB YAZINDUA BIDHAA ‘TUKUTANE JANUARI’
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiBenki ya ya Mwalim Commercial (MCB) imezindua bidhaa ya Tukutane Januari kwa ajili ya mkakati wa kuboresha maisha ya watanzaia.Akizungumza na waandishi habari katika...
View ArticleMWALIMU COMMERCIAL BANK PLC YAZINDUA BIDHAA KWA AJILI YA KUBORESHA MAISHA YA...
Mwalimu Commercial Bank PLC (MCB) imezindua bidhaa iitwayo Tukutane Januari Akaunti, ikiwa ni moja ya mkakati wake katika kuboresha maisha ya Watanzania kwa ujumla. Akizungumzia Kuhusu akaunti hii mpya...
View ArticleMAMA SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA AFYA NA MAISHA BORA
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Inaya Zanzibar Limited Cheherazade Cheikh...
View Article
More Pages to Explore .....